Kweli mwanamke sio mtu wa kumlia yamini, ME tuchunge sana

Inawekezwa mali si mwanamke.

Zile sehem zetu ni one way traffic wakati mwanamke ni two way traffic. Hao watu si wa mchezo
 
Pole sana,
Ila usimwamini mwanamke hata kama unamtania. Pia lazima uumizwe ili ukomae.
Kila mmoja amesha au ataumizwa siku moja in his/her lifetime
 
Mmh sijui na age yenu pia inachangia. Msichana wa kuwa worried naye coz kajiunga fb mmmh, bado hajajitambua vizuri I think.
Anayelalamikia mapenzi ya chuo huwa namshangaa yeye kuliko huyo mlalamikiwa, wengi huwa ndio kwanzaaa wanayaanza mahusiano,wengine kama walishaanza ila bado wako kwenye umri wa kujaribu, wachache huwa wanajitambua.

Kwahiyo kuwekeana yamini hapo kwakweli ni kutafutana lawama tu.
 
Ha ha eti kuwekeana yamini
 
Ha ha eti kuwekeana yamini
My dear kuna wanaowekeana yamini(sijui ndio hiyo).
Na kula viapo,wengine hadi vya damu. Na walaa hawakumbuki kuvivunja vikibuma.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nacheka kama mazuri.

Kuna dogo waliwekeana kiapo cha damu, mwisho bibie akasaliti na akaachana na jamaa, binti akaolewa. Sasa bwanamdogo anasubiri anasema bibie atarudi tu hata uzeeni maana ndio mkewe. Haya mambo jamani khaaaaah!!!
 
Mie na haya mapengo yangu, sijafanya huo udwanzi
 
Habari wadau,
Aisee hiki kimekuwa ni kipindi kizito sana katika sehemu ya maisha yangu baada ya kujikuta nilimuangukia kimapenzi mtoto mmoja ambaye alitokea kunielewa sana kipindi naanza 1st year,

kiukweli mipango ilikuwa mingi throughout the relationship maana alikuwa ni wife tirio from the first impression. Naye alikuwa mwaka sawa na mimi ila Program tofauti so tukawa tunaenda sawa mpaka ilipofika 2nd year mwisho wa semister 1 ambapo nilipatwa na tatizo lililo nje ya uwezo wangu nikatakiwa kusitisha mwaka wa masomo hali iliopelekea mi nayeye kuwa mbali kwa muda wa semister iliofuata.

Kiukweli nilikuwa namuamini sana ila kwa kuzingatia ile notion ya kuwa distance huwa inaleta shida kwa wapenzi hata muwe mmependana vipi nikaamua kumuwekea bug kwenye simu yake ili nihakiki msimamo wake kwangu.

Kwa muda wote wa semister ya pili ambayo nilikuwa sipo hakukuwa na rabsha yeyote ukizingatia nilikuwa nina monitor logs zake bila ye kujua haikuwa shida ila kuna wakati alikuwa anataka kuyumba nikamkanya ndipo hapo akajua kujua kuwa naona logs zake.

Haikuwa shida maana she was into me na alikuwa ananitii na kuwapotezea hao watu wanaomendea mzigo, mara nyingine aliniambiaga kabisa juu ya hao watu.
Tulikuwa so intimate kidume nikawa hadi naskia raha na wanangu walikuwa wana appreciate behaviour ya shem wao kila walipokutana nae na pia coz nilikuwa natulia nae mageto so walikuwa wakija geto kama nyumbani. Pasafi yani dogo anawajibika balaa.

=============================
**Ep2
Dogo kipindi sipo alikuwa mpweke sana na nilikuwa namcomfort ifahamike pia alikuwa na marafiki zake wa karibu ni classmates ila hao mademu walikuwa opposite sana nayeye kitabia.

Nilikuwa namshauri azingatie hilo asije kuiga tabia zao kwa hivyo akawa anajicontrol maana anajua sipendi na vile nipo around ikawa rahisi. Wenzake ni watu wa outing na starehe sana ila yeye ni mtu wa kutulia ndani kama hana ishu ya maana so sehemu kubwa ya muda wake aliitumia kwangu na shule tu.

Kitu ambacho sitaki kuamini nadhani baada ya mie kuwa sipo her friends took most of her time na taratibu walianza kumfeed na mindset tofauti kabisa na taratibu akaanza kubadilika na kuiga tabia zao.

