Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Natamani chura nazo zingekuwa na packs. Maana wanaume tusiyo nazo mnatusumbuaBasi huna vigezo niache na na ice tu anazo sita zote ndio maana nalia
Hivi ya sidika ingekuwa na packs ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani chura nazo zingekuwa na packs. Maana wanaume tusiyo nazo mnatusumbuaBasi huna vigezo niache na na ice tu anazo sita zote ndio maana nalia
Wee labda surgery tu hahaha
Iphone mpya kanunua milioni mbiliiKwa hiyo wewe unachukua tu walioumizwa?
Hongera kwa iphone
12 [emoji23][emoji23][emoji23]Natamani chura nazo zingekuwa na packs. Maana wanaume tusiyo nazo mnatusumbua
Hivi ya sidika ingekuwa na packs ngapi?
Sijawahi kuangusha bwana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
braza unaleta kiswahili wakati ilitakiwa ulinde.
halaf we ndio ndugu yangu pekee sasa hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ahsante Mkuu ninayo nyingine IPhone 5 ila haina matumizi ipo ipo tuKwa hiyo wewe unachukua tu walioumizwa?
Hongera kwa iphone
HahaKuna harufu hapa siielewi elewi!!!!
[emoji23][emoji23] ebu muulizeIphone mpya kanunua milioni mbilii
Kweli ye kajichubua mi natural,tatizo natural wao wameiachia misitu,basi nami nabandika kope na na nywelehalaf ujue Vera hata hakushindi
ile ilikuwa ni kuchangia mada tu Gea wangu
Hivi wewe jamaa upo?Eeeeh!! Kaz ipo
Chichat tuchatike tu
[Color= yellow]Triple A[/color]
Nakuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kaharufu ka wolpa eeKuna harufu hapa siielewi elewi!!!!
Nitaanzia wapi kufurahia mama.12 [emoji23][emoji23][emoji23]
Halaf unafurahia matatizo yangu eti
[emoji1][emoji1][emoji1]Nakuona
Iceman 3D kweli umenifanyia hiviii,unamsifia mwanamke mwingine nbele yangu hata kama mim ni mbaya jamani,,basi na mim ntaenda kufanyiwa upasuaji niwe kama vera sidika kwa nyuma,yaan hata kama ukisema nifanyiwe upasuaji niwe kama paka ntakuwa tu sasa mim nafanyaje sasa nimependa mwenyewe hakuna namna,umeniumiza sana leoo
Daby kweli mim Ice navyompenda hivyo ananifanyia hivyo mi najiua haki tena mim mapenzi basi
halaf ujue Vera hata hakushindi
ile ilikuwa ni kuchangia mada tu Gea wangu
halaf hii sku iona kabsaSijawahi kuangusha bwana.
Ukitaka ujue ulinzi wangu mkali Gea kaweka mada tu dk 2 ninayo kama Joseverest vile