Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Status
Not open for further replies.
mgalatia huna hoja!

Umeishia kutoa mifano isio ingia akilini kabisa na wala haihusiani na maelezo aliyotoa mkuu Ritz !

Na tabia kama hizi ni typical galatians wote wanakuwa nazo!

Nenda kakojoe ulale, unajaza server bure!
Tatizo lenu kubwa ni kuwa mnadhania kusema tu jambo kunaweza kulifanya kuwa kweli

Wewe kusema mifano yangu haina maana au haiendani na kile alichosema huyo maamuma mwenzako hakufanyi maelezo yako kuwa kweli au ulichokisema kuwa kweli

Unachotakiwa kufanya ni wewe kuonesha jinsi ambavyo hayaendani na alichosema huyo maamuma mwenzako
Hujafanya hivyo

Umeendelea kuleta porojo zilezile tu
Mwenzako ameleta hapa maelezo kuwa fulani ni fulani kwenye benki sijui ya nini
Mimi nukamuambia kuwa kusema tu hakuwezi kufanya maelezo yake na tuhuma zake kuwa kweli,alichotakiwa ni kusema hivyo akiambatanisha na ushahidi wa madai yake
Hakufanya hivyo

Nikampa mfano kuwa nikisema kuwa yeye ni mkurugenzi wa Benki ya Dunia itakuwa kweli?Nikijaribu kumfanya afikirie namna maelezo yake yalivyopwaya kwa kukosa ushahidi maana nikisema kuwa yeye ni mkurugenzi wa binki ya dunia bila kuleta ushahidi wa hayo nitakuwa sina tofauti na wale wanaopiga story kwenye vijiwe vya kahawa
Sijui wewe unadhani ni kwa vipi mfano wangu hauusiani na maelezo yake
Hebu fafanua maamuma!!
 
Wakuu tafadhalini sn Naomba mada isivurugwe!
 
Naona mjadala umerudi mahala ulipopaswa sasa na sie wengine tusiopenda harsh language tunaweza kurudi jamvini .Shukrani kwako Ntuzu na huyu bwana anaitwa bin Rabah mmefanya kazi kubwa sana.Hapo juu ndugu yangu Ntuzu umenikumbusha swali langu mwanzoni kabisa nilimuuliza mzee Said naona anakula krismasi maana hajanijibu(natania tu),sasa sijui kama ndugu yetu bin Rabah na waislam wengineo humu mnaweza kutujibu mie na Ntuzu?Ntuzu ameuliza kama kuna harakati za kujitetea kwa kutumia nguvu zinazoruhusiwa na quran,bin Rabah ukamjibu vizuri tu kwamba zipo lakini kuna vigezo vya kuanzisha harakati hizo ili ziwe halali kwa mujibu wa quran,akauliza tena Ntuzu,akitaka umtajie hivyo vigezo,ndio na mie nakumbushia swali langu kwa mzee Said ambalo bin Rabah naomba uliongezee hapo kwenye swali la Ntuzu,nalo ni hili kwa kifupi,kuna fundisho lolote katika uislam linalomtaka muislam kuutangaza uislam wake kwa maneno na matendo ili upate kujulikana kwa usahihi kwa watu wote hata wale wasio waislam?kama lipo,je,waislam mnafanya nini ili kuhakikisha watu wanatofautisha uislam wa kweli na ule "wa kusingiziwa"?naongezea pia,tunawezaje kutofautisha harakati za haki za waislam na harakati za magaidi wanaotumia jina la uislam kufikia malengo yao mengine?hili ni tatizo kubwa sana ambalo linaukumba hata ukristo nyie wenyewe mnaona watu ni maaskofu wakubwa duniani lakini wanalawiti watoto,makanisa yanaruhusu ndoa za kishoga,hawa akina Cameron ni wakristo waanglikana wanakwenda kanisani na bado wanamwambia maskini wa kiafrika kwamba "hatukupi msaada hadi ukubali kuparamiana",na hii ni sera ya serikali zinazojinasibisha kuwa za kikristo,je biblia inaruhusu hayo?sasa mtu asiye mkristo tunamweleza nini ili atofautishe harakati za ukristo wa kweli na ule "wa kusingiziwa"?unaona hapo?si ndio hili tatizo hata kwa uislam pia isipokuwa tu huku ushoga kule ugaidi?tunazisafisha vipi dini zetu sisi wenyewe kwanza kabla ya wengine kutuambia la kufanya?sijui nimeeleweka?

