Kweli Tumetoka Mbali, Sio El Merrekh Wala Power Dynamo Waliopokelewa Airport kwa Maandamano

Kweli Tumetoka Mbali, Sio El Merrekh Wala Power Dynamo Waliopokelewa Airport kwa Maandamano

Mtani Ile danganya toto tu, Eng Hersi anachotaka ni kombe sio kushiriki! Ile ni staili ya kutuliza mashabiki tu maana Pira GAMONDI mashabiki mzuka umepanda sana ni burudani mwanzo mwisho hata Diarra kaambiwa na kocha nayeye awe anaenda mbele kufunga! Hii Yanga itawatesa na kuwapoteza timing Makolo wengi for many years!

Ufalme wa Simba kwenye ligi ya bongo wote kwishney! Power Dynamos wamesema wanaiogopa sana Yanga yenye wachezaji 13 wanaocheza vikosi vya kwanza timu zao za Taifa ( hapa nimemjumuisha Mayele maana bila Yanga asingekuwa mchezaji hatari)! Power Dynamos Wameahidi kuikanda Simba kwao na mi nadhani Kwa ubovu wa Simba hii watafaulu!
Lakini Yanga haijawahi kufikia hatua ya Makundi klabu bingwa kwa miaka 25 sasa, ni hatua ngumu sio mchezo, sema watu wanaona Simba inashiriki kila mwaka wakadhani ni rahisi...

ukitaka kujua ugumu wa kufikia hatua ya makundi klabu bingwa, waulize viongozi wa Yanga, wanajua ugumu wake zaidi kuliko mashabiki maandazi
 
Hakuna cha kustaarabika wala nini. Sema mashabiki wa timu zote mbili wana stress tu kwa michezo yao maana bado hawajafuzu
 
Back
Top Bottom