Nawaambia ninyi members. Umuhimu wangu bado hamjaanza kuuona sababu mnajifanya busy. Ni wangapi nimewasadia humu kiuchumi na kimawazo? Wengi sana.
Wema wangu umewabeba wengi na wengine nimesaidia hata kufungua account humu JF. Mi nawaambia mtanikumbuka siku ambazo nitaanza kutoonekana.
Na mtasema laiti angekuwepo komeo la chuma angetusaidia katika hili ama lile. Mtakuwa mmchelewa. Kweli nawaambia.