msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
acha wivu wa kipuuzi,we unadhani pale panashughuli gani?hujiulizi kwanini pana utelezi?Pole sana extrovert.
Kama wewe ni mzazi na binti yako yupo chuo na anaishi huko huko, una kazi kubwa sana ya kumwombea.
Nimeshuhudia watoto wa kike chuo wakijiuza kwa style ya kupeana dili. Mmoja akimpata mwanaume na huyo mwanaume ana rafiki yake ambaye anahitaji mwanamke, basi yule binti anawapa dili rafiki zake.
Kwa wiki binti anaweza kulala na wanaume watano.
Ila hapo ana mmoja ambaye ni boyfriend wake.
Sasa wewe kidume mkikutana unataka kumnyonya chini wakati unalamba fungus.
Wiki nzima mtoto wa kike ameona na kupata ladha tano tofauti. Nawaonea huruma wadogo zangu ambao hamjaoa.