Kweli siku hazifanani

Kweli siku hazifanani

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Yani siku ya leo kwangu ipo tu ovyoovyo..moja haikai mbili haikai tatu haisogei..
Uvivu sasa uwiii
Nipo nipo tu kama fwala

Vipi wenzangu mmeshawahi kupatwa na hali hii?? Na mliwezaje kuishinda!!??

Niwatakie mchana mwema.
Pole mum.
Hata mie huwa inanitokea ila ni siku ambazo siyo za kazi
 
Back
Top Bottom