Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuwahi kuwaza kutongoza demu hapa Jamvini....tatizo liko hapa, kutokana na hidden IDs unaweza kujikuta unatongoza mwanaume mwenzio! unamtamanije mtu ambaye hukuwahi kumwona hata kwenye picha?
nilichofanyiwa mimi sitasahau. niliingia humu jf sasa yapata miez 4 nikapata demu humu jf tumewasilia kwa muda akasema anaishi dar akaniomba nimtembelee nimeenda dar kumbe ana mume nusu wanibikiri naomba wadada muache hyo mambo
Junior Member Array aisee, kumbe JF ni kiboko.... yaani so much chemistry between avatars
umeona eeeh?