Kweli nimetendwa mie

Kweli nimetendwa mie

Kweli ye kajichubua mi natural,tatizo natural wao wameiachia misitu,basi nami nabandika kope na na nywele
Gea hata usihangaike kwanza nna shangaa wanao msifia Vera wanaona uzuri gan haswa.

endelea kuwa natural mtoto mzuri
 
Iceman 3D kweli umenifanyia hiviii,unamsifia mwanamke mwingine nbele yangu hata kama mim ni mbaya jamani,,basi na mim ntaenda kufanyiwa upasuaji niwe kama vera sidika kwa nyuma,yaan hata kama ukisema nifanyiwe upasuaji niwe kama paka ntakuwa tu sasa mim nafanyaje sasa nimependa mwenyewe hakuna namna,umeniumiza sana leoo
Daby kweli mim Ice navyompenda hivyo ananifanyia hivyo mi najiua haki tena mim mapenzi basi

We Gea wewe...jana si ulikuwa unanitaka mimi...

Leo umehamia kwa mwingine?

Ngoja niikoroge dawa yako.
 
Back
Top Bottom