Kweli nasema Simba leo akishinda nipigwe

Kuna mwingine anayeitwa Shetani wa Yanga alidai Simba akishinda dhidi ya Tabora United basi mama yake mzazi ashenyentwe.
Hao wavimba macho wamekithiri sana kwa ubaradhuli wao. Yupo sasa anaombewa radhi mitandaoni.
YUle hana akili na ni mpumbavu sana
 
Daaah.....angalia sana bint haya maneno yako utakuja yakumbuka siku moja.
Kila kitu kina wakati braza...ni wakati wetu wa kuwanyali..ikifika zamu yenu tutawaachia wala hatutakumbuka kitu..
 
Ukaishia kuambulia aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…