Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Status
Not open for further replies.
Huu ni uvivu wa kufikiri na umbumbu usio ni mipaka and out of context. Mada ni kwamba kuna ukiukwaji wa haki za binaadam, wewe unaongelea suala la ugaidi. Polisi wanajichukulia sharia mkononi kama ilivyokuwa operation tokomeza ujangili au kwa kuwa hawa waliotendewa ni waislam, basi wamekuwa ninmagaidi. Hivi ni maidi gani wanaoishi katika nymba za udongo maskini wenye kipato chini ya dola moja kwa siku? Mawazo hasa ni sawa na mawazo ya Bush na jamaa zake ya kuhalalisha mauaji ya wanawake na watoto kwa kisingizio cha ugaidi.
Everyone will exist eternally either in heaven or hell (Daniel 12:2,3; Matthew 25:46; John 5:28; Revelation 20:14,15).

Ugaidi is part of the heading of this thread, how can you try to separate a discussion on this thread from a discussion on literally the "subject matter"?

Ukiongelea ukiukwaji wa haki za binadamu, ukiukwaji mwingine wa haki za binadamu ni habari nzima ya kuvitisha vitoto kwa kuvihubiria kwamba kuna moto baada ya maisha, watachomwa milele na milele kama hawataishi kama mnavyotaka nyie. This is psychological torture halafu mnawafunga watu wawaamini si kwa uzuri wa dini, bali kwa vitisho.

Halafu unapoandika "au kwa kuwa hawa waliotendewa ni waislam, basi wamekuwa ninmagaidi" unachekesha. Mimi sijawataja Waislamu. Nimeandika kwamba dini zote zinazohubiri moto baada ya kufa zinahubiri ugaidi. Hata Wakristo wanahubiri moto baada ya kufa, na katika standards zangu kwa hilo, wakristo na waislamu hawana tofauti, wote wanahubiri ugaidi.

Ugaidi maana yake ni kutaka watu wengine wafanye unavyotaka wewe kwa kutumia nguvu na vitisho. Kuhubiri moto ni kutumia vitisho.

Sasa kwa nini unaona nawasema Waislamu wakati maneno yangu yanahusisha waislam, wakristo na wengine wote wanaohubiri moto?

Umefikiri au umekurupuka?

Sasa mtu akisema kwamba Waislamu mnajistukia na hata pale ambapo hamjaonewa mnaona mmeonewa, kwa kutumia mfano huu, utasema amekosea?

Nani anaishi kwenye nyumba ya udongo na kupata dola moja kwa siku? Sultan wa Brunei? Mfalme wa Saudi Arabia? ma Emir wa UAE? Hawa si Waislamu?

Na kwa nini umasikini uwe kipingamizi cha ugaidi? Boko Haram Nigeria kuna watu masikini sana, na wanafanya ugaidi kwa sababu ni masikini, umasikini wao hauwazuii kuwa magaidi, more like ndio unaowasababisha kuwa magaidi.they have nothing to lose.

Ugaidi ni roho ya mtu tu, unaweza kuwa milionea kama Osama na kuamua kuwa gaidi, au unaweza kuwa masikini kama hao liutenants wa Boko Haram ukaona maisha hayana mpango ngoja nifanye ugaidi tu.

Kwa nini unataka kusema umasikini unazuia watu kuwa magaidi while it is more likely that affluency will make one think twice about blowing himself up because he has something to live for? What kind of dilapidated logic is this?

Bush unayemsema anatoka / katumia mirengo hiyo hiyo ya kidini kuhalalisha ugaidi. Alipoanza vita vyake aliviita "crusade". I am not sure you know what that is.

Mfano wako wa Bush unaimarisha point yangu kwamba dini hizi zinazohubiri moto ni ugaidi uliovikwa joho la utakatifu tu.

Na siongelei uislamu tu, hata Ukristo nao ni ugaidi. Ukisoma biblia utaona mungu anafanya mambo ya kigaidi mara chungu mzima, tena anatamba kwa kuwa gaidi.

As far as I am concerned Uislamu na Ukristo tofauti yake ndogo sana.

Na wanaooona tofauti kubwa ni kwa sababu hawajapanua mawazo kuona horizon kubwa zaidi.
 
Nimemaanisha na wala sina chuki yoyote ile kama unadhani ninayo hilo ni tatizo lako
Eiyer

Historia ya nchi yangu ipi?
Yapi yamefichwa?
Yeye kayagunguaje?

Kupotosha na kushughulikiwa ni vitu viwili tofauti

Wale mafisadi waliofisidi hela za EPA mbona hawajashughulikiwa?
Je kutokushughulikiwa kwako kunawafanya kuwa hawana hatia au walisingiziwa?

Nani kamtusi?

Mbona tumeshampinga hapa mara nyingi tu?
Au unataka hadi waraka uandikwe na serikali ndio ujue kuwa kapingwa?

