Kweli nimetendwa mie

Jirani mimi nikiwa na shida na wewe ndio unapata safari!! Hii safari ya leo ahirisha niko njiani nakuja mwenyewe.
Kama unakuja mwenyewe hakuna shida mama show za wakubwa kwann tuanze kushirkisha watoto?
 
Kivumishi kishirikishi Hiki jiran kinaendana na nomino kamilifu kwahyo wakubwa hapo umesimama kama nomino kamilifu
Uh!!!! Jirani umenishinda!![emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Wai, heri matokeo yametoka,

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…