Though tulikuwa tukiwasiliana vizuri kwa kipindi chote hicho ila nadhani ndio mambo yalipoanza kuvurugika. Alikuwa ana freedom sana. Mpaka semister inaisha tukawa tumepanga nitaporudi chuo tukatulie wote, dogo alitafta rum nikailipia kama sehemu ya mpango wetu.

========================
**Ep.3
Baada ya mwaka kuisha nilipanga kurejea chuo ili ni resume studies ambapo yeye angeingia 3rd year mi nikianza 2nd year upya.
Ghafla nilianza kuona mabadiliko katika mawasiliano mwezi mmoja kabla ya kufungua chuo.

Akawa hanitafuti mpaka nimpigie. No sleep well wala g.mornings without any real reasons. Ilikuwa ni baada tu ya yeye kurudi chuo one time kwa week moja ya supplementary. Kipindi hicho nilikuwa nipo tight na kazi nilipata tempo moja Mbeya. Nikawa na struggle pia na swala la mawasiliano yetu.

Nikaanza fuatilia kiini cha tatizo nikaja ona kuwa dogo alikuwa na njemba inamzuzua. Nikampa warning akawa hasikii. Nikaja kutoa ultimatum kwamba its either me or the guy achague moja. Akaniteua mie. Baadae nikaja kujua kwamba jamaa ni colleague wa PGD pale chuo na alimtokea kipindi cha sup ndio akaanza kumpa goodtime.

============================
**Ep.4
Baada ya mie kumzingua dogo akaelewa niliamua kupotezea hilo la
yeye kudate na jamaa nikiwa na hope tukirudi soon tutakuwa wote under the same roof so haitakuwa shida ku monitor movements zake na hata mawasiliano yake maana pia nilimpiga ban kuwasiliana tena na huyo njemba.

Cha kushangaza ile thrill alokuwa nayo dogo kuhusu kuishi naye ilipungua na akawa mzito sana akidai eti anaona tuishi separate places ili kusudi tusigombane tena kisa contact na ex gf. Maana mwanzoni ex wangu alikuwa around na ana contact na mimi kirafiki tu ila dogo tukawa tunazinguana sana juu ya hilo.

Ila this time around nilikuwa nishaacha mawasiliano na ex kabisa ili dogo awe na amani yote tusiwe tunalumbana tena. Nilishangazwa sana na hio attitude yake towards sisi kuishi pamoja tena ila nilimshawishi zaidi mpaka akakubali.

===============================
**Ep.5
Baada ya kufungua chuo dogo amekuja tayari mazingira nilishaandaa maana nilitangulia kufika. Tumeanza kutulia wote freshi tu, taratibu nikashangaa attitude yake kwangu imebadilika mno kiasi cha kwamba ni kama hatujuani.

Yani dogo response yake kwangu ikawa so cold and harsh pia akawa ana complain juu ya vitu vidogo dogo ile sio kawaida. Nikawa najiuliza nini shida kimoyo ila sikusema lolote. The moment nimeanza kumuuliza kuwa mbona simuelewi yani ina maana kila kitu nachofanya sio kizuri ni lawama tu.

No intimacy wala affection yani muda wote ugomvi tu akawa anadai eti nalalamika sana. Sijakaa vizuri yule jamaa niliemwambia asi contact nae akawa anawasiliana nae ghafla. Kuuliza kwa nini hakuwa na jibu ila kuniwakia kuwa huyo jamaa ni rafiki tu tatizo naji stress sana.

Akaenda mbali akachukua simu yangu ya kitochi akawa anawasiliana nae kisiri baada ya kuona nimemaindi yeye kukiuka agizo langu.

==============================
**Ep.6
Baada ya kuzinguana na dogo juu ya hiyo njemba yake akawa so defensive. Anaona ninambana bana sana mara et ndio maana sikutaka tuishi wote ili tusigombane.

It went further akawa mkaidi mno ikumbukwe nilidukua mawasiliano yake hivyo niliona romantic texts zake wakitumiana na hio njemba alionidanganya kuwa ni rafiki yake tu toka mwanzoni pale. Na ndio kisa cha kumwambia urafiki wa hivyo hapana, cut off contacts na huyo jamaa.

