Kweli nimetendwa mie

Kweli nimetendwa mie

Hii ni counter kama za ujerumani.

Ngoma inatoka kwa Boateng hadi kwa muller
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
unashtukia watu wako kwenye kibendera tu wana shangilia

ila leo nimekuwa ambushed
 
mi mwenyewe sijui hata tuko wapi saa hii ngoja niende ule uzi wa TECHNO wereva
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiukweli nimejaribu kukazana na hii miguu yangu mitatu nimeishia kujikwaa tu na kupitwa, kama kasi haitakua kubwa huko nishtue.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bamdogo sitaki mimi jaman halaf namtafuta manga nimeambiwa ananitafuta toka jana usiku
Manga atarudi..
Hautaki nini sasa na wewe mbona unaanza kufanya nikose usingizi
 
Huu mtindo wa kushinda jukwaa la siasa na jukwaa la wakubwa unanikosesha wachumba.

Naombeni usajili jukwaa la kuhusiana na kujamiiana
 
Back
Top Bottom