Kama ana ushahidi wowote wa madai yake mbona hataki kuuweka hapa?
Au hana?

Wewe kupata utata wa elimu yangu hakuwezi kuifanya elimu yangu kutokuwepo au kutokuwa na maana
Hilo ni tatizo lako

Unaposhindwa kuielewa sentensi kwa sababu huwezi kusoma kisukuma sio tatizo la sentensi bali ni tatizo lako la kushindwa kusoma kisukuma

Kabisa
Huyu ni mfano mmojawapo
Kama ana ushahidi alete hapa

Kabla sijasema lolote kuhusiana na mada nimeomba ushahidi kitu ambacho mtoa mada hajakifanya hadi sasa
Unadhani kuna hoja ya msingi hapa?

Hizi ni porojo tu za mtu mwenye wivu na maendeleo na watu wengine

Mtu anakuja hapa na kusema waislam wamefanyiwa hivi au vile bila kusema ni kwanini anawataja kwa imani zao lakini kikubwa zaidi ni kutokutoa ushahidi wa hao kutendwa aliyodai wametendwa kwa mujibu wa dini zao

Huyu kuna haja hata ya Serikali kumjibu kweli?

Mpaka leo bado unautando na upogo wa kutoamini kwamba Serikali huwezitenganisha na Kanisa pamoja na mabandiko yote yaliyokwishapita hapa au Jf umejiunga jioni hii?

Hivi Serikali ni nini?

Rejea,
KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA BARA 1953-1985,
Ama nacho kimeandikwa na Padre wa Kiislaamu?
 
ha ha ha ha! hivi wakati baba na mama yako wanakutengeneza ulishuhudia? au ndiyo unajishuku kuwa kuwa mtoto kharamu?

Hiyo nayo ni katika adabu na malezi waliyokugeiya wazazi wako?

Kwanini uwatukanishe wazazi wako au waliondoka Duniani ukiwa bado mdogo?

Au ulikulia stand na kushibia mahospitalini katika mabaki ya wagonjwa?
 
Unachanganya madawa
Nimesema sijaona hoja yenye mashiko na sio kukubali

Kukubali ni pale ambapo mtu ameshaleta hoja
Nyie hamjaleta hoja hapa
Mmeleta malalamiko tu bila ya ushahidi wa hayo

Au hujuo hata hoja ni nini?

Hivi unataka ushahidi wa style ipi lakini sio makosa yako ni ukilema wa fikra zako ndio unakusukuma kuandika hayo unayofikiria akilini mwako.
 
Waislamu na malalamiko bandia, tukiwaambia tushirikiane kuwang'oa maccm mnakataaa nakufungamana na maccm au chama cha mamwinyi wa ukanda wa Pemba a.k.a cuf.
tambueni adui yenu, hapo mtajikomboa kirahisi
Kwa maana hiyo unadhibitisha rasmi kuwa Chadema ni chama cha Wakristo.
 
Hivi Alshaabab wale wanaojilipua kule wake ni Wakristo na mayahudi eeh!.

Unatafute shule mbona zipo nyingi sana za kata alizokusaidieni Jk na hao wenzako zimewasaidia ndo maana wanabahatisha humu majibu ya dharura?!

Nawe nakushauri kapite pale kisha utarudi tukupige msasa kijana,
Hujachelewa Elimu haina mwisho,

Naomba usituvuruge tafadhali
 
Mpaka leo bado unautando na upogo wa kutoamini kwamba Serikali huwezitenganisha na Kanisa pamoja na mabandiko yote yaliyokwishapita hapa au Jf umejiunga jioni hii?

Hivi Serikali ni nini?

Rejea,
KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA BARA 1953-1985,
Ama nacho kimeandikwa na Padre wa Kiislaamu?

Mkuu Wabara huyu Eiyer asikusumbue akili yako hana jipya chuki ndio inatawala akilini mwake.
 
Haya maswali yako yanahusiana nini na mada?

Watu waoe wasioe inakuhusu nini wewe mmatumbi ulioko ughaibuni kwa tiketi ya kikimbizi?
Papa anakuhusu nini wewe?

Papa anahusikaje kwenye suala hili la ughaidi huko Tanga?
Au una njaa?

Wacha longalonga na kutumwagia povu hapa!

Jibu swali!

Kuna gaidi zaidi ya huyo mwenye kibalagashia km mpika vitumbua??
Uliberali kwake!
Madawa ya kukevya kwake!
Mafia wauwaji wote wanatoka huko.

Jibu swali hapa!
 
Acha ujinga ww uislAm unapigwa vita kila kukicha we umesomea nini? apoulipo wakati waislamu wanafelishwa we hukuepo? Yani kusoma hujui hatapicha huoni we chizi kwel
 
Ugaidi is part of the heading of this thread, how can you try to separate a discussion on this thread from a discussion on literally the "subject matter"?