As time ilivyoenda nikazidi kugundua mengi juu ya ile sababu yake ya kugoma kukaa under one roof na mimi. Kumbe yule mpenzi wangu ambae nilimuacha mpweke kwa masikitiko makubwa alishabadilishwa na wale marafiki na kuwa kama mbwa sasa.

Alishafundishwa facebook, instagram. Yani kilichofuata ilikuwa ni mlolongo wa kauli za kejeli na dharau mpaka kufikia steji nikawa najiona kama sio binadamu. Yani binti alizidi kuwapanga huko facebook ndio ikawa eneo la kugawa namba kwa watu aliofahamiana nao zamani wengine ndio wapya.

Kila siku ni mtu mpya na mbaya zaidi dogo akawa hachomoi. Mpaka kufikia stage nikaona isiwe shida, nilianza kumtia makofi ili walau nyumba iweze kukalika maana hata shule ilikuwa haipandi.

Full stress na mtoto nilimpenda kumoyo, i did alot for her since tumeanza freshly 1st Year ila amekuja badilika this late. Yupo 3rd year now i've almost wasted 3 good years. Nimeamua kushea nanyi hii story ili wenye watoto chuo mtie maji mwenzenu nshanyolewa hivyo.

Hitimisho, niliona isiwe tabu nikaamua kujipunguza kimya kimya ingawa roho iliniuma mno. This was my groundshaking heart-break ever. Jamani Wakiumeni wenzangu nimejifunza hakuna haja ya kumuamini mwanamke hata awe mzuri kama malaika.

You will save yourself a severe headache mbeleni. If you ought to love then dont put up with any expectations.
..Uko vizuri brother,..kwani unasoma course gani hapo?
 
Najua unaumia Ila pole sana,,,lakin pia shukuru mungu maana inaweza kua hakua chaguo sahihi LA moyo wako,labda nikuambie kitu kipya masikion mwako..... Mwanamke anahitaji mambo matatu makuu

(1) umuhakikishie kula vizuri
(2) umuhakikishie kuvaa vzri
(3) na kubwa kulko yote UMKUNE vzuri... nyongeza awe huru usiovuka mipaka na umkazanie hofu ya mungu,,hyo umesema kwa upande wake je upande wako ambao yy hakuwepo ulijizuia kiasi gan na michepuko,,au sababu yy hana utaalam wa kudukua mawasiliano yako??? Maandiko ya kisaikologia na kifalsafa yanasema hivi nanukuu:: Jinsi unavyomwona mwenzako siyo jinsi yeye alivyo Bali ni wewe ulivyo.... Inawezekana imotional entelegance yako ipo low....
 
Mimi pia yamenkuta ..alibadili namba lakn ktk kuntext siku moja akajikuta anatumia hyo namba kujakucheki akanambia ya shangaz ake lakn nilivyo ingia dp akawa kamuweka mchzi ake wakiwa wamebusuana na zngne wamekumbatiana na status yake ilikuwa amazingly... Mwili moyo uliwaka ckula cku tatu maana tulikuwa ktk mahusiano yapata miez 16. Wazaz wake wanajua ..baada ya cku tatu za maumivu makali nikampiga chini ..nnaaman kwasasa na mwamaume aliye namademu kbao kama mswati yupo hawez umia hata cku moja dawa nkuwanyisha nakuwadump no way. Ushauri mamen ucwe na dem mmoja kama taa ya Pikipiki ambayo ikipasuka baac unabaki na maumivu.
 
Habari wadau,
Aisee hiki kimekuwa ni kipindi kizito sana katika sehemu ya maisha yangu baada ya kujikuta nilimuangukia kimapenzi mtoto mmoja ambaye alitokea kunielewa sana kipindi naanza 1st year,

kiukweli mipango ilikuwa mingi throughout the relationship maana alikuwa ni wife tirio from the first impression. Naye alikuwa mwaka sawa na mimi ila Program tofauti so tukawa tunaenda sawa mpaka ilipofika 2nd year mwisho wa semister 1 ambapo nilipatwa na tatizo lililo nje ya uwezo wangu nikatakiwa kusitisha mwaka wa masomo hali iliopelekea mi nayeye kuwa mbali kwa muda wa semister iliofuata.

