Mockingbird
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 434
- 1,043
Nataka niifanye siku yako iwe nzuriii zaidiiSiku yangu nzuri kwa kweli,yaani nzuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka niifanye siku yako iwe nzuriii zaidiiSiku yangu nzuri kwa kweli,yaani nzuri sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio poa bhanaaMikwangu sikuzote zinakuanga mbaya tu, hadi nipige Bombardier....[emoji481] [emoji481] ndio naanza kuona burdani.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Lala tuAisee ata kwangu najihisi kichwa kizito...natamani kulala tuu...sijisikii kabisa kutoka mwili mzito
Mh kitu ganiKuna kitu kimechangia uvivu wako
NakaziaSiku njema huonekana asubuhii
Nataka niifanye siku yako iwe nzuriii zaidii
Basi basi kwakua umeanza na kunitisha acha tu niwe mwenyeweUtaniweza Lakini?Maana hapa ni high horse power
Basi basi kwakua umeanza na kunitisha acha tu niwe mwenyewe
Unamaana gani mamii?Siku njema huonekana asubuhii
Hahaha hizi kauli nazipenda sanaNdo maana nikakuambia huu mziki huuwezi,hii ngoma waachie wajomba zako
Anza siku yako kwa sala!Unamaana gani mamii?
Pole mum.Yani siku ya leo kwangu ipo tu ovyoovyo..moja haikai mbili haikai tatu haisogei..
Uvivu sasa uwiii
Nipo nipo tu kama fwala
Vipi wenzangu mmeshawahi kupatwa na hali hii?? Na mliwezaje kuishinda!!??
Niwatakie mchana mwema.
Hahahahaha unaweza usipige hata deki.Aiseee hiyo hali huwa inanitokea kama sina helaaa
Aiseee wahanga ni wengi kumbePole mum.
Hata mie huwa inanitokea ila ni siku ambazo siyo za kazi
Amen[emoji122] [emoji122]Anza siku yako kwa sala!
Hahaha hizi kauli nazipenda sana
Hahahahahaha sana huwa nakosa rahaaaaHahahahaha unaweza usipige hata deki.
Unaingia jf unaona hamna maana, unaenda insta napo huoni jipya.
Kukosa hela ni hatari