Ukiongelea ukiukwaji wa haki za binadamu, ukiukwaji mwingine wa haki za binadamu ni habari nzima ya kuvitisha vitoto kwa kuvihubiria kwamba kuna moto baada ya maisha, watachomwa milele na milele kama hawataishi kama mnavyotaka nyie. This is psychological torture halafu mnawafunga watu wawaamini si kwa uzuri wa dini, bali kwa vitisho.

Halafu unapoandika "au kwa kuwa hawa waliotendewa ni waislam, basi wamekuwa ninmagaidi" unachekesha. Mimi sijawataja Waislamu. Nimeandika kwamba dini zote zinazohubiri moto baada ya kufa zinahubiri ugaidi. Hata Wakristo wanahubiri moto baada ya kufa, na katika standards zangu kwa hilo, wakristo na waislamu hawana tofauti, wote wanahubiri ugaidi.

Ugaidi maana yake ni kutaka watu wengine wafanye unavyotaka wewe kwa kutumia nguvu na vitisho. Kuhubiri moto ni kutumia vitisho.

Sasa kwa nini unaona nawasema Waislamu wakati maneno yangu yanahusisha waislam, wakristo na wengine wote wanaohubiri moto?

Umefikiri au umekurupuka?

Sasa mtu akisema kwamba Waislamu mnajistukia na hata pale ambapo hamjaonewa mnaona mmeonewa, kwa kutumia mfano huu, utasema amekosea?

Nani anaishi kwenye nyumba ya udongo na kupata dola moja kwa siku? Sultan wa Brunei? Mfalme wa Saudi Arabia? ma Emir wa UAE? Hawa si Waislamu?

Na kwa nini umasikini uwe kipingamizi cha ugaidi? Boko Haram Nigeria kuna watu masikini sana, na wanafanya ugaidi kwa sababu ni masikini, umasikini wao hauwazuii kuwa magaidi, more like ndio unaowasababisha kuwa magaidi.they have nothing to lose.

Ugaidi ni roho ya mtu tu, unaweza kuwa milionea kama Osama na kuamua kuwa gaidi, au unaweza kuwa masikini kama hao liutenants wa Boko Haram ukaona maisha hayana mpango ngoja nifanye ugaidi tu.

Kwa nini unataka kusema umasikini unazuia watu kuwa magaidi while it is more likely that affluency will make one think twice about blowing himself up because he has something to live for? What kind of dilapidated logic is this?

Bush unayemsema anatoka / katumia mirengo hiyo hiyo ya kidini kuhalalisha ugaidi. Alipoanza vita vyake aliviita "crusade". I am not sure you know what that is.

Mfano wako wa Bush unaimarisha point yangu kwamba dini hizi zinazohubiri moto ni ugaidi uliovikwa joho la utakatifu tu.

Na siongelei uislamu tu, hata Ukristo nao ni ugaidi. Ukisoma biblia utaona mungu anafanya mambo ya kigaidi mara chungu mzima, tena anatamba kwa kuwa gaidi.

As far as I am concerned Uislamu na Ukristo tofauti yake ndogo sana.

Na wanaooona tofauti kubwa ni kwa sababu hawajapanua mawazo kuona horizon kubwa zaidi.

Na wewe ni katika "great thinker" au ni UATHIEST Unakufanya uwe zuzu kiasi hichi?
Hujui hata hapa duniani Unafanya nini ndio nyie mkiumwa mnakumbuka kumbe kuna mungu kinacho kupa kiburi ni hizo pumzi za bure.
Eti dini kusema watu wabaya watatumbukizwa motoni ni UGAIDI umenishangaza sana Kiranga jaribu kuangalia vizuri maana ya Ugaidi kabla kuna kuandika huo upuuzi ulioandika hapo juu.
 
conclusion:

