Mtani Ile danganya toto tu, Eng Hersi anachotaka ni kombe sio kushiriki! Ile ni staili ya kutuliza mashabiki tu maana Pira GAMONDI mashabiki mzuka umepanda sana ni burudani mwanzo mwisho hata Diarra kaambiwa na kocha nayeye awe anaenda mbele kufunga! Hii Yanga itawatesa na kuwapoteza timing Makolo wengi for many years!
Ufalme wa Simba kwenye ligi ya bongo wote kwishney! Power Dynamos wamesema wanaiogopa sana Yanga yenye wachezaji 13 wanaocheza vikosi vya kwanza timu zao za Taifa ( hapa nimemjumuisha Mayele maana bila Yanga asingekuwa mchezaji hatari)! Power Dynamos Wameahidi kuikanda Simba kwao na mi nadhani Kwa ubovu wa Simba hii watafaulu!