Mfichua siri
Senior Member
- Jun 19, 2012
- 135
- 62
Ni vigumu kutofautisha kati ya muislam na gaidi,maana ugaidi na uislam ni pande mbili za shiling moja,kwa hyo kupambana na ugaidi ni lazma kupambana na uislam.
Kauli za namna hii si sawa. Tujirudi!!!!!!!Mtoto wa zinaa hawezi kujificha!
Mnapewa elimu za bure, badala ya kutoa shukranj kwa mwalimu Mohamed said. Mnamwaga uharo wenu.
Halafu hasa nyie wenye menu ya kuungua! Ni kabila lenye laana!
Nimeskia asili yenu ni ile kabila kutoka congo ya wala mavi na vibudu.!!
Wakati wasomi wanafundisha hapa jukwaani kuhusiana na how the system works along with MFUMO KRISTO we ulikuwa unabatizwa??
Au ulikuwa.nyuma ya madhabahu unasamehewa.dhambi na mchungwaji??
Nchi hii inaangamia kila siku kwa sababu ya misukule kama wewe!
Halafu siku za nyuma ulijigamba kuwa wewe ni mwanasheria!!😕😕
Sasa kama mwanasheria ana akili.mbivu kiasi hiki!
Sijui hao wahalifu watakuwa.na akili namna gani!!
Teh teh teh teh!
Kuwaacha watu kama Alshabab watamalaki eti kuogopa wapuuzi flani watalalamika kwamba uislam unashambuliwa itakuwa nikukubari dunia iteketezwe na hawa wauaji wanaotumia mgongo wa uislam kumwaga damu
Kabisa kaka hata kama watakua wakali,hilo ndio serikali yetu imeshndwa,waambie watu ukweliachukia,serikali yetu imelea sana ugaidi,hua najiuliza hivi ingekuaje km rais wetu wa kwanza angekua ni mtu wa dini nyngne tofaut na tunavyojua wakristo wangepona kweli au wangeheshmiwa kweli,ona africa ya kati,wahuni wa kiislam mara tu baada ya kushka madaraka wanaua wakristo hovyo,dini nyngne kwa kweli!Kuwaacha watu kama Alshabab watamalaki eti kuogopa wapuuzi flani watalalamika kwamba uislam unashambuliwa itakuwa nikukubari dunia iteketezwe na hawa wauaji wanaotumia mgongo wa uislam kumwaga damu
Turidi kwenye suali la msingi, jee wananchi waislam walio shambuliwa na kuuliwa na na polisi wa tanzania walikua magaidi ?
- ushahidi gani kwamba upo ?
- jee sio kweli kwamba uonevu wa wananchi wale kulazimishwa na kunyanganywa mazao yao na polisi/mgambo na halmashauri ndio zilisababisha vurugu Kilindi?
- jee vurugu zile za kukataa kulipa kodi kwenye mihogo ya masikini hawa si ndio ilio sababisha vurugu na hatimae mgambo mmoja na wananchi wengi kuumuizwa. na badae huyo mgambo akafariki?
- jee sio kweli kwamba kifo kile cha sokoni kwenye vurugu za wakulima wa mihogo walokataa kuonewa ndio ilio sababisha polisi waje na ffu wote wa Tanga kuja kulipiza kisasi ?
- jee hawa polisi walikua halali kupiga mji wote , kuchoma mota nyumba za watu, kuharibu mazao yao?
- jee baada ya kufanya unyama huu wa kuua hovyo kwa chuki za kidini kabisa ..mkuu wa polisi masawe akageuza kibao wananchi wale masikini kuwa wana pigana na magaidi ?
- akavamia madrasa zao waislam na kuwasingizia ugaidi ?
- jee polisi wale baada ya kuharibu na kuua , walifanya unyama ule kwa maelekezo ya nani ? ya Kikwete? Ya Said Mwema? au ni chuki ambazo askari wale wamepandikizwa juu ya waislam
imekua ni tabia ya polisi na serikali kufanya unyama na baadae kusingizia waislam ni magaidi wamefanya kule mbagala...
wamefanya zanzibar ...wamefanya kilindi...na wamefanya mtwara..haya ndio masuala ya kujibu kwa nini ? kwa faida gani ? kwa maelekezo ya nani ?
na jee kwa nini kusifanyike uchunguzi wa yale yalio tokea kilindi na mtwara? wanaficha nini ? wanaogopa nini ? na kwanini mbunge wa kilindi Shelukindo mkristo anashindwa kutoa kauli ambapo wapiga kura wake wapo porini kukimbia risasi za polisi ? kwa nini anashindwa kulisemea hili? kazi ya mbunge ni nini ? au kwa vile kijiji kile kina waislam na walopigwa ni pamoja na imam wa msikiti.
ya yesu hii sio mada yake....hapa kuna watu wamekufa....
