Kweli uchawi upo Duniani Baleke sio wakumuweka Bench Mosses Phiri

Kweli uchawi upo Duniani Baleke sio wakumuweka Bench Mosses Phiri

Watu wanalalamika utadhani mazoezini wanaenda,kocha hawezi kumuacha mchezaji nje bila sababu
Labda km utakuwa siyo mfuatiliaji. Unakumbuka issue ya Chama, hivi unadhan km siyo mashaabiki asingemla kichwa ( kumpiga benchi). Sasa km kwenye mazoez Hana Cha ku offer kwa nini abaki na kuendelea Kula mshahara tena mnono bila kufanya kazi. Kocha wa Simba anamazoea ya kukariri wachezaji na tabia hii itamgarim labda km hawajui wabongo.
 
Hata chama hamtaki sema mashabiki walimkazia
 
Uchawi ni pale anapo cheza boko alafu Phiri Jenerali anasugua benchi, nimeanza kuamini wanao sema boko ni mchawi na ndie anae waroga wenzie wanao cheza nafasi moja
 
Beleke Amna kitu lilee,mtaniiambia Bada ya mechi 10.
Baleke ni mchezaji wa viwango kabisa kama angekua anabahatisha asingefanya alio yafanya kwa muda mchache alio cheza msimu ulio malizika, na msimu huu ndio tunaenda kushudia ubora wake vizuri sasa
 
Robatinyo hana maisha marefu simba. Kwanza ana chuki sana . Amemchongea mgunda mpaka akachomolewa pale, yan mm ningependa simba wamuamini Juma mgunda na kumpa hichi kikosi tena mgunda kila game alikuwa anampanga Phiri na performance yake ilikuwa juu sana ila hii punda sijui ina shida gani
Sawa kabisa. Huu na mimi ndio mtazamo wangu. Robertino ni kocha wa hovyo sana. Kwanza anakariri ndio maana kufanya sub kwake ni mzito sana. We mechi ya bonanza unasubiri hadi dk 70 kweli? Robertino ni mbaguzi na sio mlezi wa wachezaji na vipaji vyao hasa vijana. Kwa nini husiwe unawaingiza walau dk 20 za mwisho kuwapa uzoefu badala yake unangangania Saido hali ameshachoka?
MGUNDA ni kocha haswa sema kwa kuwa ni mzawa haishemiwi lakini kama angepewa kikosi hiki akaweka falsafa yake ya boli kutembea, nawaambia tutafika mbali sana.
 
Licha ya magoli ambayo Jean Baleke amefunga msimu uliopita katika premier league kiuchezaji Mosses Phiri ni mchezaji wa class ya juu zaid kuliko Baleke, Sijui kwanini kocha hataki kumuamin huyu mwamba (Phiri) labda uwanja wa mazoezi hamshawishi kocha lakini sisi mashabiki wa Simba balaa la huyu mwamba tunalijua vizuri sana uwezo wake wa kufunga, kukaa na mipira, ni mkubwa kuliko Baleke. Kweli uchawi upo Duniani
Kocha wa Simba SC bwege sana
 
Unashangaa Baleke vip kibu kuwaweka nje Baleke na phiri? Kama hata frend metch kocha hakupangi basi ujue kuna shida kubwa.
Anaingia Boko na Phiri anakaa bench, hatari sana hii.
 
Kwa kweli suala la kumuweka Benchi Phiri hata Kwenye mechi kama ya Leo linafikirisha na kusikitisha sana,ukichukulia ukweli jinsi alivyotubeba mwaka Jana.Inabidi ifike Sehemu Robertino adhibitiwe
Ha ha ha ha ha ha
 
General ni foward ambae anashuka chini kuchukua mali asubiri tuuu kweny box kama ile punda na pia phiri ni target man yan shots nying za phiri ni on target ata conversion rate yake kwa chances anazozipata ni kubwa sn tofauti na mkongo
Duh hapa umekosea hakuna centre forward wa kumzidi baleke Africa hii
 
Wachezaji WAFUATAO wajiandae kuondoka Simba.

1. Moses Phili.

2. Aubin kramo.

3. Sadio Kanute.

4. Essomba Onana.

⁵ (Saido Ntibazonkiza)
 
Licha ya magoli ambayo Jean Baleke amefunga msimu uliopita katika premier league kiuchezaji Mosses Phiri ni mchezaji wa class ya juu zaid kuliko Baleke, Sijui kwanini kocha hataki kumuamin huyu mwamba (Phiri) labda uwanja wa mazoezi hamshawishi kocha lakini sisi mashabiki wa Simba balaa la huyu mwamba tunalijua vizuri sana uwezo wake wa kufunga, kukaa na mipira, ni mkubwa kuliko Baleke. Kweli uchawi upo Duniani
Bado unaamini hivyo?
 
Back
Top Bottom