Pata elimu hapa
http://www.faithfreedom.org/debates/Shahzad.htm
 
kila mwaka serikali ya marekani inaadhimisha tukio la kigaidi la september eleven, hatujasikia hayo usemayo. ni kawaida siku zote baadhi ya watu kusikiliza na kuziamini conspiracy theories hata zile za u-freemanson, Nwo, zinazosema obama sio mmarekani, papa john paul(aliyefariki), bush anti-christ na jina lake ni 666, ni mpinga kristo hasingekufa, na zinazotolewa na watu maarufu akiwemo mwingereza David Icke, zeitgeist, thrive na wengineo wengi sana.

better find which source is more credible to you
what do you mean by credible?.

Unawajua hao akina bush na bandar bush au hujawahi kusikia mambo yao?.
Juzikati hapa huyo prince bandar ambae ndo chief wa saud intelligence amekwenda sochi Russia na akajaribu kumtisha putin kwamba aachane na mambo ya kuisaidia syria ama sivyo magaidi wa kichechniya ambao wako controlled na wao watalipua michezo ya olimpiki ya sochi.hii kitu iko reported na Mainstream media na si concipiracy.
Huyu bush junior wakati akitaka kugombea urais ,babake yaani Bush mkubwa alimwambia,''The man to talk to if you want to succeed is Bandar,talk to him''.
Kuna connection kubwa sana kati ya hawa watu na mambo ya kigaidi mengi yanayofanyika ni kiini macho tu kwa ajili ya kufikia agenda fulani.
 
Kuna watu ni hatari sana kwa ustawi wa binadamu wengine
Kuna vikundi na imani ambazo ni hatari sana
Kuna serikali ni hatari sana

Kuna dini zinahubiri chuki
Kuna waumini wa hizo imani wasiojua imani myao inahubiri nini hivyo wanakuwa wanafanya mema kitu ambacho ni kinyume na imani zao

Kuna watu hawataki kuona amani mahali
Wataleta chokochoko hadi azma yao itimie

Hawa wote ni wakufutiliwa mbali!
 
Sio kweli kwamba kule kilindi Tanga kulikua au kuna al shabab. Ukitaka kujua anza kutafuta nini ilikua sababu ya operation ile hatamu.
Chanzo cha vurugu ni ugomvi wa mgambo na wakulima na wafanya biashara wa hiliki.mgambo walikua wanalazimisha kwa kutumia nguvu ulipaji wa kodi haramu kwa mazao.na inaonekana ni mazoea yao kutumia mwanya wa kuvaa magwanda yao na kuwaonea raia wasi na hatia. Wananchi kwa pamoja walikataa uonevu ule hali iliyopelekea mapambano na kusababisha kifo cha mgambo mmoja na wananchi kadhaa kujeruhiwa.
Tukio lile likafika polisi nao badala ya kufanya uchunguzi wa tukio walikwenda ki operation na ilawa ni hali ya mapambano baina yao na raia watu wengi wakajeruhiwa na akiwamo polisi.
Polisi wakaongezewa nguvu na ndipo walipo fanya collective punishment. Na raia wakajificha kwenye misikiti lakini hio haikua dawa kijiji kizima kilikua katika kushambuliwa wanawake wakakimbia mapolisi wakaacha watoto wao. Wanaume wengi wakakimbilia maporini.
Kutokana na uhalifu ulofanyika kuwa mkubwa ndio kama kawaida afande masawe akatangaza kuwa ilikuwa operation ya kupigana na alshabab.
Yote kujaribu ku cover up uhalifu waliowafanyia raia.
Wakati yeye akitangaza anapambana na alshabab mkuu wa mkoa bibi chiku anasema hakuna gaidi ni wavunja sheria tu.
Hivyo tukirudi kwenye suala la mada kuu jibu ni kuwa vita ya ugaidi inatumiwa kama mwanya wa kuubamiza uislam. Waloathirika ni waislam .misikiti yao ilivamia na maimam ndio walokamatwa.
Kutoka vurugu za kuuza hiliki mpaka ikageuzwa kuwa ugaidi...
au labda al shababu wamekuja kilindi kukusanya ushuru?kwasababu hapo kilindi sidhani kama kuna kitu ambacho kinaweza kuwa target ya al shabab.
 