Mfichuasiri,
Maneno hayo yako yote ni sawa kabisa na wala mimi sikupingi katika hilo.
Lakini hao Al Shabab hawajapata kuwapo popote nchini kwetu.
Kisingizio cha ugaidi kinatumika kwa chuki kuupiga vita Uislam.
Hadi leo serikali haijawaonyesha Waislam ushahidi wa kuwapo kwa Al Shabab
huko Madina, Dibungo na Lwande.
Hata kesi iliyofunguliwa Handeni dhidi ya Waislam kosa la ugaidi halipo katika
charge sheet.
Na Waislam tulionya siku nyingi kuhusu hatari hii ya vyombo vya dola kutumika
kama ''armed wing of the Church.''
Haya nisemayo si maneno ya maskhara.
Tukifanya mchezo tutaja uana na mwisho wa siku sote tutakuwa tumepoteza
na watakaokuja kutupatanisha ni hawa hawa Wamerekani.
Mwanzo wa mvua manyunyu.
Mwanzo wa nyimbo lelelelele.
Mwisho.
Umeandika vyema ukitoa neno ''upuuzi.''
Mkuu hapa ndipo unaponichanganya!
"Armed wing of the church" Ina maana hivi vyombo vya dola hupokea amri toka kanisani na si serikalini?
Huu ni utafiti au maoni binafsi?
Unajua utafiti unakuwa na vitu gani?
Haieleweki huu utafiti ulifanyikia wapi na njia gani ilifanyika kuufanya huu utafiti
Hakuna chombo chochote kinachokubalika kilichouthibitisha huu utafiti
Hakuna chochote cha maana hapa
Una ushahidi gani kuwa hao waliofaulu walifaulu kwa mujibu wa dini zao?
Unatuletea maoni yako hapa?
Tuna ushahidi gani wa utimamu wa huyu aliyeandika haya?
Alitoa wapi haya?
Usikute alikaa tu chumbani na kuandika akiwa na mkewe!
Ndugu yangu Eiyer....... usipoteze muda wako kubishana na watu ambao siku zote wanamtafuta wa kumlaumu ikitokea kuna tatizo.....
Binafsi mimi ni mkristo kabisa..... lakini hakuna siku ambao ukristo wangu ulinisaidia kufanikisha mambo yangu.... katika maana ya kuwa mfumo kristu haujawahi kunisaidia kufanikisha jambo hata moja......haujawahi..... kamwe... Ninachojua maendeleo ya mtu ni juhudi za mtu binafsi..... bila kujali dini yake..... mimi nimeona.... jamii ya kiislam pegine inakuwa nyuma kielimu kwa kuiga desturi za kiarabu..... maana utaona watoto badala ya kuwapeleka shule wasome ili wapate elimu itakayo wasidia kupambana na changamoto za mazingira yanayowazunguka wao huwapeleka madrasa..... wapelekeni watoto shule...ili wapate ujuzi wa kupambana na maisha.....
wewe kuna watanzania kibao wanahangaika na maisha bila kujali imani zao.... kwa nini mfumo huo kristo usiwasaidie wakristo kibao ambao wanapigika na maisha..... watu wanaoleta udini wamefilisika kisiasa..... nao ni wa kuwaepuka kama ukoma.....
Ila sifichi..... kuna sehemu ukabila ulinitoa kimtindo..... kuna watu walitaka kuniwekea kauzibe lakini mkabila mwenzangu akawapangua basi nikapeta kimtindo ..... (samahani hili jambo nalisema si kwa kujisifu...ila kwa kuona aibu..... maana si jambo jema kuendekeza ukabila)
Ntuzu,
Usichanganyikiwe jitahidi.
Haya mambo yanahitaji ubongo mkubwa kuelewa.
Watu wa dini moja wana
pohodhi madaraka ya nchi haya ndiyo matokeo yake.
Serikali inakwenda kwa mujibu wa wale walioshika madaraka.
Kwa sasa itakuwa tabu kwako kuelewa.
Inakuwa tabu kwa kuwa bado hujaonja dhulma.
Unastaajabu ukisikia Waislam wanailalamikia NECTA.
Huwezi kuelewa tatizo liko wapi kwa kuwa wewe unanufaika na mfumo ulioko.
Huwezi kuelewa nini Mfumokristo.
Wala huoni ni dhulma kwa serikali kuchota mabilioni yakapewa makanisa
kujiendeleza wakati kodi inalipwa na wote.