ni wazi vita dhidi ugaidi ni crusade. Ni vita dhidi ya uislam,waislam ,dhidi ya mila , desturi na utamaduni wao .USA walikua na nia ya dhati kabisa kupambana na uislam mara baada ya kuona Taifa la USSR limeporomoka pamoja na itikadi nzima ya ukomonisti. Marekani ikabaki kuwa Taifa pekee lenye nguvu duniani na ubabe bila ya kupingwa na yoyote.
kuafatia hatua hii aliyekua rais wa marekani Reagan alitangaza rasmi kuwa sasa Marekani haina adui mwengine ila uislam.alisema madhali kitabu hiki(yaani quraan) kingalipo basii hatutaweza kutawala dunia kwa kupumua hivyo lazima tuwapige vita.hapa tunazungumzia mara baada ya kina Sheikh Osama kwa ufadhili wa Marekani hao hao kuweza kuwaondoa USSR kule Afghanistan.
kutokana na kauli hizi...ikafatia na mapinduzi ya Iran na kusimikwa Serikali ya kiislam ya Iran chini ya Khomeini, hii ni mara tu baada ya Reagan Kuondoka.
Taifa hilo likaanza kujenga chuki na waislam kwa kusaidia madektecta kama Sadaam KUIVAMIA kwanza iran..ambapo marekani walimsaidia kuishambulia iran na waliweza kumpa silaha za maangamizi na ruhusa ya kuzitumia dhidi ya iran na wa kurd.
vita ile mbali ya kuua watu zaidi ya million hasa wa iran ilii filisi iraq na marekani akampa go ahead kuivamia kuwait.
hapo ikapatikana sababu ya kupigwa sasa sadam na iraq.
hii yote ilikua ni crusade lakini inapigwa kwa ustadi mkuu.
haya yakiendelea yale makundi yao kama al qaeeda yakaanza kugombana na wafadhili wao .hawakukubaliana na marekani kuipiga iraq wao walitaka itafutwe suluhu...lakini kwa vile marekani wapo kwenye crusade hawakutaka suluhu na sadam akapigwa.
nao kikundi chao alqaeda wakashambulia kambi za jeshi marekani.na kilichofata ni kama TOM AND JERRY kati ya Alqaeda na mfadhiliwao....akipiga huko na wao wanapiga kule..mpaka hapa kwetu ubalozi wao ukanyukwa na kule kenya.

na wao wakapiga makambi yao kule tora bora..mwisho wa mambo ukahitimishwa september 11...kwa kupigwa majengo pacha ya world trade centre.

mashambulizi yale yalitoa mwanya kwa marekani kwani sasa wamepata sababu nia walikua nayo tangu enzi za reagan ya kuunza rasmi vita dhidi ya uislam.Bush alisema maneno haya..."This crusade, this war on terrorism, is going to take a while."
yaani hii ni vita ya kanisa dhidi ya uislam (crusade)na itachukua muda kumalizika( ukitilia maanani anapigana na dini ya Allah na zaidi ya watu billion moja)
hivyo hapo ndio tulipo anza alitangaza rasmi mataifa yote lazima yaungane na yeye kwenye crusade yake na yaliyo kataa basi nao wako na waislam...
japo walikua wakitumia neno war on terorism lakini lengo ni kuwapiga vita waislam kidogo kidogo .
  • alianzia afghanistan..mpaka leo wapo bado wanaua.
  • wakaenda iraq bado waislam wana kufa
  • somali nako hawakua salama wameingiliwa
  • yemen nako kila siku drones zinawaangamiza
  • kenya nako waislam walikamatwa bila ya sababu
  • tanzania napo kwanza tukakubali kuwa mshirika wa marekani katika vita hii dhidi ya wailam yaani crusade kwa kutunga sheria ya 'ugaidi' ambayo neno kwa neno limeko piwa..copy and paste ya sheria ya patriotic act ya marekani. wasomi mbali mbali walisema sheria hii si sawa hapa kwetu ..inakusudia kuwaangamiza waislam na ni ya hatari lakin i Rais mkapa alikataa na kuwatisha wasomi hao kwa kuwambia mmesomeshwa na ccm basi nyamazeni.
  • tangu ianze hapa tanzania imetumika kukamata kutia watu ndani bila ya sababu..na wote ni waislam tu.
hivyo hitimisho ni kuwa taifa letu limepotoka kwa kukubali kuingia katika vita ya marekani kupigana na waisalm popote pale , sisi hatukuangalia taifa ni la waislam pia..lakini tukawadharau na kukubali kutumiwa na crusaders...
askari wamepewa mafunzo na master crusader...na nani anajua mafunzo hayo yanahusu nini ? lakini inawezekana moja ni kuwa wewe usiulize kitu unapofanya operation ambayo imetangazwa ni ya kupambana na kigaidi wewe vunja piga ua...hata kama kuna uongo ...ndio kama hii iliyo tokea Tanga Huko Kilindi......askari wale wakajazwa upepo na wakakumbuka mafunzo yao....

ndio maana hata rasimu ya katiba inayo kuja haitoi uhuru na haki za maana kwa raia...katiba bado itakua iko chini ya sheria ya ugaidi .aka.uislam.
tuache kutukana ..hakuna ugomvi kati ya raia wa dini hizi lakini kuna vibaraka na mawakala wakanisa amabo wao wana ona labda ukibamizwa uislam ndio njia ya wao kupanuka......ni akili mbovu tu kufikiria hivo kwani sasa watu dini wanasoma na kuchambua kujua ukweli na sio kufata kwa sababu ya urithi wa wazee.

Mkuu umeeleza angalau chanzo Cha matatizo!
 
Mkuu Mimi si mgeni Wa mambo haya km ulivyosema! Na pia umenipa rejea ndio Lakini km hizo rejea zitakua zinaonesha Adui wenu ni serikali zitakua na mapungufu! Kwasababu Adui yenu mkubwa ni mwakilishi Wa shetani duniani na si serikali Hizi!

