Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 545
- 1,908
Haujajiuliza pia kwanini Nguruwe anapigwa vita kisha uje na conclusion ya kwamba mti wenye matunda ndio unapigwa mawe na mbona ni nguruwe tu na sio ng’ombe na mbuzi?Nimekuwa najiuliza kwanini uislamu unapigwa vita? Hii kitu imenifikirisha na nikaja na conclusion ya kwamba mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe Kwasababu ni dini ya haki na ya ukweli kwanini dini zingine hazifanyiwi hivyo?
Waislamu watakuja kichwa kichwa kwenye huu uzi kama mazombi kisha utawapiga na ile manati ya siri 😁😁😁😁Soon naenda kubadilisha mawazo yangu aisee nimeamini uislamu ndiyo dini ya haki kuliko hizo imani zingine hizo na nimemtaarifu mke wangu,watoto wangu,ukoo wangu wote leo ndiyo mwisho wa kuwa na hii imani ya uongo na uzushi so jumatatu watu wote wa nyumbani na ukoo wangu tunaenda msikitini na kubadilisha dini na kuwa na dini ya ukweli na haki uislamu Aisee
Nimekuwa najiuliza kwanini uislamu unapigwa vita? Hii kitu imenifikirisha na nikaja na conclusion ya kwamba mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe Kwasababu ni dini ya haki na ya ukweli kwanini dini zingine hazifanyiwi hivyo?
Na nakikri uislamu utashinda na utaendelea kusambaa dunia mzima
" Mimi jemaine alex paroko aliyehasi wa kanisa......jimbo la iringa"
Bakwata hao ni madhalimu ti wapo pamoja na CcmDini ya haki na ukweli ila Baraza la waislam (BAKWATA) haliamini katika HAKI wao wako pamoja na wauwaji na wakandamizaji wa HAKI za binadamu.
Kitu walichokosea marekani na bwana zake ndicho hicho unaunda makundi ya kigaidi ili upige vita uislamu mwisho wa siku mamia kwa mamia ya watu wanahamia kwenye uislamu hahaha
Dunia hadaa walimwengu ni mashujaa...Alinipeleka nyumbani kwao kama hausigel sasa anaoa mke mwingine
Mimi ni binti wa miaka 27, niko kwenye mahusiano na huyu mwanaume huu ni mwaka wa tatu. Mwaka jana mwishoni mwanaume wangu aliniambia kuwa mama yake anaumwa, hivyo ananiomba niende kumsaidia. Kipindi hicho nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni moja lakini kwa mkataba. Nilimwambia niko kazini...www.jamiiforums.com
Nimemuacha mume wangu kwa ajili yake yeye hajali kanitelekezea watoto wake!
Nimemuacha Mume wangu kwaajili yake yeye hajali kanitelekezea watoto wake! Hapa ofisini kuna kaka mmoja ni mwalimu mwenzangu. Wakati naajiriwa alinikaribisha vizuri sana kiasi kwamba alihangaika kunitafutia nyumba, na kipindi hicho nilikuwa na changamoto kidogo ya kipato hivyo alinikopesha ila...www.jamiiforums.com
Natafuta mume
Bwana yesu asifiwe! Wakuu natafuta mume ambae yuko serious kuishi na mie tufunge ndoa tuishi pamoja. Mimi ni mzaliwa wa kilimanjaro mwaka 1993 mkoani kilimanjaro. Nina Bachelor Degree ya Medicine niliyoipata Chuo cha Muhimbili na pia nina Masters Degree ya Medicine specialise kwa watoto kwa...www.jamiiforums.com
Naombeni ushauri
Mimi niliolewa mwaka 2017,nilikaa na mume wangu kwa upendo na amani, ila mimi nilimtangulia mwanaume nilikuwa na mtoto mmoja ambae nilizaa na mwanaume mwingine kabla ya kuolewa na mume wangu yeye alikuwa hajawahi kuoa wala kuzaa, kwahiyo katika muda wote huo wakati nipo kwenye ndoa nilikuwa...www.jamiiforums.com
Nyuzi zako nyingi wewe ni mwanamke umekuwaje mwanaume
!!???
