Kuna nyingine hapa iPhone 5 ipo ipo tu haina matumizi nataka niigawe tuIphone mpya kanunua milioni mbilii
Siku yako ikifika ukawekwa mtu kati ntakuchekeleaNitaanzia wapi kufurahia mama.
Hapa yenyewe nacheka huku nimekunja ndita.
Watoto humu wanazipenda hizo wamechoka kutumia tecno wereva changamkia fursa uzi-supplyAhsante Mkuu ninayo nyingine IPhone 5 ila haina matumizi ipo ipo tu
Sent from my Iphone mpyaaa nimenunua million mbili..!!
We jamaa una tamaa sana humfai huyo mwanamkehalaf ujue Vera hata hakushindi
ile ilikuwa ni kuchangia mada tu Gea wangu
Ninon'goneze basi[emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kaharufu ka wolpa ee
Gea hata usihangaike kwanza nna shangaa wanao msifia Vera wanaona uzuri gan haswa.Kweli ye kajichubua mi natural,tatizo natural wao wameiachia misitu,basi nami nabandika kope na na nywele
Mi ntanunuliwa na my beby IceKuna nyingine hapa iPhone 5 ipo ipo tu haina matumizi nataka niigawe tu
Sent from my Iphone mpyaaa nimenunua million mbili..!!
mzeee yamenikuta hapaEeeeh!! Kaz ipo
Chichat tuchatike tu
[Color= yellow]Triple A[/color]
Iceman 3D kweli umenifanyia hiviii,unamsifia mwanamke mwingine nbele yangu hata kama mim ni mbaya jamani,,basi na mim ntaenda kufanyiwa upasuaji niwe kama vera sidika kwa nyuma,yaan hata kama ukisema nifanyiwe upasuaji niwe kama paka ntakuwa tu sasa mim nafanyaje sasa nimependa mwenyewe hakuna namna,umeniumiza sana leoo
Daby kweli mim Ice navyompenda hivyo ananifanyia hivyo mi najiua haki tena mim mapenzi basi
Mbona alivyokuwazmani hujasifia ma alikua naturalGea hata usihangaike kwanza nna shangaa wanao msifia Vera wanaona uzuri gan haswa.
endelea kuwa natural mtoto mzuri
Siunajua mimi mzee wa fursa nilipoona title kuumizwa nikajua lazima kuna fursa.halaf hii sku iona kabsa
haya mambo ilibid tuyamalize mapema bhana
sasa wewe umewahi ukaanza kuwahi na nafasi tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanaume anatamani picha tu ya vera jiulize huko mtaani....jiongezeMi ntanunuliwa na my beby Ice
Nampendaga uyo kaka uliemueka kwa profile hope na ww umefanana nae maana mie napenda mwanaume akiwa hb yani nikimwangalia nashiba[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1]Ninon'goneze basi
Nakuhesabia nilikokusaidia kote.Siku yako ikifika ukawekwa mtu kati ntakuchekelea
Mim huyu au,ayaaaa aigoooooWe Gea wewe...jana si ulikuwa unanitaka mimi...
Leo umehamia kwa mwingine?
Ngoja niikoroge dawa yako.
haaaaWe jamaa una tamaa sana humfai huyo mwanamke
Sent from my Iphone mpyaaa nimenunua million mbili..!!
Gea hata usihangaike kwanza nna shangaa wanao msifia Vera wanaona uzuri gan haswa.
endelea kuwa natural mtoto mzuri
We Gea wewe...jana si ulikuwa unanitaka mimi...
Leo umehamia kwa mwingine?
Ngoja niikoroge dawa yako.
Ayaa Umeona nyani alichonifanyiaNakuhesabia nilikokusaidia kote.
Wewe hata siku moja. Haya tu