Mkuu Mimi ni mkristo! Na haya mambo yote nayajua Kutokana na maandiko! Naelewa hapo zamani kulikua na nini! Na Tuko wapi sasa na kutatokea nini hapo badae kabla ya mwisho Wa Dunia! Naelewa Unabii Wote dhidi ya Dunia na Uasi Yani shetani!

Kitu ambacho unaona km tunabishana Naona ktk hoja zenu km kuna vitu vinapungua na haviko wazi na serikali si ya kulaumiwa ktk haya!
Kuna post moja nimetuma hapo nyuma nikisema ni vema mtu kumwabudu na kushika Imani yake mwenyewe na si kutegemea serikali.

Hizo rejea ulizopewa acha CHOYO muazime kama si kumgeiya rafikiako Eiyer,

Eti yeye hadi sasa hana rejea hata moja toka kwa Ms,

Ama nawe utajitia zimefutikav

Teh teh teh.......!

Ninyi viumbe hamkawii visa,
Muite pembeni basi umuoneshe tafadhali,
lakini anawezapata pia kupinga kwake kukawa pale pale.
 
Mimi sijakuja hapa JF kutukanana wala kukejeliana...kutoa maoni kwa uhuru. nimekuja kujifunza na kundisha wengine..... ikitokea hukubaliani na maoni yangu bora ukapuuzia tu..... maana kunitukana na hata bila kuelimisha kwa njia inayoeleweka....... haitanifanya nibadili mtazamo na maoni yangu kuhusiana na kitu hicho cha kufikirika ukiitacho eti mfumo kristo..... mara nyingi watu wanakuuliza jinsi mfumo huo ulivyo na unavyofanya kazi..... wewe unaishia kutukana tu ...... tunashindwa kuelewa lengo lako ni nini sasa.

Pia nakumbuka niliwahi kukuambia kuwa lete ushahidi wa kuonesha jinsi Nyerere baba wa Taifa alivyokuwa akiwapendelea wakristo na kuwachukia waislam na kuifanya nchi kuwa ya kikristo... wewe unajibu kwa matusi...

Nilikuambia kuwa nitaleta ushahidi kuonesha Nyerere alipigania nchi kuwa isiyo na dini...secular country... ukatoa kejeli.....

lingine ni kuwa unapenda sana kutoa kejeli kuhusiana na shule za kata.... siyo jambo jema.. kwa maana huo ni mwanzo mzuri wa kuelimisha watanzania...... licha ya changamoto zake...lakini kuna kitu kimefanyika...... mimi kijiji ninachotoka kuna kijana ambaye alisoma shule ya kata sasa anafanya masters pale Ujerumani....... hivyo si vyema kuzibeza...ni mwanzo mzuri, kwani sasa hatuongelei kujenga madarasa....bali kuongeza waalimu.... cha msingi ni kushauri namna ya kuziboresha......

Mwisho ni kuwa dharau, jazba na kejeli hazijengi... na pia Mwenyezi Mungu nina uhakika hafurahishwi nayo.... mbali na yote ukatae usikatae sisi wote ni watanzania tuna shida zile zile.... kama ni magonjwa, ufisadi, ambazo haziangalii imani tulizonazo... cha msingi tupendane woote.... na penye tofauti au matatizo tuzungumze.... kwa hakuna jambo lisilo zungumzika...

Wewe umekubali kuwa ni mkiristo ambae HUNA FAIDA NA HUO UKRISTO WAKO!
Na hilo wala halinishangazi hata kidogo!
Wanaofaidika na huo Ukristo ni wale wachungwaji na makatikista na mapadri!

Wanakusanya mahela yenu wanaongeza manyumba tu!
Na zile ruzuku zinazotoka vatican wewe mtu wa chini huwezi kuziona!
Vumilia tu na bado adhabu ya Mungu inawangoja!

Unashauri na kulialia kuwa "wewe hupendi watu watoa kashfa" na hilo umeliona kwangu tu!!
Hebu msome huyu mtumishi wa kanisa aitwae Eiyer ambae ana tabia ya kuchungulia wanawake wenye vinguo vifupi anavyoandika.!

Hizi hadithi ukimpelekea mwenye matatizo ya kufikiri atashangilia sana
Hivi huoni aibu kuandika haya?

Alivyokosa malezi kutoka kwa wazee wake. Anamjibu hivyo mtu mzima sawa na baba yake!

Mimi watu kama hawa nawafananisha na mizoga ya nyamafu!
Faida hawana. Zaidi ya kujaza vyoo tu!
Na wewe usiwe mnafiki! Km unapenda haki basi na hao makafiri wanaotoa kashfa wafahamishe kuwa Yesu hapendi. Na hio ni tabia ya KAFIRI PAULO!

Now back to the thread.
Thank you.
 