Soma historia ya uhuru wa Tanganyika ulivyopiganiwa na nini kilitokea baada
ya uhuru.
Kwa nini Waislam hahajanufaika na uhuru walioupigania na kwa nini historia hii
hapendwi.
Kwa kuanzia nakushauri soma kitabu cha Prof. Hamza Njozi ''Mwembecha Killings...''
yapo mengi utajifunza.
Padri Lwambano kasema uongo kuwa Yesu kakashifiwa na bila kuchunguza askari
wakatumwa Mwembechai na Waislam wakauliwa.
Ilipokujajulikana kuwa hapakuwa na hata muhadhara siki hiyo maji yeshamwagika
hayawezi kuzoleka.
Damu ya Waislam imshamwagika.
Jiulize kwa nini hadi leo Inquest haijafahamika.
Jiulize ni nani anaezuia hiyo Inquest isifanyike.
Yapo mengi sana.
Kwa mtindo ule ule wa Mwembechai wamewauwa Waislam Madina na kuchoma misikiti
na nyumba zao.
Kwa mtindo ule ule watuj wanaaminishwa kuwa askari walikuwa wanapambana na magaidi
waliokuwa wanaishi katika mahandaki huko Lwande.
Kwa kuwa ''movie'' hizi zinalipa hawataacha kutengeneza mpya kila kuchao.
Muslim blood is cheap.
Na si kuna fedha ya Mmarekani kuwashughulikia magaidi.
Sasa kama hakuna magaidi si lazima watengenezwe magaidi ili fedha iliwe?
Ni juu yao Waislam kujiuliza.
Haya lini mwisho wake na nini kifanyike kukomesha dhulma hii?
Ntuzu kuna maswali mengine mengi tu ukifanya utafiti mwenyewe kidogo tu UTAPATA MAJIBU!.Mkuu ningependa ukiulizwa Swali utolee majibu Kutokana na Swali jinsi lilivyo!
Mimi niko Bado juu ya amri Kwa vyombo vya dola hutoka Kanisani Au serikini?
Alafu nilikua Nasema tangu mwanzo Kua huu mfumo Wa kimataifa Au ni Tz tu! Kuujadili kimataifa unakataa lkn ktk maelezo yako unayaangiza mataifa ya nje na hii inaonesha wazi km huu mfumo asili Yake si Tz! Ebu Kua muwazi ili mada iwe pana Zaidi!
Ndugu yangu Eiyer....... usipoteze muda wako kubishana na watu ambao siku zote wanamtafuta wa kumlaumu ikitokea kuna tatizo.....
Binafsi mimi ni mkristo kabisa..... lakini hakuna siku ambao ukristo wangu ulinisaidia kufanikisha mambo yangu.... katika maana ya kuwa mfumo kristu haujawahi kunisaidia kufanikisha jambo hata moja......haujawahi..... kamwe... Ninachojua maendeleo ya mtu ni juhudi za mtu binafsi..... bila kujali dini yake..... mimi nimeona.... jamii ya kiislam pegine inakuwa nyuma kielimu kwa kuiga desturi za kiarabu..... maana utaona watoto badala ya kuwapeleka shule wasome ili wapate elimu itakayo wasidia kupambana na changamoto za mazingira yanayowazunguka wao huwapeleka madrasa..... wapelekeni watoto shule...ili wapate ujuzi wa kupambana na maisha.....
wewe kuna watanzania kibao wanahangaika na maisha bila kujali imani zao.... kwa nini mfumo huo kristo usiwasaidie wakristo kibao ambao wanapigika na maisha..... watu wanaoleta udini wamefilisika kisiasa..... nao ni wa kuwaepuka kama ukoma.....
Ila sifichi..... kuna sehemu ukabila ulinitoa kimtindo..... kuna watu walitaka kuniwekea kauzibe lakini mkabila mwenzangu akawapangua basi nikapeta kimtindo ..... (samahani hili jambo nalisema si kwa kujisifu...ila kwa kuona aibu..... maana si jambo jema kuendekeza ukabila)
Ntuzu kuna maswali mengine mengi tu ukifanya utafiti mwenyewe kidogo tu UTAPATA MAJIBU!.
Huyu mzee wetu Mohamed Said anapowasilisha hoja yoyote hapa jukwaanj basi we soma halafu fanya research zako, majibu yako wazi kabisa.
Matatizo yetu sisi watanzania ni kuwa TUNARIDHIKA NA MAJIBU TU BILA KUFANYA UTAFITI WWT!!
Na hili ni la kusikitisha sana.
