Kweli Nawaambia. Mtanikumbuka sana. Mtanitafuta na Hamtaniona

Kweli Nawaambia. Mtanikumbuka sana. Mtanitafuta na Hamtaniona

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Nawaambia ninyi members. Umuhimu wangu bado hamjaanza kuuona sababu mnajifanya busy. Ni wangapi nimewasadia humu kiuchumi na kimawazo? Wengi sana.

Wema wangu umewabeba wengi na wengine nimesaidia hata kufungua account humu JF. Mi nawaambia mtanikumbuka siku ambazo nitaanza kutoonekana.

Na mtasema laiti angekuwepo komeo la chuma angetusaidia katika hili ama lile. Mtakuwa mmchelewa. Kweli nawaambia.
 
Mkuuu, usifanye ivyo. Ndio hawa sisi!!! Nini shida! Sema nani huyo anakuletea stress awekwe sawa.
 
Back
Top Bottom