Last edited by a moderator:
conclusion:

ni wazi vita dhidi ugaidi ni crusade. Ni vita dhidi ya uislam,waislam ,dhidi ya mila , desturi na utamaduni wao .USA walikua na nia ya dhati kabisa kupambana na uislam mara baada ya kuona Taifa la USSR limeporomoka pamoja na itikadi nzima ya ukomonisti. Marekani ikabaki kuwa Taifa pekee lenye nguvu duniani na ubabe bila ya kupingwa na yoyote.
kuafatia hatua hii aliyekua rais wa marekani Reagan alitangaza rasmi kuwa sasa Marekani haina adui mwengine ila uislam.alisema madhali kitabu hiki(yaani quraan) kingalipo basii hatutaweza kutawala dunia kwa kupumua hivyo lazima tuwapige vita.hapa tunazungumzia mara baada ya kina Sheikh Osama kwa ufadhili wa Marekani hao hao kuweza kuwaondoa USSR kule Afghanistan.
kutokana na kauli hizi...ikafatia na mapinduzi ya Iran na kusimikwa Serikali ya kiislam ya Iran chini ya Khomeini, hii ni mara tu baada ya Reagan Kuondoka.
Taifa hilo likaanza kujenga chuki na waislam kwa kusaidia madektecta kama Sadaam KUIVAMIA kwanza iran..ambapo marekani walimsaidia kuishambulia iran na waliweza kumpa silaha za maangamizi na ruhusa ya kuzitumia dhidi ya iran na wa kurd.
vita ile mbali ya kuua watu zaidi ya million hasa wa iran ilii filisi iraq na marekani akampa go ahead kuivamia kuwait.
hapo ikapatikana sababu ya kupigwa sasa sadam na iraq.
hii yote ilikua ni crusade lakini inapigwa kwa ustadi mkuu.
haya yakiendelea yale makundi yao kama al qaeeda yakaanza kugombana na wafadhili wao .hawakukubaliana na marekani kuipiga iraq wao walitaka itafutwe suluhu...lakini kwa vile marekani wapo kwenye crusade hawakutaka suluhu na sadam akapigwa.
nao kikundi chao alqaeda wakashambulia kambi za jeshi marekani.na kilichofata ni kama TOM AND JERRY kati ya Alqaeda na mfadhiliwao....akipiga huko na wao wanapiga kule..mpaka hapa kwetu ubalozi wao ukanyukwa na kule kenya.

na wao wakapiga makambi yao kule tora bora..mwisho wa mambo ukahitimishwa september 11...kwa kupigwa majengo pacha ya world trade centre.

mashambulizi yale yalitoa mwanya kwa marekani kwani sasa wamepata sababu nia walikua nayo tangu enzi za reagan ya kuunza rasmi vita dhidi ya uislam.Bush alisema maneno haya..."This crusade, this war on terrorism, is going to take a while."
yaani hii ni vita ya kanisa dhidi ya uislam (crusade)na itachukua muda kumalizika( ukitilia maanani anapigana na dini ya Allah na zaidi ya watu billion moja)
hivyo hapo ndio tulipo anza alitangaza rasmi mataifa yote lazima yaungane na yeye kwenye crusade yake na yaliyo kataa basi nao wako na waislam...
japo walikua wakitumia neno war on terorism lakini lengo ni kuwapiga vita waislam kidogo kidogo .
  • alianzia afghanistan..mpaka leo wapo bado wanaua.
  • wakaenda iraq bado waislam wana kufa
  • somali nako hawakua salama wameingiliwa
  • yemen nako kila siku drones zinawaangamiza
  • kenya nako waislam walikamatwa bila ya sababu
  • tanzania napo kwanza tukakubali kuwa mshirika wa marekani katika vita hii dhidi ya wailam yaani crusade kwa kutunga sheria ya 'ugaidi' ambayo neno kwa neno limeko piwa..copy and paste ya sheria ya patriotic act ya marekani. wasomi mbali mbali walisema sheria hii si sawa hapa kwetu ..inakusudia kuwaangamiza waislam na ni ya hatari lakin i Rais mkapa alikataa na kuwatisha wasomi hao kwa kuwambia mmesomeshwa na ccm basi nyamazeni.
  • tangu ianze hapa tanzania imetumika kukamata kutia watu ndani bila ya sababu..na wote ni waislam tu.
hivyo hitimisho ni kuwa taifa letu limepotoka kwa kukubali kuingia katika vita ya marekani kupigana na waisalm popote pale , sisi hatukuangalia taifa ni la waislam pia..lakini tukawadharau na kukubali kutumiwa na crusaders...
askari wamepewa mafunzo na master crusader...na nani anajua mafunzo hayo yanahusu nini ? lakini inawezekana moja ni kuwa wewe usiulize kitu unapofanya operation ambayo imetangazwa ni ya kupambana na kigaidi wewe vunja piga ua...hata kama kuna uongo ...ndio kama hii iliyo tokea Tanga Huko Kilindi......askari wale wakajazwa upepo na wakakumbuka mafunzo yao....

