Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Status
Not open for further replies.
mgalatia huna hoja!

Umeishia kutoa mifano isio ingia akilini kabisa na wala haihusiani na maelezo aliyotoa mkuu Ritz !

Na tabia kama hizi ni typical galatians wote wanakuwa nazo!

Nenda kakojoe ulale, unajaza server bure!
Tatizo lenu kubwa ni kuwa mnadhania kusema tu jambo kunaweza kulifanya kuwa kweli

Wewe kusema mifano yangu haina maana au haiendani na kile alichosema huyo maamuma mwenzako hakufanyi maelezo yako kuwa kweli au ulichokisema kuwa kweli

Unachotakiwa kufanya ni wewe kuonesha jinsi ambavyo hayaendani na alichosema huyo maamuma mwenzako
Hujafanya hivyo

Umeendelea kuleta porojo zilezile tu
Mwenzako ameleta hapa maelezo kuwa fulani ni fulani kwenye benki sijui ya nini
Mimi nukamuambia kuwa kusema tu hakuwezi kufanya maelezo yake na tuhuma zake kuwa kweli,alichotakiwa ni kusema hivyo akiambatanisha na ushahidi wa madai yake
Hakufanya hivyo

Nikampa mfano kuwa nikisema kuwa yeye ni mkurugenzi wa Benki ya Dunia itakuwa kweli?Nikijaribu kumfanya afikirie namna maelezo yake yalivyopwaya kwa kukosa ushahidi maana nikisema kuwa yeye ni mkurugenzi wa binki ya dunia bila kuleta ushahidi wa hayo nitakuwa sina tofauti na wale wanaopiga story kwenye vijiwe vya kahawa
Sijui wewe unadhani ni kwa vipi mfano wangu hauusiani na maelezo yake
Hebu fafanua maamuma!!
 
Wakuu tafadhalini sn Naomba mada isivurugwe!
 

Pata elimu hapa
http://www.faithfreedom.org/debates/Shahzad.htm
 
what do you mean by credible?.

Unawajua hao akina bush na bandar bush au hujawahi kusikia mambo yao?.
Juzikati hapa huyo prince bandar ambae ndo chief wa saud intelligence amekwenda sochi Russia na akajaribu kumtisha putin kwamba aachane na mambo ya kuisaidia syria ama sivyo magaidi wa kichechniya ambao wako controlled na wao watalipua michezo ya olimpiki ya sochi.hii kitu iko reported na Mainstream media na si concipiracy.
Huyu bush junior wakati akitaka kugombea urais ,babake yaani Bush mkubwa alimwambia,''The man to talk to if you want to succeed is Bandar,talk to him''.
Kuna connection kubwa sana kati ya hawa watu na mambo ya kigaidi mengi yanayofanyika ni kiini macho tu kwa ajili ya kufikia agenda fulani.
 

Kuna watu ni hatari sana kwa ustawi wa binadamu wengine
Kuna vikundi na imani ambazo ni hatari sana
Kuna serikali ni hatari sana

Kuna dini zinahubiri chuki
Kuna waumini wa hizo imani wasiojua imani myao inahubiri nini hivyo wanakuwa wanafanya mema kitu ambacho ni kinyume na imani zao

Kuna watu hawataki kuona amani mahali
Wataleta chokochoko hadi azma yao itimie

Hawa wote ni wakufutiliwa mbali!
 
au labda al shababu wamekuja kilindi kukusanya ushuru?kwasababu hapo kilindi sidhani kama kuna kitu ambacho kinaweza kuwa target ya al shabab.
 

Hakuna anayeombea Vita lakini kama ni lazima vije basi pima uwezo wa Adui yako kabla ya kuamua kupambana naye.Tatizo la Waislamu hamumjui Adui yenu.Mnailaumu Serikali ya CCM kuwanyanyasa huku mnapiga Kampeni Misikitini iendelee kuwepo eti kwa sababu Mgombea ni Mwislamu Mwenzenu.Vita vya Kisasa vinapiganwa Kisomi sio kinafiki.Anayesema Waislamu watashinda Vita ni Mwongo,sanasana wataleta madhara ya hapa na pale halafu watakuwa wanaishi kwa kujificha huku familia zao zikitaabika.
 

Mkuu thx

Umegusia November crusade
Lord resistance army
Kibwetere
Mgogoro Wa kidini Kwa Wa Irish
Tamthilia da Vince code ina ukweli wowote
Mafia mob inaushirikiano na Kanisa katoliki.
Wale walio omba lift ya Ndege pale uwanja Wa Ndege wanatumia Biblia na Je walifanikiwa!

Maswali mazuri sn!
Kuna kitu napenda niseme kabla sijajibu hayo maswali yote!
Duniani Kumekua na harakati nyingi sn za makundi na Watu binafsi na Kwa Imani tofauti za kidini Au za itikadi za kisiasa Na Kwa mslahi Yao Au Kwa kutumiwa na madola makubwa Kwa malengo mabaya Au mazuri!
Na Kwa utangulizi huo Nikuombe univumilie kidogo Nitakuja kukujibu moja baada ya jingine Kwa ufahamu wangu!

Na ninapenda ufahamu kitu kimoja! Matumizi ya Dhana ya ugaidi haijakaa vizuri! Na Kwa Kusema hivyo namaanisha Kua kuna ugaidi na Hakuna ugaidi! Na vitendo vyote vina sababu ya wao kutenda hivyo! Kwahiyo ni vema kujua kwanza chanzo Au sababu ya matendo yote na harakati za makundi yote kabla ya kutoa Jina km vile MAGAIDI etc! Kwahiyo lazima upate kujua undani Wa pande zote mbili zinazo shutumiana!

