Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Jamani kabla hamjatoa adhabu na hasira kwa wagombea toeni adhabu hizo kwa Viongozi wa NEC na wakurugenzi wa chaguzi ambao ni puppets wao! Hili lawezekana.
wale wako mbali....darisalama.....kuwapata itakuwa ngumu na nguvu itapungua....wao wanamtaka huyo walienae karibu.....MF hujaelewa tu vijana wanataka nini?