Kweli nasema Simba leo akishinda nipigwe

Kweli nasema Simba leo akishinda nipigwe

Kuna mwingine anayeitwa Shetani wa Yanga alidai Simba akishinda dhidi ya Tabora United basi mama yake mzazi ashenyentwe.
Hao wavimba macho wamekithiri sana kwa ubaradhuli wao. Yupo sasa anaombewa radhi mitandaoni.
YUle hana akili na ni mpumbavu sana
 
Sioni....kila nikitizama naona leo Mkia lazima achapwe. Tabora United wamemaliza mchezo na sasa wanaenda tu kukamilisha ratiba mzee saidi mitangano hongera sana.

Hujawahi kutuangusha kamwe.ushauri wako umefanyiwa kazi na mkia wamejaa kwenye mfumo. Leo rasmi yanga tunajikita kileleni na hatushuki mpaka mtu apate mimba. Hakuna kulala...

Simba wakishinda leo nipigwe banio.kwa mila zetu mwanaume hutakiwi kupigwa kwa mwiko wala banio la sufuria. Ni dharau. Ila kwa leo nipo tayari kabisa. Sioni mkia wakishinda. Sioni kabisa.
Ukaishia kuambulia aibu
 
Back
Top Bottom