Asante!
 
unasema waislamu wa wapi hawatashinda?..wa nchini ama waduniani?.

Kusema tu hivyo inamaanisha kumbe ni kweli kuwa wakristo wako vitani na waislamu na hivo ni halali waislamu kujibu mapigo.wala hii janja ya kuwachagulia jina baya eti magaidi kila wanapojaribu kujibu mashambulizi dhidi ya imani yao haitafanikiwa.
Tena usijidanganye eti waislamu hawatashinda utakua unapotea.
Kwenye kuanzisha crusade wakiristo walidhani watawashinda waislamu kwa kutaka kuwatoa maeneo walioita matakatifu na walipata kipigo kikali mpaka leo wakristo hawaweza kupatawala mahala hapo.kama utawala wa rumi ulivoshindwa ndivo utawala wa marekani nao utashindwa,haya mambo hayachukui miaka mitano au kumi,yanachukua mamia ya miaka.
Crusade imepigwa kwa karibu miaka 1000.tangu mwaka 622AD,na hawakufanikiwa kuwashinda waislamu so utakufa,wajukuu na vitukuu vyako vitapita uislamu utakuwepo,KEEP THAT IN YOUR MIND.
 
Mkuu, ndani ya Quraan kuna Aya inayofundisha kupambana mpk kuhakikisha fitna inakwisha?
Au kuna Aya inayofundisha kutetea haki yako ata Kwa nguvu?
Naomba majibu yko Mkuu!

1. Aya ipo inayofundisha kupigana mpaka fitna iwe hakuna na dini ya Mungu iwe yenye kutawala. Hapa kuna maelezo marefu tu ya aya hii.
2. Muislamu anatakiwa kupambana kuhakikisha haki yake haipotei hovyohovyo. Napo pia kuna maelezo yawekayo wazi jambo hili. Unisamehe natumia cm nachoka kuandika sana. Nikikaa ktk pc nitaliweka sawa inshallah.
 
Hizo ni Hadithi ndugu yangu,Hata Wakristo ukiwauliza watakwambia Mbingu na Dunia zitapita lakini NENO Litasimama.Wakristo walishaona Mapungufu ya Nyuma na wakawekeza kwenye ELIMU.Sasa nyie na kachuo kenu Kamoja mlikopewa na Mkristo mnategemea kushinda?Kama ni Historia ya Vita usianze 622AD,anza kuanzia mwanzo wa Ulimwengu uone YEHOVA anavyojiita kwamba yeye ni BWANA WA VITA.Wakristo hushindwa vita pale tu wanapomuhasi MUNGU(YEHOVA) na si vinginevyo.Wameshawahi kushindwa vita vingi sana na sio hiyo tu unayoijua wewe.Kitu pekee unachotakiwa ujue ni kwamba Mungu wa kweli(YEHOVA) hashindwi na hapiganiwi
 

Nimependa ulivyoliweka hili jambo. Kiukweli kama maswali yako yakipata majibu yake kwa ufasaha basi wale wasiofahamu watapata faida kubwa na kutocheza ngoma isiyowahusu. Hili uliloliuliza ndilo waovu wanalolizuia lisijulikane ili malengo yao yatimie kupitia propaganda zao kama hizi za kuuleble uislamu kuwa ni ugaidi au ukristo ni dini inayoruhusu ushoga. Niombe mods wasiufunge uzi huu huenda faida ikapatikana kubwa. Nitarejea kuelezea kidogo kuhusu haya maswali yako.
 

Hapo Mimi Ndo nachanganyikiwa! Sijui Bush alikua muongo Au alikua mkweli?!!!!
Kazi kweli kweli! Ila kawaida ya serikali nyingi zinakua chenga chenga!
 
Kumbe mmepewa Nyenzo za kujikomboa,kwa nini hamzitumii?Lianzisheni ili mtutawale.Ila kumbukeni wenzenu akina AL QUIDA,BOKO HARAM,AL SHABAB,HEZBOLLAH n.k.wanataabika.
 

Thx Mkuu!
Tunaitaji kuweka vitu sawa Mkuu
Ukipata nafasi Toa elimu Zaidi Mkuu!

Na wale Wote wapendao kutoa lugha chafu dhidi ya wenzao nawaombeni mtulie muwe wasomaji tu!
 

 
Kumbe mmepewa Nyenzo za kujikomboa,kwa nini hamzitumii?Lianzisheni ili mtutawale.Ila kumbukeni wenzenu akina AL QUIDA,BOKO HARAM,AL SHABAB,HEZBOLLAH n.k.wanataabika.

Ndio maana ninasema elimu inaitaji ili watu wenye fahamu kama za kwako waelewe maana hasa ya aya kama hizo na vipi zinapaswa kufanyiwa kazi.
 

Mkuu ni miaka 400 na si 1000. Na ni kweli hamkushindwa ila Adui mliekua mnapigana nae alikosa nguvu na mkarudi kutulia na sasa ameanza kupata tena nguvu na atakua Na nguvu sn hapo baadae!

Nikuombe Mkuu turudi kwenye mada Kwasababu kuna mambo Tunataka kujua ndani ya Quraan!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…