Kweli nasema Simba leo akishinda nipigwe

Uko wapi sasa hivi? Nna shida na wewe tafadhali!!!
 
Ongea naye PM sasa, hapa hadharani. Hata tukiona unatongozwa tunaingilia
Kuingilia sio shida! Shida inakuja mtoto wa kiume tena mtu mzima unapoumia.

Humu kuna watu wapo karibu na wana mipaka yao inaweza kua ni myembamba au minene.
Sio sawa kudandiadandia maongezi ya watu bila kujua ukaribu wao.
 
Pigaaaaaaa ban hili topolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…