Farudume,
Wala hayo si ya kuombea.

Temea mate chini Allah atuepushe na vita baina yetu.
Inaelekea huna ujuzi katika vita.

Hili ni soma linalojitosheleza.
Vita ya sampuli yetu havipimwi kwa nguvu na uwezo wa silaha.

Vita hivi hupiganwa na hata na kisu cha jikoni kile cha kukatia vitunguu.
Vita hivi hupiganwa na njiti ya kibiriti na kikopo cha mafuta ya taa.

Yule wa Manzese Uzuri huona wale wa Mbezi Beach na majumba yao mazuri
wapo kule na magari yao mazuri wako kule kwa kuwa yeye kadhulumiwa.

Chukua picha ya umma ule wa Manzese Uzuri, Buguruni kwa Mnyamani unavamia
Masaki, Mbezi Beach na kwengine...

Soma historia...utaelewa.
Walojalia hili wanalifahamu ndo maana tunatahadharisha tuiogope dhulma kwani
dhulma huangamiza jamii nzima.

Hakuna anayeombea Vita lakini kama ni lazima vije basi pima uwezo wa Adui yako kabla ya kuamua kupambana naye.Tatizo la Waislamu hamumjui Adui yenu.Mnailaumu Serikali ya CCM kuwanyanyasa huku mnapiga Kampeni Misikitini iendelee kuwepo eti kwa sababu Mgombea ni Mwislamu Mwenzenu.Vita vya Kisasa vinapiganwa Kisomi sio kinafiki.Anayesema Waislamu watashinda Vita ni Mwongo,sanasana wataleta madhara ya hapa na pale halafu watakuwa wanaishi kwa kujificha huku familia zao zikitaabika.
 
Shukrani Mkuu kwa uwezo wako mkubwa wa kujadiliana bila ya maudhi, Mimi naomba kuelimishwa kutoka kwako mambo yafuatayo:- 1. November Crusade ni nini? kilitokea lini na wapi? malengo yake yalikuwa ni nini? 2. Lord resistance army wapigania nini? kibwetere alikuwa na wasifu gani? kule Ireland wanapigania nini kwanini wanauana kwa mabomu? Da vinci code inaukweli wowote in relation to church movement? Mafia wanaconnection gani na kanisa katoliki?...wale waliokuwa wanaomba lift ya ndege pale airport walipata? wanatumia biblia?... hayo tu kwa sasa mkuu... zingine baadae ...

Mkuu thx

Umegusia November crusade
Lord resistance army
Kibwetere
Mgogoro Wa kidini Kwa Wa Irish
Tamthilia da Vince code ina ukweli wowote
Mafia mob inaushirikiano na Kanisa katoliki.
Wale walio omba lift ya Ndege pale uwanja Wa Ndege wanatumia Biblia na Je walifanikiwa!

Maswali mazuri sn!
Kuna kitu napenda niseme kabla sijajibu hayo maswali yote!
Duniani Kumekua na harakati nyingi sn za makundi na Watu binafsi na Kwa Imani tofauti za kidini Au za itikadi za kisiasa Na Kwa mslahi Yao Au Kwa kutumiwa na madola makubwa Kwa malengo mabaya Au mazuri!
Na Kwa utangulizi huo Nikuombe univumilie kidogo Nitakuja kukujibu moja baada ya jingine Kwa ufahamu wangu!

Na ninapenda ufahamu kitu kimoja! Matumizi ya Dhana ya ugaidi haijakaa vizuri! Na Kwa Kusema hivyo namaanisha Kua kuna ugaidi na Hakuna ugaidi! Na vitendo vyote vina sababu ya wao kutenda hivyo! Kwahiyo ni vema kujua kwanza chanzo Au sababu ya matendo yote na harakati za makundi yote kabla ya kutoa Jina km vile MAGAIDI etc! Kwahiyo lazima upate kujua undani Wa pande zote mbili zinazo shutumiana!

Asante!
 
Hakuna anayeombea Vita lakini kama ni lazima vije basi pima uwezo wa Adui yako kabla ya kuamua kupambana naye.Tatizo la Waislamu hamumjui Adui yenu.Mnailaumu Serikali ya CCM kuwanyanyasa huku mnapiga Kampeni Misikitini iendelee kuwepo eti kwa sababu Mgombea ni Mwislamu Mwenzenu.Vita vya Kisasa vinapiganwa Kisomi sio kinafiki.Anayesema Waislamu watashinda Vita ni Mwongo,sanasana wataleta madhara ya hapa na pale halafu watakuwa wanaishi kwa kujificha huku familia zao zikitaabika.
unasema waislamu wa wapi hawatashinda?..wa nchini ama waduniani?.

Kusema tu hivyo inamaanisha kumbe ni kweli kuwa wakristo wako vitani na waislamu na hivo ni halali waislamu kujibu mapigo.wala hii janja ya kuwachagulia jina baya eti magaidi kila wanapojaribu kujibu mashambulizi dhidi ya imani yao haitafanikiwa.
Tena usijidanganye eti waislamu hawatashinda utakua unapotea.
Kwenye kuanzisha crusade wakiristo walidhani watawashinda waislamu kwa kutaka kuwatoa maeneo walioita matakatifu na walipata kipigo kikali mpaka leo wakristo hawaweza kupatawala mahala hapo.kama utawala wa rumi ulivoshindwa ndivo utawala wa marekani nao utashindwa,haya mambo hayachukui miaka mitano au kumi,yanachukua mamia ya miaka.
Crusade imepigwa kwa karibu miaka 1000.tangu mwaka 622AD,na hawakufanikiwa kuwashinda waislamu so utakufa,wajukuu na vitukuu vyako vitapita uislamu utakuwepo,KEEP THAT IN YOUR MIND.
 
Mkuu, ndani ya Quraan kuna Aya inayofundisha kupambana mpk kuhakikisha fitna inakwisha?
Au kuna Aya inayofundisha kutetea haki yako ata Kwa nguvu?
Naomba majibu yko Mkuu!

1. Aya ipo inayofundisha kupigana mpaka fitna iwe hakuna na dini ya Mungu iwe yenye kutawala. Hapa kuna maelezo marefu tu ya aya hii.
2. Muislamu anatakiwa kupambana kuhakikisha haki yake haipotei hovyohovyo. Napo pia kuna maelezo yawekayo wazi jambo hili. Unisamehe natumia cm nachoka kuandika sana. Nikikaa ktk pc nitaliweka sawa inshallah.
 
unasema waislamu wa wapi hawatashinda?..wa nchini ama waduniani?.

Kusema tu hivyo inamaanisha kumbe ni kweli kuwa wakristo wako vitani na waislamu na hivo ni halali waislamu kujibu mapigo.wala hii janja ya kuwachagulia jina baya eti magaidi kila wanapojaribu kujibu mashambulizi dhidi ya imani yao haitafanikiwa.
Tena usijidanganye eti waislamu hawatashinda utakua unapotea.
Kwenye kuanzisha crusade wakiristo walidhani watawashinda waislamu kwa kutaka kuwatoa maeneo walioita matakatifu na walipata kipigo kikali mpaka leo wakristo hawaweza kupatawala mahala hapo.kama utawala wa rumi ulivoshindwa ndivo utawala wa marekani nao utashindwa,haya mambo hayachukui miaka mitano au kumi,yanachukua mamia ya miaka.
Crusade imepigwa kwa karibu miaka 1000.tangu mwaka 622AD,na hawakufanikiwa kuwashinda waislamu so utakufa,wajukuu na vitukuu vyako vitapita uislamu utakuwepo,KEEP THAT IN YOUR MIND.
Hizo ni Hadithi ndugu yangu,Hata Wakristo ukiwauliza watakwambia Mbingu na Dunia zitapita lakini NENO Litasimama.Wakristo walishaona Mapungufu ya Nyuma na wakawekeza kwenye ELIMU.Sasa nyie na kachuo kenu Kamoja mlikopewa na Mkristo mnategemea kushinda?Kama ni Historia ya Vita usianze 622AD,anza kuanzia mwanzo wa Ulimwengu uone YEHOVA anavyojiita kwamba yeye ni BWANA WA VITA.Wakristo hushindwa vita pale tu wanapomuhasi MUNGU(YEHOVA) na si vinginevyo.Wameshawahi kushindwa vita vingi sana na sio hiyo tu unayoijua wewe.Kitu pekee unachotakiwa ujue ni kwamba Mungu wa kweli(YEHOVA) hashindwi na hapiganiwi
 
Naona mjadala umerudi mahala ulipopaswa sasa na sie wengine tusiopenda harsh language tunaweza kurudi jamvini .Shukrani kwako Ntuzu na huyu bwana anaitwa bin Rabah mmefanya kazi kubwa sana.Hapo juu ndugu yangu Ntuzu umenikumbusha swali langu mwanzoni kabisa nilimuuliza mzee Said naona anakula krismasi maana hajanijibu(natania tu),sasa sijui kama ndugu yetu bin Rabah na waislam wengineo humu mnaweza kutujibu mie na Ntuzu?Ntuzu ameuliza kama kuna harakati za kujitetea kwa kutumia nguvu zinazoruhusiwa na quran,bin Rabah ukamjibu vizuri tu kwamba zipo lakini kuna vigezo vya kuanzisha harakati hizo ili ziwe halali kwa mujibu wa quran,akauliza tena Ntuzu,akitaka umtajie hivyo vigezo,ndio na mie nakumbushia swali langu kwa mzee Said ambalo bin Rabah naomba uliongezee hapo kwenye swali la Ntuzu,nalo ni hili kwa kifupi,kuna fundisho lolote katika uislam linalomtaka muislam kuutangaza uislam wake kwa maneno na matendo ili upate kujulikana kwa usahihi kwa watu wote hata wale wasio waislam?kama lipo,je,waislam mnafanya nini ili kuhakikisha watu wanatofautisha uislam wa kweli na ule "wa kusingiziwa"?naongezea pia,tunawezaje kutofautisha harakati za haki za waislam na harakati za magaidi wanaotumia jina la uislam kufikia malengo yao mengine?hili ni tatizo kubwa sana ambalo linaukumba hata ukristo nyie wenyewe mnaona watu ni maaskofu wakubwa duniani lakini wanalawiti watoto,makanisa yanaruhusu ndoa za kishoga,hawa akina Cameron ni wakristo waanglikana wanakwenda kanisani na bado wanamwambia maskini wa kiafrika kwamba "hatukupi msaada hadi ukubali kuparamiana",na hii ni sera ya serikali zinazojinasibisha kuwa za kikristo,je biblia inaruhusu hayo?sasa mtu asiye mkristo tunamweleza nini ili atofautishe harakati za ukristo wa kweli na ule "wa kusingiziwa"?unaona hapo?si ndio hili tatizo hata kwa uislam pia isipokuwa tu huku ushoga kule ugaidi?tunazisafisha vipi dini zetu sisi wenyewe kwanza kabla ya wengine kutuambia la kufanya?sijui nimeeleweka?

Nimependa ulivyoliweka hili jambo. Kiukweli kama maswali yako yakipata majibu yake kwa ufasaha basi wale wasiofahamu watapata faida kubwa na kutocheza ngoma isiyowahusu. Hili uliloliuliza ndilo waovu wanalolizuia lisijulikane ili malengo yao yatimie kupitia propaganda zao kama hizi za kuuleble uislamu kuwa ni ugaidi au ukristo ni dini inayoruhusu ushoga. Niombe mods wasiufunge uzi huu huenda faida ikapatikana kubwa. Nitarejea kuelezea kidogo kuhusu haya maswali yako.
 
Ndugu zangu tafadhali msiwe wavivu kusoma:- Recent revelations published on the Press TV website, the New York Post and Veterans Today have changed history.

The story was simple, two American congressional representatives were allowed to read the Congressional 9/11 Investigation Report, this time including the areas President Bush had ordered removed. Both congressmen clearly state that the redacted pages of the report place full responsibility for the planning and execution of 9/11 on one or more foreign intelligence agencies, not “terrorists.”
What is also clear is that President Bush’s personal role in covering this up protected the real perpetrators of 9/11 and pushed the US into, not just two insane wars but draconian moves against America’s government.
The NSA and the Bush 9/11 coup
Nine eleven was a coup against the constitution. Additional reports released this week make clear some of the reasons Bush lied to the American people, to congress, our military and our allies, “Obama’s Director for National Intelligence, James Clapper, has declassified new documents that reveal how the NSA was first given the green light to start collecting bulk communication data in the hunt for Al-Qaeda terrorists after 9/11. President Barack Obama’s administration has for the first time publicly confirmed ‘the existence of collection activities authorized by President George W. Bush,’ such as bulk amounts of Internet and phone metadata, as part of the ‘Terrorist Surveillance Program’ (TSP). The disclosures are part of Washington's campaign to justify the NSA’s surveillance activities, following massive leaks to the media about the classified programs by former NSA contractor Edward Snowden. Clapper explained on Saturday that President George W. Bush first authorized the spying in October 2001, just weeks after the September 11 attacks.”
We can prove Bush was fully criminally culpable in covering the tracks of those responsible for 9/11.
AIPAC through Bandar and bush “under a bus”
More frighteningly, the articles published this week in Rupert Murdoch’s New York Daily News, written by Hoover Institute fellow and AIPAC member, Paul Sperry, now not only blame Prince Bandar of Saudi Arabia as the 9/11 mastermind but tie Bush (43) in as well.
In fact, the entire AIPAC apparatus, the largest lobbying organization in Washington, is currently engaged in a “full court press,” to stop congress from pushing for the release of the real report. Is this because the real report accuses Israel, not Saudi Arabia, and AIPAC wants the Murdoch/Sperry story to stand?
Bin Laden myth “crashes down”
The real report, called “shocking” by the legislators, who have called for President Obama to declassify the entire report, proves that there was no al-Qaeda involvement, no reason to invade Afghanistan or Iraq and no reason to hunt CIA operative, Colonel Tim Osman, also known as “Osama bin Laden.”
In fact, Ambassador Lee Wanta, a former White House Intelligence Chief and Inspector General of the Department of Defense under Reagan, has cited meetings between key government officials and “bin Laden” that he attended, meetings held in both Los Angeles and Washington DC while the US was supposedly hunting him.
From Wanta, who was present during these meetings, “In early 1990, bin Laden, suffering from advanced kidney disease, was flown to an American facility in the Persian Gulf. From there, bin Laden flew to Los Angeles, landing in the Ontario airport, met by Albert Hakim, representing President Bush (41), Ollie North (free on appeal bond), Admiral William Dickie, attorney Glenn Peglau and General Jack Singlaub, one of the founders of the CIA. Hakim was the personal representative of President Bush and in overall charge of the project. ‘Bud’ McFarlane, an Iran-Contra figure pardoned by President Bush in 1992, was also a part of the group.
Bin Laden then left Los Angeles for Washington DC. There he stayed in the Mayflower Hotel. Meetings were held at the Metropolitan Club in Washington. Attorney Glenn Peglau stayed at the Metropolitan. While there, Peglau’s room was broken into and “items” removed. At no point is there record, classified or public, that this ‘working group’ was ever dissolved nor is there any record that Osama bin Laden’s status as a security operative working for the US government ever ended. In 2001, Osama bin Laden’s last public statement denied any involvement in the 9/11 attacks. There are no classified documents tying bin Laden to 9/11 or citing him to be a ‘rogue CIA operative.’”
Which 9/11 is real?
In 2007, the FBI flew a team to Bangkok to interview former Soviet nuclear intelligence specialist Dimitri Khalezov. Khalezov told the FBI that, in the morning of September 12, 2001, he attended a breakfast gathering with Mossad Operations Chief Mike Harari and his son along with other Israeli operatives.
Khalezov reported to the FBI that this gathering was to celebrate the 9/11 attacks, not as Netanyahu had said, as a “fortunate happenstance for Israel” but as a Mossad attack on the United States. At that meeting, Harari also claimed credit for a role in the Oklahoma City bombing. According to Khalezov, Harari was courting him to join their group for an upcoming operation, a bombing attack on Bali, scheduled for 2002.
On October 12, 2002, a huge explosive device devastated nearly a square mile killing 202 people. An Islamic group was blamed, just as with not just 9/11 but, initially, Oklahoma City as well.
Khalezov told FBI agents that Harari claimed nuclear weapons were used to bring down the twin towers on 9/11. Harari also said he got a “cruise type” missile, a Soviet “Granit” for the Pentagon attack, purchased through Victor Bout, the “Lord of War” played by Nicholas Cage in the film of the same name.
Bout, residing in Bangkok with Harari and Khalezov, was extradited to the United States based on a highly classified indictment accusing him of supplying the guided missile used to attack the Pentagon on 9/11. Bout was arrested in Bangkok in 2008, not long after the FBI visit. He was officially convicted of supplying arms to rebels in Colombia, an activity Bout had long been engaged in on behalf of the CIA, his arms dealing partners for many years.
Leaks
Thus far, the initial report to congress on the Bush falsification does not qualify as a leak. Only Bush stands accused, the 9/11 perpetrators are still safe, their identities still protected by security protocols maintained by President Obama, despite congressional demands.
“Claimed” leaks reported by Sperry in the Washington Post blame Bandar and Saudi Intelligence for 9/11. Sperry cites the CIA as a source but, quite suspiciously, seems to be attempting to deflect the possible fallout against Israel when or if then real report is made public. The Sperry story, coordinated with AIPAC’s moves to quell congress’s demand to declassify the report may well be an indication that Israeli intelligence, as Khalezov indicates, worked with Bush to plan and execute 9/11.
From the Press TV article: “This week, Congressional representatives Stephen Lynch (D-MA) and Walter Jones (R-NC) have officially requested a congressional resolution demanding President Obama declassify the heavily redacted Congressional Investigative Report on 9/11. The two representatives had just been given authority under penalty of ‘national security secrecy’ to read the censored 28 pages of the 800-page report that had not been seen. What has been made clear is that President Bush was fully aware that neither Afghanistan nor Iraq were involved in 9/11 and that military action against those two nations was done to cover involvement of his administration in 9/11, involvement that included support from foreign intelligence agencies. The representatives, while reviewing the report, came to the portion titled ‘Specific Sources of Foreign Support.’
A 28-page section here had been ‘butchered’ by the White House on the personal orders of President Bush. On the original report given to Congress, an estimated 5-10,000 words were omitted from this section with page after page of dotted lines replacing text.”
This is only the most recent of revelations that AIPAC has managed to suppress through pressuring congress and its powerful assets in the press. What is increasingly clear is that many of AIPAC’s allies in Washington had access to the non-redacted report. An entire administration, leaders in congress and the Pentagon, the CIA, NSA and a dozen other organizations, all knew what was in the congressional report. They all lied to the 9/11 Commission. They all ordered measures to suppress freedom at home and to butcher hundreds of thousands around the world, kidnap and torture thousand more, all based on lies.
Countries were virtually wiped off the map on a whim. Often we hear it asked, “How could thousands be involved in a conspiracy so heinous?” We now stand ready to answer. The time has come to ask.

Hapo Mimi Ndo nachanganyikiwa! Sijui Bush alikua muongo Au alikua mkweli?!!!!
Kazi kweli kweli! Ila kawaida ya serikali nyingi zinakua chenga chenga!
 
1. Aya ipo inayofundisha kupigana mpaka fitna iwe hakuna na dini ya Mungu iwe yenye kutawala. Hapa kuna maelezo marefu tu ya aya hii.
2. Muislamu anatakiwa kupambana kuhakikisha haki yake haipotei hovyohovyo. Napo pia kuna maelezo yawekayo wazi jambo hili. Unisamehe natumia cm nachoka kuandika sana. Nikikaa ktk pc nitaliweka sawa inshallah.
Kumbe mmepewa Nyenzo za kujikomboa,kwa nini hamzitumii?Lianzisheni ili mtutawale.Ila kumbukeni wenzenu akina AL QUIDA,BOKO HARAM,AL SHABAB,HEZBOLLAH n.k.wanataabika.
 
Thx Mkuu!
Tunaitaji kuweka vitu sawa Mkuu
Ukipata nafasi Toa elimu Zaidi Mkuu!

Na wale Wote wapendao kutoa lugha chafu dhidi ya wenzao nawaombeni mtulie muwe wasomaji tu!
 
Kuna watu ni hatari sana kwa ustawi wa binadamu wengine
Kuna vikundi na imani ambazo ni hatari sana
Kuna serikali ni hatari sana

Kuna dini zinahubiri chuki
Kuna waumini wa hizo imani wasiojua imani myao inahubiri nini hivyo wanakuwa wanafanya mema kitu ambacho ni kinyume na imani zao

Kuna watu hawataki kuona amani mahali
Wataleta chokochoko hadi azma yao itimie

Hawa wote ni wakufutiliwa mbali!

relviolence.jpg
 
Kumbe mmepewa Nyenzo za kujikomboa,kwa nini hamzitumii?Lianzisheni ili mtutawale.Ila kumbukeni wenzenu akina AL QUIDA,BOKO HARAM,AL SHABAB,HEZBOLLAH n.k.wanataabika.

Ndio maana ninasema elimu inaitaji ili watu wenye fahamu kama za kwako waelewe maana hasa ya aya kama hizo na vipi zinapaswa kufanyiwa kazi.
 
unasema waislamu wa wapi hawatashinda?..wa nchini ama waduniani?.

Kusema tu hivyo inamaanisha kumbe ni kweli kuwa wakristo wako vitani na waislamu na hivo ni halali waislamu kujibu mapigo.wala hii janja ya kuwachagulia jina baya eti magaidi kila wanapojaribu kujibu mashambulizi dhidi ya imani yao haitafanikiwa.
Tena usijidanganye eti waislamu hawatashinda utakua unapotea.
Kwenye kuanzisha crusade wakiristo walidhani watawashinda waislamu kwa kutaka kuwatoa maeneo walioita matakatifu na walipata kipigo kikali mpaka leo wakristo hawaweza kupatawala mahala hapo.kama utawala wa rumi ulivoshindwa ndivo utawala wa marekani nao utashindwa,haya mambo hayachukui miaka mitano au kumi,yanachukua mamia ya miaka.
Crusade imepigwa kwa karibu miaka 1000.tangu mwaka 622AD,na hawakufanikiwa kuwashinda waislamu so utakufa,wajukuu na vitukuu vyako vitapita uislamu utakuwepo,KEEP THAT IN YOUR MIND.

Mkuu ni miaka 400 na si 1000. Na ni kweli hamkushindwa ila Adui mliekua mnapigana nae alikosa nguvu na mkarudi kutulia na sasa ameanza kupata tena nguvu na atakua Na nguvu sn hapo baadae!

Nikuombe Mkuu turudi kwenye mada Kwasababu kuna mambo Tunataka kujua ndani ya Quraan!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom