kweli supermaraket hawauzi sementi

kweli supermaraket hawauzi sementi

Ushaliwa sema unawahi tu wasije wakaanza wao kupiga mbinja
 
Wanaume yanawakuta sana haya eh.. Hamjifunzi tu!
 
Sikuwahi kuwaza kutongoza demu hapa Jamvini....tatizo liko hapa, kutokana na hidden IDs unaweza kujikuta unatongoza mwanaume mwenzio! unamtamanije mtu ambaye hukuwahi kumwona hata kwenye picha?

Tongoza demu, akikubali omba muingie skype kama hana chapa lapa. Kazi kwishney.
 
Tatizo letu waswahili tunapenda sana kufikiria mbali. Demu akikubali urafiki nawe, haina maana kuwa lazima awe mpenzi wako. Mwenzako alikubali urafiki nawe kwa maana halisi ya urafiki na hakuona ubaya wa wewe kufika kwake mumewe akiwepo. Si ajabu tayari alishamsimulia mumewe kuhusu urafiki wenu na akataka akutambulishe kwake.
Jamani, hebu tuache kuendekeza kufungua zipu na tufikirie maendeleo. Kuna wanawake wana mawazo mazuri tu na inawezekana mkashea mawazo ili kufanikisha maendeleo!
 
Mkuu una moyo kweli unafunga safari kumfuata demu ambaye hata hujamwona kweli we ni kipanga.Hapo unapoishi hawapo mpaka uwasafirie au hawana ladha.Angalia babu
 
aisee, kumbe JF ni kiboko.... yaani so much chemistry between avatars
 
nilichofanyiwa mimi sitasahau. niliingia humu jf sasa yapata miez 4 nikapata demu humu jf tumewasilia kwa muda akasema anaishi dar akaniomba nimtembelee nimeenda dar kumbe ana mume nusu wanibikiri naomba wadada muache hyo mambo

Junior Member Array


Join Date : 29th February 2012
Posts : 3
Rep Power : 0

bila shaka utakuwa una matatizo ya akili soma hapo kwenye highlighted umefikisha miezi 4..kwa nini usibikiriwe ??
 
umeona eeeh?

yeah, k'kabana... subiri itokee njemba moja hapa na avatar kali sana ya mrembo halafu ije na vineno fulani vya kichokozi, full kuchombeza, mwishowe ialike wakware kule PM na kumwaga account numbers... watu wataliwa hela kama hawana akili nzuri...
 
Back
Top Bottom