conclusion:
ni wazi vita dhidi ugaidi ni crusade. Ni vita dhidi ya uislam,waislam ,dhidi ya mila , desturi na utamaduni wao .USA walikua na nia ya dhati kabisa kupambana na uislam mara baada ya kuona Taifa la USSR limeporomoka pamoja na itikadi nzima ya ukomonisti. Marekani ikabaki kuwa Taifa pekee lenye nguvu duniani na ubabe bila ya kupingwa na yoyote.
kuafatia hatua hii aliyekua rais wa marekani Reagan alitangaza rasmi kuwa sasa Marekani haina adui mwengine ila uislam.alisema madhali kitabu hiki(yaani quraan) kingalipo basii hatutaweza kutawala dunia kwa kupumua hivyo lazima tuwapige vita.hapa tunazungumzia mara baada ya kina Sheikh Osama kwa ufadhili wa Marekani hao hao kuweza kuwaondoa USSR kule Afghanistan.
kutokana na kauli hizi...ikafatia na mapinduzi ya Iran na kusimikwa Serikali ya kiislam ya Iran chini ya Khomeini, hii ni mara tu baada ya Reagan Kuondoka.
Taifa hilo likaanza kujenga chuki na waislam kwa kusaidia madektecta kama Sadaam KUIVAMIA kwanza iran..ambapo marekani walimsaidia kuishambulia iran na waliweza kumpa silaha za maangamizi na ruhusa ya kuzitumia dhidi ya iran na wa kurd.
vita ile mbali ya kuua watu zaidi ya million hasa wa iran ilii filisi iraq na marekani akampa go ahead kuivamia kuwait.
hapo ikapatikana sababu ya kupigwa sasa sadam na iraq.
hii yote ilikua ni crusade lakini inapigwa kwa ustadi mkuu.
haya yakiendelea yale makundi yao kama al qaeeda yakaanza kugombana na wafadhili wao .hawakukubaliana na marekani kuipiga iraq wao walitaka itafutwe suluhu...lakini kwa vile marekani wapo kwenye crusade hawakutaka suluhu na sadam akapigwa.
nao kikundi chao alqaeda wakashambulia kambi za jeshi marekani.na kilichofata ni kama TOM AND JERRY kati ya Alqaeda na mfadhiliwao....akipiga huko na wao wanapiga kule..mpaka hapa kwetu ubalozi wao ukanyukwa na kule kenya.
na wao wakapiga makambi yao kule tora bora..mwisho wa mambo ukahitimishwa september 11...kwa kupigwa majengo pacha ya world trade centre.
mashambulizi yale yalitoa mwanya kwa marekani kwani sasa wamepata sababu nia walikua nayo tangu enzi za reagan ya kuunza rasmi vita dhidi ya uislam.Bush alisema maneno haya..."This crusade, this war on terrorism, is going to take a while."
yaani hii ni vita ya kanisa dhidi ya uislam (crusade)na itachukua muda kumalizika( ukitilia maanani anapigana na dini ya Allah na zaidi ya watu billion moja)
hivyo hapo ndio tulipo anza alitangaza rasmi mataifa yote lazima yaungane na yeye kwenye crusade yake na yaliyo kataa basi nao wako na waislam...
japo walikua wakitumia neno war on terorism lakini lengo ni kuwapiga vita waislam kidogo kidogo .
- alianzia afghanistan..mpaka leo wapo bado wanaua.
- wakaenda iraq bado waislam wana kufa
- somali nako hawakua salama wameingiliwa
- yemen nako kila siku drones zinawaangamiza
- kenya nako waislam walikamatwa bila ya sababu
- tanzania napo kwanza tukakubali kuwa mshirika wa marekani katika vita hii dhidi ya wailam yaani crusade kwa kutunga sheria ya 'ugaidi' ambayo neno kwa neno limeko piwa..copy and paste ya sheria ya patriotic act ya marekani. wasomi mbali mbali walisema sheria hii si sawa hapa kwetu ..inakusudia kuwaangamiza waislam na ni ya hatari lakin i Rais mkapa alikataa na kuwatisha wasomi hao kwa kuwambia mmesomeshwa na ccm basi nyamazeni.
- tangu ianze hapa tanzania imetumika kukamata kutia watu ndani bila ya sababu..na wote ni waislam tu.
hivyo hitimisho ni kuwa taifa letu limepotoka kwa kukubali kuingia katika vita ya marekani kupigana na waisalm popote pale , sisi hatukuangalia taifa ni la waislam pia..lakini tukawadharau na kukubali kutumiwa na crusaders...
askari wamepewa mafunzo na master crusader...na nani anajua mafunzo hayo yanahusu nini ? lakini inawezekana moja ni kuwa wewe usiulize kitu unapofanya operation ambayo imetangazwa ni ya kupambana na kigaidi wewe vunja piga ua...hata kama kuna uongo ...ndio kama hii iliyo tokea Tanga Huko Kilindi......askari wale wakajazwa upepo na wakakumbuka mafunzo yao....
ndio maana hata rasimu ya katiba inayo kuja haitoi uhuru na haki za maana kwa raia...katiba bado itakua iko chini ya sheria ya ugaidi .aka.uislam.
tuache kutukana ..hakuna ugomvi kati ya raia wa dini hizi lakini kuna vibaraka na mawakala wakanisa amabo wao wana ona labda ukibamizwa uislam ndio njia ya wao kupanuka......ni akili mbovu tu kufikiria hivo kwani sasa watu dini wanasoma na kuchambua kujua ukweli na sio kufata kwa sababu ya urithi wa wazee.