Kiukweli nilikuwa namuamini sana ila kwa kuzingatia ile notion ya kuwa distance huwa inaleta shida kwa wapenzi hata muwe mmependana vipi nikaamua kumuwekea bug kwenye simu yake ili nihakiki msimamo wake kwangu.

Kwa muda wote wa semister ya pili ambayo nilikuwa sipo hakukuwa na rabsha yeyote ukizingatia nilikuwa nina monitor logs zake bila ye kujua haikuwa shida ila kuna wakati alikuwa anataka kuyumba nikamkanya ndipo hapo akajua kujua kuwa naona logs zake.

Haikuwa shida maana she was into me na alikuwa ananitii na kuwapotezea hao watu wanaomendea mzigo, mara nyingine aliniambiaga kabisa juu ya hao watu.
Tulikuwa so intimate kidume nikawa hadi naskia raha na wanangu walikuwa wana appreciate behaviour ya shem wao kila walipokutana nae na pia coz nilikuwa natulia nae mageto so walikuwa wakija geto kama nyumbani. Pasafi yani dogo anawajibika balaa.

=============================
**Ep2
Dogo kipindi sipo alikuwa mpweke sana na nilikuwa namcomfort ifahamike pia alikuwa na marafiki zake wa karibu ni classmates ila hao mademu walikuwa opposite sana nayeye kitabia.

Nilikuwa namshauri azingatie hilo asije kuiga tabia zao kwa hivyo akawa anajicontrol maana anajua sipendi na vile nipo around ikawa rahisi. Wenzake ni watu wa outing na starehe sana ila yeye ni mtu wa kutulia ndani kama hana ishu ya maana so sehemu kubwa ya muda wake aliitumia kwangu na shule tu.

Kitu ambacho sitaki kuamini nadhani baada ya mie kuwa sipo her friends took most of her time na taratibu walianza kumfeed na mindset tofauti kabisa na taratibu akaanza kubadilika na kuiga tabia zao.

Though tulikuwa tukiwasiliana vizuri kwa kipindi chote hicho ila nadhani ndio mambo yalipoanza kuvurugika. Alikuwa ana freedom sana. Mpaka semister inaisha tukawa tumepanga nitaporudi chuo tukatulie wote, dogo alitafta rum nikailipia kama sehemu ya mpango wetu.

========================
**Ep.3
Baada ya mwaka kuisha nilipanga kurejea chuo ili ni resume studies ambapo yeye angeingia 3rd year mi nikianza 2nd year upya.
Ghafla nilianza kuona mabadiliko katika mawasiliano mwezi mmoja kabla ya kufungua chuo.

Akawa hanitafuti mpaka nimpigie. No sleep well wala g.mornings without any real reasons. Ilikuwa ni baada tu ya yeye kurudi chuo one time kwa week moja ya supplementary. Kipindi hicho nilikuwa nipo tight na kazi nilipata tempo moja Mbeya. Nikawa na struggle pia na swala la mawasiliano yetu.

Nikaanza fuatilia kiini cha tatizo nikaja ona kuwa dogo alikuwa na njemba inamzuzua. Nikampa warning akawa hasikii. Nikaja kutoa ultimatum kwamba its either me or the guy achague moja. Akaniteua mie. Baadae nikaja kujua kwamba jamaa ni colleague wa PGD pale chuo na alimtokea kipindi cha sup ndio akaanza kumpa goodtime.

============================
**Ep.4
Baada ya mie kumzingua dogo akaelewa niliamua kupotezea hilo la
yeye kudate na jamaa nikiwa na hope tukirudi soon tutakuwa wote under the same roof so haitakuwa shida ku monitor movements zake na hata mawasiliano yake maana pia nilimpiga ban kuwasiliana tena na huyo njemba.

Cha kushangaza ile thrill alokuwa nayo dogo kuhusu kuishi naye ilipungua na akawa mzito sana akidai eti anaona tuishi separate places ili kusudi tusigombane tena kisa contact na ex gf. Maana mwanzoni ex wangu alikuwa around na ana contact na mimi kirafiki tu ila dogo tukawa tunazinguana sana juu ya hilo.

Ila this time around nilikuwa nishaacha mawasiliano na ex kabisa ili dogo awe na amani yote tusiwe tunalumbana tena. Nilishangazwa sana na hio attitude yake towards sisi kuishi pamoja tena ila nilimshawishi zaidi mpaka akakubali.

