Kweli nasema Simba leo akishinda nipigwe

Hiyo timu imejaza mashabiki oyo oya sana.
 
Hiyo timu imejaza mashabiki oyo oya sana.
Halafu hawajui hata futbol na hawajui kuwa positive kabisaa na mara zote huwa wanaabika. Kifupi ni Mashabiki wa hovyo sana aisee 🤣🤣🤣

Kuna jamaa alitaka kunivunjja kioo cha simu kwa sababu ya ushabiki hoya hoya. Mpira sio mdomoni aisee
 
Tunasubiria points zetu 3 tena msimu huu tuchukue Kombe.
 
Ukiwa unatazama mpira mabandani kaa nao mbali unaweza dungwa hata kisu mkuu wengi ni hamnazo😆
 
Ishawahi tokea hiyo banda umiza ule mgoli wa Kibu Mkandaji nikashangaa kuona shabiki wa Uto anamwaga michanga kwenye banda
Yani wenye weledi ni wachache mno ndio maana mtu asiye na utulivu kama manara tulimtoa asee😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…