M Mtambachuo JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 1,907 Reaction score 3,560 Nov 5, 2024 #1 Ni ndani ya jiji muhimu la kibiashara la Dar es Salaam, lakini umeme unakata bila taarifa je kwa mikoani yawezekana karibia kila siku umeme unakata. Soma pia: Tatizo la umeme mkoani Tabora
Ni ndani ya jiji muhimu la kibiashara la Dar es Salaam, lakini umeme unakata bila taarifa je kwa mikoani yawezekana karibia kila siku umeme unakata. Soma pia: Tatizo la umeme mkoani Tabora
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 Nov 5, 2024 #2 CCM inatekeleza ilani yake ya uchaguzi! Tangu uhuru inatekeleza tu ilani zake za uchaguzi!!!
M Mtambachuo JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 1,907 Reaction score 3,560 Nov 5, 2024 Thread starter #3 Mwanamayu said: CCM inatekeleza ilani yake ya uchaguzi! Tangu uhuru inatekeleza tu ilani zake za uchaguzi!!! Click to expand... Ijitathimini na ijikosoe kama Baba wa Taifa Julius K. Nyerere alivyosema.
Mwanamayu said: CCM inatekeleza ilani yake ya uchaguzi! Tangu uhuru inatekeleza tu ilani zake za uchaguzi!!! Click to expand... Ijitathimini na ijikosoe kama Baba wa Taifa Julius K. Nyerere alivyosema.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Nov 5, 2024 #4 Mwanamayu said: CCM inatekeleza ilani yake ya uchaguzi! Tangu uhuru inatekeleza tu ilani zake za uchaguzi!!! Click to expand... Na kuna mtu alituambia kama hatuoni maendeleo tuwaulize mama zetu/wazazi wetu.🤔
Mwanamayu said: CCM inatekeleza ilani yake ya uchaguzi! Tangu uhuru inatekeleza tu ilani zake za uchaguzi!!! Click to expand... Na kuna mtu alituambia kama hatuoni maendeleo tuwaulize mama zetu/wazazi wetu.🤔
Jagina JF-Expert Member Joined Jan 29, 2019 Posts 8,428 Reaction score 4,022 Nov 5, 2024 #5 Mtambachuo said: Ijitathimini na ijikosoe kama Baba wa Taifa Julius K. Nyerere alivyosema. Click to expand... Kumbe Nyerere ni baba yako ??
Mtambachuo said: Ijitathimini na ijikosoe kama Baba wa Taifa Julius K. Nyerere alivyosema. Click to expand... Kumbe Nyerere ni baba yako ??
M Mtambachuo JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 1,907 Reaction score 3,560 Nov 5, 2024 Thread starter #6 Jagina said: Kumbe Nyerere ni baba yako ?? Click to expand... Nimenukuu kama anavyojulikana kuwa ni baba wa Taifa. Uwe unasoma vizuri wewe ngumbaru. Kalumekenge wewe uliyekataa shule.
Jagina said: Kumbe Nyerere ni baba yako ?? Click to expand... Nimenukuu kama anavyojulikana kuwa ni baba wa Taifa. Uwe unasoma vizuri wewe ngumbaru. Kalumekenge wewe uliyekataa shule.
Sax JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 3,578 Reaction score 6,740 Nov 5, 2024 #7 Kidumu chama cha mapinduzi,WTF