ndio maana hata rasimu ya katiba inayo kuja haitoi uhuru na haki za maana kwa raia...katiba bado itakua iko chini ya sheria ya ugaidi .aka.uislam.
tuache kutukana ..hakuna ugomvi kati ya raia wa dini hizi lakini kuna vibaraka na mawakala wakanisa amabo wao wana ona labda ukibamizwa uislam ndio njia ya wao kupanuka......ni akili mbovu tu kufikiria hivo kwani sasa watu dini wanasoma na kuchambua kujua ukweli na sio kufata kwa sababu ya urithi wa wazee.

Mkuu nani yuko nyuma ya Marekani baada ya hii mipango yake kutimia ya kuitawala Dunia! Ni nini kitatokea Au kutakua na sheria gani na taratibu gani?

Maana Kwa mujibu Wa kile ninacho Amini Kutokana na maandiko ya Biblia lazima USA itawale!
Naomba unisaidie!
 
ha ha ha ha! hivi wakati baba na mama yako wanakutengeneza ulishuhudia? au ndiyo unajishuku kuwa kuwa mtoto kharamu?

Mtoto wa mzazi mmoja tena muuza gongo! Akianza kuandika utamjua tu!

Haya ndio makapi ya wakimbizi. Unazaliwa ovyo ukikuwa unaanza.kiburi!

Watu wanajenga hoja kwa kuleta maneno ya mshiko!
Mtoto wa zinaa anatuletea rusha roho!

Jaribu kuwashauri hao wenzenu wa jinsia za kike kutokukubali kuhungama madhambi kwenye hizo parokia zenu!
Matokeo yake ktk lile zoezi la kutolewa madhambi mnapatikana watoto kama nyie!
Ni hasara sana!
 
Mimi sijakuja hapa JF kutukanana wala kukejeliana...kutoa maoni kwa uhuru. nimekuja kujifunza na kundisha wengine..... ikitokea hukubaliani na maoni yangu bora ukapuuzia tu..... maana kunitukana na hata bila kuelimisha kwa njia inayoeleweka....... haitanifanya nibadili mtazamo na maoni yangu kuhusiana na kitu hicho cha eti kufikirika ukiitacho mfumo kristo..... mara nyingi watu wanakuuliza jinsi mfumo huo ulivyo na unavyofanya kazi..... wewe unaishia kutukana tu ...... tunashindwa kuelewa lengo lako ni nini sasa.

Pia nakumbuka niliwahi kukuambia kuwa lete ushahidi wa kuonesha jinsi Nyerere baba wa Taifa alivyokuwa akiwapendelea wakristo na kuwachukia waislam na kuifanya nchi kuwa ya kikristo... wewe unajibu kwa matusi...

Nilikuambia kuwa nitaleta ushahidi kuonesha Nyerere alipigania nchi kuwa isiyo na dini...secular country... ukatoa kejeli.....

lingine ni kuwa unapenda sana kutoa kejeli kuhusiana na shule za kata.... siyo jambo jema.. kwa maana huo ni mwanzo mzuri wa kuelimisha watanzania...... licha ya changamoto zake...lakini kuna kitu kimefanyika...... mimi kijiji ninachotoka kuna kijana ambaye alisoma shule ya kata sasa anafanya masters pale Ujerumani....... hivyo si vyema kuzibeza...ni mwanzo mzuri, kwani sasa hatuongelei kujenga madarasa....bali kuongeza waalimu.... cha msingi ni kushauri namna ya kuziboresha......

Mwisho ni kuwa dharau, jazba na kejeli hazijengi... na pia Mwenyezi Mungu nina uhakika hafurahishwi nayo.... mbali na yote ukatae usikatae sisi wote ni watanzania tuna shida zile zile.... kama ni magonjwa, ufisadi, ambazo haziangalii imani tulizonazo... cha msingi tupendane woote.... na penye tofauti au matatizo tuzungumze.... kwa hakuna jambo lisilo zungumzika...

Mfumo kristo ni nini? Mfumo wa damu umeitwa mfumo kwa sababu damu imeenea kote mwilini. Watu wa dini ya kikristo imehodhi asassi zote za nyeti za uongozi na mamlaka katika nchi hii, sehemu zote za nguvu/maamuzi ya dola zimeshikwa na wakristo tangu uongozi wa juu ikulu mpaka kiongozi wa mtaa uongozi wote umeshikwa na mfumo kristo. Na hao walioshika hizo nyadhifa wanazitumia kuuendeleza ukristo na kukandamiza uislamu.

Angalia hapa kazi ya mfumo Kristo tuanze na Benki ya Posta nimegusa kiduchu tu kwenye Management Wakirto watupu unadhani hili limefanyika kwa bahati mbaya.