Leo serikali ikiamua kumuita mtu yyt "MUUNGWANA" Watanzania tunabeba tu na kukubali moja kwa moja kuwa Jamaa huyo ni "Muungwana" na mwingine akiiitwa "GAIDI" hali kadhalika tunakubali na tunakwenda kama bendera kufuata upepo!!
Soma mkuu hio dhana yote ya MFUMO KRISTO!
Fanya research zako tembelea wizara zilizotajwa humo! Jionee mwenyewe KWA MACHO YAKO.
Na imani ukilofanya hilo Utamuelewa Saana Mzee Mohamed Said.
Wabheja baba!
Bopwe,
Ndugu yangu nalazimika kukupa hogera kwa haya ulosema.
Ngoja nikuongeze kitu.
Wakati hawa ndugu zetu wamesombwa na kufunguliwa mashtaka na kuwekwa
rumande Handeni ilitokea ibra ya ajabu.
Askari jela Waislam wakawa wanawatazama kwa karibu sana hawa mahabusu.
Walichogundua ni tofauti kubwa kati yao na mahabusu wengine wa kawaida.
Waislam mahabusu walikuwa wapole na wakimya kupita kiasi.
Siku moja wakati wanaswali huyu askari mmoja Muislam akawa anawaangalia
na akagundua kuwa katika safu wapo hata wale mahabusu jeuri.
Hili lilimshangaza na kwa kweli mahabusu ile ghafla ikabadilika hapakuwa na ugomvi
wala uvutaji bangi.
Lakini kilichomgusa aliwaona baadhi ya Waislam wapo kwenye sala na machozi
yanawatoka.
Baada ya sala akamwendea mmoja kumuuliza kipi kilikuwa kinamliza.
Yule mahabusu akamjibu, ''Imam alikuwa anasoma sura ambapo Allah amewasifu
Waislam na akawaeleza yale yatakayowakuta kutoka kwa makafiri. Mwisho
Allah akaahidi ushindi. Hiki ndicho kilichokuwa kikiniliza kuwa Allah kwa rehema
yake kanitia mimi katika kundi la wale walidhulumiwa kwa si kwa lolote ila kwa
kusema Mungu wangu ni mmoja ili aje anilipe hapa duniani na kesho akhera. Hiki
ndugu yangu ndicho kinachoniliza.''
Yule askari Muislam hakuchoka akataka kujua mengi kuhusu ugaidi Al Queda, Al
Shabab na wao wanavyohusika.
Yule Muislam akasema kuwa kama wangelikuwa wao wanahusika na ugaidi siku
nyingi wagelikuwa wameshakamatwa.
''Sikiza ndugu yangu. Hawa ndugu zetu kinachowakera ni huu Uislam wetu hakuna
kingine.''
Kwa muda yule askari alikaa kimya ameinamisha kichwa.
Aliponyanyua kichwa machozi yalikuwa yanamtoka.
Akasema,''Iko siku hizi bunduki tunazopewa tutakuja uana askari kwa akari.
Mimi siwezi kustahamili dhulma kama hii kwa ndugu zangu Waislam.''
Hizi hadithi ukimpelekea mwenye matatizo ya kufikiri atashangilia sana
Hivi huoni aibu kuandika haya?
Hizi hadithi ukimpelekea mwenye matatizo ya kufikiri atashangilia sana
Hivi huoni aibu kuandika haya?
Kikojozi mzee wa chabo.
Teh teh teh teh!
Nakuuliza wewe! Eti kutokuoa ktk ugalatia ni moja ya ibada au!?
Manake wale viongizi wenu wakuu MA PAPA hawana wake!
Hivi hio imo kwenye huo mchakachuo??
Eiyer,
Aibu nione kwa kitu gani cha kuonea haya?
Kama kuandika mimi nimeandika yale ambayo waathirika wa Madina, Dibungo
na Lwande wamenikhadithia wakati wako mahabusu kwa kudhulumiwa.
Hawa ni ndugu zetu waliouliwa jamaa zao, misikiti yao ikachomwa moto pamoja
na nyumba zao na mali kupotea.
Sasa aibu ya kuandika haya itatoka wapi.
We huyajui haya ndiyo maana unaweza kubeza.
hawa ndugu zetu walikuwa watu na hadhi zao wamerudi katika nyumba zao
hazipo na mali na mifugo yao yote imeibiwa.
Jiweke katika hali yao hapo ndipo utaelewa.
Ndugu yangu unadhani mimi nipo hapo kwa kufanya mzaha?
Kama unalo la kunifunza mimi niko tayari kukusikiliza.