gest za uchochoroni nazo zinaraha yake sio kila siku movenpickDemu unayekutana naye gesti asitahiri kuwa mke wako.Huyo muweke kama akiba wa kuokoa jahazi wakati mambo si mambo.Gest .? tena uchochoroni.?Na we demu unayeperekwa gest.?
Usipokee simu zake wala usijibu sms zake full stop.
Msichana,niliepanga kufunga nae ndoa na tena anafahamika hadi kwetu,amenifanyia mambo ya ajabu.
Ilinichukua miezi minne tangu nionane nae mara ya mwisho.Tukiwa gest nikakuta kuna namba mbili moja kasevu LOVE na nyingine SWEET.Namba hizi zote ni za mwanamme mmoja anatumia mitandao miwili tofauti.
Nilipomuliza alikiri,na kuomba msamaha mimi nikakubali.
Cha ajabu siku nyingi baadae akanipigia simu kidume wake akanichimba mkwala,na pia alimfosi demu wangu aongee mbele yangu kua hanitaki,kweli alifanya hivyo.Nami nikwamwambia sawa.Hatimaye akanambia nisimpigie simu.Lakini nashangaa yeye ndo amekua wa kwanza kunipigia,kunitumia meseji na kuniomba hela na wakati mwingine anajifanya ananisalimia.Je!Nimjulishe mtu wake?
Demu unayekutana naye gesti asitahiri kuwa mke wako.Huyo muweke kama akiba wa kuokoa jahazi wakati mambo si mambo.Gest .? tena uchochoroni.?Na we demu unayeperekwa gest.?
sichoki kurudia hii: 'advice is what we ask for when we know exactly what to do bt dont wanna do it'. .[/QUOT
Hapo ndio yote ..mshukuru Mungu kwa kukuonyesha mapema wengi hawapati bahati hiyo wanafunga ndoa huko ndani ndio wanakutana nacho ......Mke mwema mtu hupewa na bwana...so huyo hafai kuwa mkeo na hata huyo jamaa atakuwa anapiga tuu mda ukifika atamtema mazima
Mkuu Chipanje, huu uzi wa leo na huyu msichana unayemsema vina uhusiano wowote na ule uzi wa jana?! Ebu nijibu kabla sijakuona wewe ndo tapeli unayehangaisha watu humu kwa visa vya uongo.
sichoki kurudia hii: 'advice is what we ask for when we know exactly what to do bt dont wanna do it'. .[/QUOT
Hapo ndio yote ..mshukuru Mungu kwa kukuonyesha mapema wengi hawapati bahati hiyo wanafunga ndoa huko ndani ndio wanakutana nacho ......Mke mwema mtu hupewa na bwana...so huyo hafai kuwa mkeo na hata huyo jamaa atakuwa anapiga tuu mda ukifika atamtema mazima
Kaka,nimeukubali ushauri wako.We ni great thinker!