Jamani kabla hamjatoa adhabu na hasira kwa wagombea toeni adhabu hizo kwa Viongozi wa NEC na wakurugenzi wa chaguzi ambao ni puppets wao! Hili lawezekana.
Kuna wakurya hata Dar Preta wafanye kwa niaba ya wenzao wa Tarime.wale wako mbali....darisalama.....kuwapata itakuwa ngumu na nguvu itapungua....wao wanamtaka huyo walienae karibu.....MF hujaelewa tu vijana wanataka nini?
:tea:acha wauweeeee
Kama kawaida tutawapelekea,kikosi maalum,mwanzo hawana mvuto wakitanzania,2nasifika na tabia ya ustaarabu,uraiya wao nina hatihati nao,baada ya Mheshimiwa kuapishwa,we have to do vatting kwa jimbo la Tarime,nahisi wakimbizi wanataka kuharibu jina letu

Jamani huyo nyangwine namfahamu tangu tunasoma wote mara and then mkwawa, yaani ni kilaza hata kuongea hajui .
wananchi wa tarime wamedai kuwa watamkataa kwa njia wanayoijua mbunge mteule wa ccm , nyangwine!
msemaji wa kamati maalumu itakayohakikisha kuwa azma hiyo inatekelezwa haraka na kama walivyopanga (jina nalihifadhi) amesema:
'tumemkataa huyu mgombea wa ccm kwa kumnyima kura lakini tume imemrejesha. Sasa tumeamua kumkataa kwa njia tunayoijua sisi, cha msingi nec ianze maandalizi ya uchaguzi mdogo jimboni hapa. Kama wanadhani tunatania subirini mtaona'
swali: Hawa jamaa wanataka kufanya nini?