GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa wale tuliosoma au kuishi Uganda miaka ya katikati ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 mtakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa tulikuwa tukija Uganda na TSHS 200,000 basi huku tukizibadili tunakuwa Matajiri na Kula sana Bata maeneo ya Club Silk na Ange Noir kwani tulikuwa tunapata UGX 400,000.
Hata hivyo kwa sasa Uganda chini ya Rais Mchapakazi Jenerali Yoweri Kaguta Museveni imeweza Kuimarika Kiuchumi na kwa nionavyo muda si mrefu Uchumi wake / wao si tu utaufikia Wetu bali utaupita kabisa kwani kwa sasa TSHS 200,000 kwa huku Uganda ukiibadili unapata UGX 259,000 kitu ambacho kimenishtua.
Nilipoamua kufanya Udadisi wa hapa na pale kama ilivyo desturi yangu na Taaluma yangu inavyoruhusu ni kwanini imekuwa hivi nikaambiwa kuwa Rais wa Uganda na Waganda hawana muda wa Kupoteza kutafuta Sifa Mitandaoni au Kujadili Maupuuzi na Kusifusifu tu Kipumbavu bali wanafanya Kazi kweli na Wanatuacha.