===============================
**Ep.5
Baada ya kufungua chuo dogo amekuja tayari mazingira nilishaandaa maana nilitangulia kufika. Tumeanza kutulia wote freshi tu, taratibu nikashangaa attitude yake kwangu imebadilika mno kiasi cha kwamba ni kama hatujuani.

Yani dogo response yake kwangu ikawa so cold and harsh pia akawa ana complain juu ya vitu vidogo dogo ile sio kawaida. Nikawa najiuliza nini shida kimoyo ila sikusema lolote. The moment nimeanza kumuuliza kuwa mbona simuelewi yani ina maana kila kitu nachofanya sio kizuri ni lawama tu.

No intimacy wala affection yani muda wote ugomvi tu akawa anadai eti nalalamika sana. Sijakaa vizuri yule jamaa niliemwambia asi contact nae akawa anawasiliana nae ghafla. Kuuliza kwa nini hakuwa na jibu ila kuniwakia kuwa huyo jamaa ni rafiki tu tatizo naji stress sana.

Akaenda mbali akachukua simu yangu ya kitochi akawa anawasiliana nae kisiri baada ya kuona nimemaindi yeye kukiuka agizo langu.

==============================
**Ep.6
Baada ya kuzinguana na dogo juu ya hiyo njemba yake akawa so defensive. Anaona ninambana bana sana mara et ndio maana sikutaka tuishi wote ili tusigombane.

It went further akawa mkaidi mno ikumbukwe nilidukua mawasiliano yake hivyo niliona romantic texts zake wakitumiana na hio njemba alionidanganya kuwa ni rafiki yake tu toka mwanzoni pale. Na ndio kisa cha kumwambia urafiki wa hivyo hapana, cut off contacts na huyo jamaa.

As time ilivyoenda nikazidi kugundua mengi juu ya ile sababu yake ya kugoma kukaa under one roof na mimi. Kumbe yule mpenzi wangu ambae nilimuacha mpweke kwa masikitiko makubwa alishabadilishwa na wale marafiki na kuwa kama mbwa sasa.

Alishafundishwa facebook, instagram. Yani kilichofuata ilikuwa ni mlolongo wa kauli za kejeli na dharau mpaka kufikia steji nikawa najiona kama sio binadamu. Yani binti alizidi kuwapanga huko facebook ndio ikawa eneo la kugawa namba kwa watu aliofahamiana nao zamani wengine ndio wapya.

Kila siku ni mtu mpya na mbaya zaidi dogo akawa hachomoi. Mpaka kufikia stage nikaona isiwe shida, nilianza kumtia makofi ili walau nyumba iweze kukalika maana hata shule ilikuwa haipandi.

Full stress na mtoto nilimpenda kumoyo, i did alot for her since tumeanza freshly 1st Year ila amekuja badilika this late. Yupo 3rd year now i've almost wasted 3 good years. Nimeamua kushea nanyi hii story ili wenye watoto chuo mtie maji mwenzenu nshanyolewa hivyo.

Hitimisho, niliona isiwe tabu nikaamua kujipunguza kimya kimya ingawa roho iliniuma mno. This was my groundshaking heart-break ever. Jamani Wakiumeni wenzangu nimejifunza hakuna haja ya kumuamini mwanamke hata awe mzuri kama malaika.

You will save yourself a severe headache mbeleni. If you ought to love then dont put up with any expectations.
Mm naomb nisaidie hio bug ya kutrace log za mtu basss
 
Mwanamke wa kumwamini ni mama yako tu full stop.
Wa kumuamini ni M/Mungu pekee. Mama yako haaminiki pia. Yawezekana hata hiyo mimba aliyokuzalia ,alidhamiria kuitoa lakini ikaokolewa na madaktari, baada ya zoezi la kuitoa kumletea madhara na kupoteza fahamu.Alipopelekwa hospitali na ilivyogunduliwa dhamira yake, akawekwa chini ya uangalizi,ndiyo ponapona yako hadi ukazaliwa.
 
Story yako inanikumbusha Makovu niliyonayo mkuu wanawake syo wa kuwapa dhamana hata kdogo.
 
Vijana mna nadharia nzuri sana, naamini mtapata nafasi ya kujaribu na kuona udhaifu wa imani zenu. Gracias
 
Back
Top Bottom