Kweli Ndoa yataka Moyo.....

Hapana, ex- wengine ni 'wajinga' sana, wanaharibu wenyewe mahusiano kisha wanajifanya hawaelewi somo, usipokuwa na moyo thabiti, wanakufanya MSUKULE...

I know, lakini huyo X anayekuchezea mimi simtofautishi na shetani maana ni kazi yake na kufanikiwa kwake ni pale anapomanage kukufanya msukule. Lakini mimi niliye mruhusu anichezee ndio nina makosa zaidi kwangu mwenyewe na kwa mpenzi wangu mpya ambaye anaathirika kwa kitendo cha mimi kuwa ndondocha. I have a power or at least l know where to get that power to say NO to USUKULE!
 
karibu mamii!
Relax!
Hakuna dogo wala kubwa katika ndoa!
Nahs napata courage zaidi kuliface hili pamoja nawe kiimani!
Mungu wako yupo hai!na wala hataacha mguu wako usepetuke wala hataacha adui yako afurahi!
amen....
 
hawa wanaume wanachoshaje? Huyu diva hana x ? Na yeye amtweet x wake mweee!
 
kunamsemo unasemaga ''hawara .......................'' malizia basi

kwani we huwasiliani na aliye kutoa bikra?
 
Piga mkwara kwa mumeo ndiya mbaya si huyo mwanamke ignore her!! mbane memeo ndiye anaendekeza hizo mesages!! bado ankula tundi mamaaaaaa
 
kublock namba na access za social media networks ni kitu muhimu sana...'i copy that'

noo usimblock utakosa kujua next episode....weee komaa nae? By the way wewe huna x na wewe umtweet?
 
nataka kubaki maana nampenda sana mume wangu kutoka moyoni

Pole sana mdada! yaani nimeumia roho sana kwa habari hii!!

Ukweli ni kwamba mumeo ameacha mpenyo na ndo maana huyo kirukanjia anawaingilia! mumeo alitakiwa kufunga makoloni yake yote ya zamani!! tatizo hakung'atuka na huyo ndo kamganda na kwa jinsi inavyoonekana anapania kukupindua na kwa sababu mumeo hana msimamo na ndoa yake, anataka! hataki!!

Haiwezekani hata siku moja, eti mpenzi wake wa zamani halafu anasema eti ni rafiki tu! ulikosea step toka mwanzo! ulipashwa ukomeshe hiyo toka mwanzo! hakuna kitu cha namna hiyo!!!

Sasa kikubwa mi ninachokushauri ni Maombi!! ongea na Mungu maana ndoa ni mpango wa Mungu na mume ni wako! na pia kwa kuwa unampenda kwa dhati! mlilie Mungu amrudishe mume wako kwani hawa wezi wa ndoa siku hizi huwa hawa shindwi kutumia nguvu za giza ndo maana unaona hata mumeo hawezifanya maamuzi!

Pili kaa na mumeo mwambie kwa jinsi unavyompenda na jinsi unavyoumia na mambo hayo na kwamba hauko tayari na maumivu na risk ya magonjwa!! mwambie achague kuendelea na mahusiano au ndoa!aache kabisa kuwasiliana naye na pia ikiwezekana abadilishe namba na asimtaarifu na kama hatafanya hataacha mawasiliano basi kanogewa huyo! Hata kama unampenda sana lazima umwonyeshe msimamo wako kindoa sio tu kupenda basi hata apande kichwani akunyee!

Pia unaweza wahusisha watu unaodhani wana hekima na busara na anaoweza kuwa sikiliza ili mkae wampe tembe.

Kingine usipoteze muda kumfuatilia huyo shetwaani ndo atazidisha manjonjo! achana naye rubbish!!!!

Pole sana inauma sana mambo kama hayo yanapojitokeza katika ndoa tena hasa unapokuwa na upendo wa dhati kwa mwenzio! Mungu anaweza atakusaidia acha mashindano na huyo pepo!
 
mdogo wangu true_diva.....
pole sana kwa yaliyokukuta. napenda tu ujue kuwa siyo mwisho wa dunia. Una maisha yako wewe kama wewe, bila kuwa na mwingine, na hayo maisha yako yana-deserve kuendelea mpaka pale yatakapoishia.
Una muda mfupi sana wa ndoa, na nakuambia niamini kabisa kipindi hiki huwa ni kigumu sana katika ndoa kuliko kipindi chochote, pambana kwa kadiri Mungu atakavyokujalia na utakishinda tu.
umeona dada zako wengi hapo akina snowhite, gfsonwin na wengine wengi tu, hapa pia sitataka kabisa kumwacha Nyamayao, na mimi mwenyewe, naweza kusema tumekuwa kwenye hii tasnia kwa miaka mingi sana, na hakuna kati ya hao ambaye amekiri hapa kuwa imekuwa ni tambarare tu..... lakini look at them now, kila kitu kimekuwa historia.
Mimi ninachotaka kukushauri ni kwamba, kwanza jiangalie unataka nini katika maisha yako........ nimeona umekiri kuwa unampenda sana, jitahidi kupigania penzi lako (kama linastahili) na utapata ujira wako.
Mimi huwa napingana sana na kung'ang'ania kitu ambacho si changu. hapa nataka nikuambie kuwa ongea na huyo mume akupe msimamo wake kuhusu nyie wawili (wewe na huyo x), usiongee naye kwa vitisho, mpe muda wa kujifikiria na kuamua kuwa anataka nini. kama anakuchagua wewe basi akuheshimu (hapa mimi naamini kabisa ni ngumu kumkataza mtu kuwasiliana na watu ambao wewe huwataki, anaweza kukuambia hawasiliani naye kumbe anakudanganya) la maana hapa ni kukuheshimu.
kama unaweza, jitahidi sana hii kitu iwe kati yako, mumeo na Mungu wako, hapa JF umekuja sisi hatukufahamu na tunakupa majibu general tu, lakini kwa watu wanaokufahamu usitegemee hali itakuwa tambarare; kuna ambao watamwagia mafuta ya taa kwenye moto hali ikawa mbaya zaidi......
Kaza Moyo, jua unachotaka, then songa mbele.
Mungu akutangulie katika kila utakalolifanya
 
Last edited by a moderator:
alafu humu watu bwana wakajnaga sana....eti omba Mungu. sasa wakati wanagegedana kabla ya kuoana mbona hawakumuomba Mungu. acheni hizo bwana Mungu hawezi kaa anasikiliza ujinga wenu. wewe kama umebugi face the consequences.
 
Urafiki na ex?..damn!
Kwa sasa naomba niseme tu ' a house divided against itself cannot stand'
Mwambie mumeo bygones are just bygones...hapo unaibiwa mchana kweupe!
Ni mawili ama uamue kushare na wazamani au upiganie ndoa yako...

mbona mimi ex wangu ni rafiki yangu na hatufanyi chochote? ina maana mtu akishakuwa ex then ni adui yako?
 
hawa wanaume wanachoshaje? Huyu diva hana x ? Na yeye amtweet x wake mweee!

"An eye for an eye will make the whole world go blind." - M. Ghandi

kunamsemo unasemaga ''hawara .......................'' malizia basi

kwani we huwasiliani na aliye kutoa bikra?

Ukishaamua kuoa/kuolewa lazima uwe tayari kuachana na yote hayo! Ukiona huwezi basi hujafikia wakati wako..tatizo tunaoa/kuolewa kwa kuangalia umri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…