MR. SABASABA KITEWITA MOSHINGI
Chief Executive Officer and Managing Director

MR SOSTENES NYENYEMBE
Director of Internal Audit
MS. BERNADETHE JOSEPH GOGADI
Director of Strategic Planning

MR. MOSES MANYATTA

MR. DEOGRATIUS KWIYUKWA

Director of Marketing and Business Development

MR. MICHAEL MWAKYANDILE

Director of Credit

MR. PETER MAPIGANO

Director of Human Resources

Mr. JEMA MSUYA

Director of Operation and Technology

Ms. REGINA SAMAKAFU
Ag. Director of FinanceMrs. Mystica Mapunda Ngong
Director Legal Services
Ms. NOVES MOSES
Chief Manager, Corporate Affairs

MR.BERNARD MWANDU

Chief Manager Procuremen

Takuja na Mashirika yote na taasisi zote za serikali pamoja na wizara si umetaka kujua mfumo Kirtsto ni nini.
 
Na wewe ni katika "great thinker" au ni UATHIEST Unakufanya uwe zuzu kiasi hichi?

U great thinker ni tusi kwangu, mie zuzu, ndiyo maana nina maswali mengi.

Lakini inaonekana wewe ni zuzu zaidi yangu kwa sababu hujajibu maswali yangu.

Hujui hata hapa duniani Unafanya nini.

Wewe unajua? Unafanya nini?

ndio nyie mkiumwa mnakumbuka kumbe kuna mungu kinacho kupa kiburi ni hizo pumzi za bure.

Sentensi kama hii inaonesha unatatizwa na wigo mdogo wa mawazo uliostawishwa na kukosa habari.

Kuna mtu akiitwa Primo Levi, alikuwa haamini mungu, kawekwa kwenye ma concentration camp na Wajerumani enzi za Hitler, anaenda kuuawa, kakataa kuamini mungu mpaka mwisho, na akaishi kuandika habari hizi.

Kwa nini unafikiri kila mtu ni dhaifu na atakubali kuwepo kwa mungu kwa woga tu?

Eti dini kusema watu wabaya watatumbukizwa motoni ni UGAIDI umenishangaza sana Kiranga jaribu kuangalia vizuri maana ya Ugaidi kabla kuna kuandika huo upuuzi ulioandika hapo juu.

Nimetoa maana ya ugaidi hapo juu, na kwa nini nasema dini zinazohubiri moto zinatumia ugaidi.

Hujaweza kusahihisha hoja, nina shaka kama umeielewa, umerukia mjadala.

Umeelewa nilichoandika?

Ugaidi ni kuacha kutumia uzuri wa hoja ili kushawishi watu, na kutumia nguvu na vitisho.

Habari nzima ya kuhubiri moto ili watu waamini dini ni kushindwa kuonesha watu uzuri wa dini hiyo na kutumia vitisho.

Hivyo, dini zote zinazohubiri moto ili kupata waumini, zinatumia ugaidi na kimsingi hazina "moral high ground" kukemea magaidi wengine wakitumia ugaidi wao dhidi yazo.

Kwani itakuwa ni vita ya ugaidi dhidi ya ugaidi, wanalalamika kwa kuwa wamezidiwa ugaidi tu, si kwa kuwa hawapendi ugaidi, kwani hata wao wanatumia ugaidi.
 
Unatafute shule mbona zipo nyingi sana za kata alizokusaidieni Jk na hao wenzako zimewasaidia ndo maana wanabahatisha humu majibu ya dharura?!

Nawe nakushauri kapite pale kisha utarudi tukupige msasa kijana,
Hujachelewa Elimu haina mwisho,

Naomba usituvuruge tafadhali

kasomeshe kwanza ndugu zako waliopoteza muda wao kusoma madrasa sasa ndo washtuka kumekucha wanalilia elimu mnatia huruma bora jk kawasaidia shule za kata atleast division 5 itawasaidia.
 
Hizo rejea ulizopewa acha CHOYO muazime kama si kumgeiya rafikiako Eiyer,

Eti yeye hadi sasa hana rejea hata moja toka kwa Ms,

Ama nawe utajitia zimefutikav

Teh teh teh.......!

Ninyi viumbe hamkawii visa,
Muite pembeni basi umuoneshe tafadhali,
lakini anawezapata pia kupinga kwake kukawa pale pale.

Mkuu jibu langu Nafikiri ndugu Mohamed Said atakua kanielewa Zaidi!

Labda niseme tena Hakuna rejea yenye nguvu kuliko neno la Mungu! Na ndio muongozo wangu Wa yote duniani!

Kwahiyo hizo mirejeo sioni km itakua na nguvu Zaidi!
Na nikuambie na wewe ndugu Yangu Adui yetu mkubwa si serikali Au ni mfumo kristo Bali ni uasi Au shetani!

Asante!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom