BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Labda km utakuwa siyo mfuatiliaji. Unakumbuka issue ya Chama, hivi unadhan km siyo mashaabiki asingemla kichwa ( kumpiga benchi). Sasa km kwenye mazoez Hana Cha ku offer kwa nini abaki na kuendelea Kula mshahara tena mnono bila kufanya kazi. Kocha wa Simba anamazoea ya kukariri wachezaji na tabia hii itamgarim labda km hawajui wabongo.Watu wanalalamika utadhani mazoezini wanaenda,kocha hawezi kumuacha mchezaji nje bila sababu