Kweli mwanamke sio mtu wa kumlia yamini, ME tuchunge sana

Kweli mwanamke sio mtu wa kumlia yamini, ME tuchunge sana

Ifike kipind wanaume tulambe tu papuchi mambo mengine tuachane nayo. Mwanamke akiwa ndani kwako ni mkeo lakini akitoka huyo ni mwanamke.
 
we nani kakambia chuoni kuna mapeni nani?chuoni ni kufanya for fan tu.....mm chuo nilikuwa nawapanga sina mda hata na demu mmoja....
 
Jamani mnataka tuwapruvie vipi labda? "Wote" is such a very strong word. Wasichana Wote hatuwezi kufanana kwa kila kitu. Wapo good girls kibao huko nje, ni vile tu hujawahi kuwadate wote
Na kwakuwa hawezi kuwadate wote basi asigeneralize namna hiyo.
Awe good boy atawameet good girls tu, lasivyo ataendelea kukutana na wa aina yake tu. Changes starts with us.
 
You ain't playing anyone, but yourself. Hiyo "bitterness" itakuumiza wewe mwenyewe zaidi kuliko mtu yeyote. Kama hututaki, kaa tu single
Hii ya kuvurugwa na mmoja alafu hasira unazihamisha kwa ulimwengu ni upuuzi kiwango cha lami. Ukifikiri kuna mtu unamkomoa kumbe unajiumiza mwenyewe na kujinyima baraka kwa upuuzi tu. Mungu atusaidie na kuzidi kutupa maarifa.
 
Na kwakuwa hawezi kuwadate wote basi asigeneralize namna hiyo.
Awe good boy atawameet good girls tu, lasivyo ataendelea kukutana na wa aina yake tu. Changes starts with us.
I hope ameyasikia, kayashika na atayatendea kazi. Good girls wapo kibao

Hii ya kuvurugwa na mmoja alafu hasira unazihamisha kwa ulimwengu ni upuuzi kiwango cha lami. Ukifikiri kuna mtu unamkomoa kumbe unajiumiza mwenyewe na kujinyima baraka kwa upuuzi tu. Mungu atusaidie na kuzidi kutupa maarifa.
Don't become who hurt you
 
nah, hapo ulikuwa unalazimisha asikuache, asipende wengine wakati ulikuwa hujamuoa, as long as hujamuoa yupo free kumpenda mwingine
Kwahio unakuwa katika uhusiano ili upende wengine na si yule ulienae?
 
Back
Top Bottom