Kweli mwanamke sio mtu wa kumlia yamini, ME tuchunge sana

Kweli mwanamke sio mtu wa kumlia yamini, ME tuchunge sana

Duuuh ila kumbe wanaume nao mnaumiaga eeeh... Pole sana bro.. Mungu atakupa mwingine wapo wengi sanaa na wengine wanazaliwa.
Acha hizo ukipenda kweli lazma uumie, feeling of loss hurts! Sio kwanba haiwezekani kuachana!
 
Haya maneno "sio wote " linakimbiliwa sana kwenye utetezi lakini behind the scene ni yale yale.
HS anachemka, sio wote wakati tabia hizo huwa mnaziadopt mbele ya safari? Mkianza everything a woman will do for you. Ila akishakuzoea ndio cheating huanziaga hapo!
 
pole sana mkuu kwa yaliyokukuta nitakutafuta tutengeneze series walau yenye season 1
 
HS anachemka, sio wote wakati tabia hizo huwa mnaziadopt mbele ya safari? Mkianza everything a woman will do for you. Ila akishakuzoea ndio cheating huanziaga hapo!
Jamani mnataka tuwapruvie vipi labda? "Wote" is such a very strong word. Wasichana Wote hatuwezi kufanana kwa kila kitu. Wapo good girls kibao huko nje, ni vile tu hujawahi kuwadate wote
 
Nimekoma kukip relation na mwanamke! Sahivi ni u playa tu...Players never get busted!
You ain't playing anyone, but yourself. Hiyo "bitterness" itakuumiza wewe mwenyewe zaidi kuliko mtu yeyote. Kama hututaki, kaa tu single
 
aa57ee62be892393b7f19adc8d2e10f7.jpg


Kaa tulia soma kwanza....ukimaliza ukawa mtaani ndo utapata mke...chuo ni kusoma. Wachache wanapata watu wametulia
 
Same situation nilikuwa ndani mkuu..skuizi naambiwa analiwa na kila mtu.. Pia kuna mzee anagharamia maisha yake town..Yaan last time tulikutana hata sikumwongelesha..from Kenya
 
Hivi kiukweli unaweza kuanza kumfuatilia tu mtu out of the blues? Si ni lazima upate sababu ya kumfuatilia.
nah, hapo ulikuwa unalazimisha asikuache, asipende wengine wakati ulikuwa hujamuoa, as long as hujamuoa yupo free kumpenda mwingine
 
Back
Top Bottom