Huku mitandaoni kuna vichwa kamasi wengi sana.Wao ni kujiandikia tu kutafuta masifa alafu waongo waongo bila kumbukumbu.Alinipeleka nyumbani kwao kama hausigel sasa anaoa mke mwingine
Mimi ni binti wa miaka 27, niko kwenye mahusiano na huyu mwanaume huu ni mwaka wa tatu. Mwaka jana mwishoni mwanaume wangu aliniambia kuwa mama yake anaumwa, hivyo ananiomba niende kumsaidia. Kipindi hicho nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni moja lakini kwa mkataba. Nilimwambia niko kazini...www.jamiiforums.com
Nimemuacha mume wangu kwa ajili yake yeye hajali kanitelekezea watoto wake!
Nimemuacha Mume wangu kwaajili yake yeye hajali kanitelekezea watoto wake! Hapa ofisini kuna kaka mmoja ni mwalimu mwenzangu. Wakati naajiriwa alinikaribisha vizuri sana kiasi kwamba alihangaika kunitafutia nyumba, na kipindi hicho nilikuwa na changamoto kidogo ya kipato hivyo alinikopesha ila...www.jamiiforums.com
Natafuta mume
Bwana yesu asifiwe! Wakuu natafuta mume ambae yuko serious kuishi na mie tufunge ndoa tuishi pamoja. Mimi ni mzaliwa wa kilimanjaro mwaka 1993 mkoani kilimanjaro. Nina Bachelor Degree ya Medicine niliyoipata Chuo cha Muhimbili na pia nina Masters Degree ya Medicine specialise kwa watoto kwa...www.jamiiforums.com
Naombeni ushauri
Mimi niliolewa mwaka 2017,nilikaa na mume wangu kwa upendo na amani, ila mimi nilimtangulia mwanaume nilikuwa na mtoto mmoja ambae nilizaa na mwanaume mwingine kabla ya kuolewa na mume wangu yeye alikuwa hajawahi kuoa wala kuzaa, kwahiyo katika muda wote huo wakati nipo kwenye ndoa nilikuwa...www.jamiiforums.com
Nyuzi zako nyingi wewe ni mwanamke umekuwaje mwanaume
!!???
Kuchanganyikiwa tayari umechanganyikiwa kabisa.Hapo Bado kuipata hiyo Imani uitakayo.Soon naenda kubadilisha mawazo yangu aisee nimeamini uislamu ndiyo dini ya haki kuliko hizo imani zingine hizo na nimemtaarifu mke wangu,watoto wangu,ukoo wangu wote leo ndiyo mwisho wa kuwa na hii imani ya uongo na uzushi so jumatatu watu wote wa nyumbani na ukoo wangu tunaenda msikitini na kubadilisha dini na kuwa na dini ya ukweli na haki uislamu Aisee
Nimekuwa najiuliza kwanini uislamu unapigwa vita? Hii kitu imenifikirisha na nikaja na conclusion ya kwamba mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe Kwasababu ni dini ya haki na ya ukweli kwanini dini zingine hazifanyiwi hivyo?
Na nakikri uislamu utashinda na utaendelea kusambaa dunia mzima
" Mimi jemaine alex paroko aliyehasi wa kanisa......jimbo la iringa"
Shetani pia anapigwa vita. Huenda naye ni mti wenye matunda 😂Nimekuwa najiuliza kwanini uislamu unapigwa vita? Hii kitu imenifikirisha na nikaja na conclusion ya kwamba mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe Kwasababu ni dini ya haki na ya ukweli kwanini dini zingine hazifanyiwi hivyo?
Kila kheriSoon naenda kubadilisha mawazo yangu aisee nimeamini uislamu ndiyo dini ya haki kuliko hizo imani zingine hizo na nimemtaarifu mke wangu,watoto wangu,ukoo wangu wote leo ndiyo mwisho wa kuwa na hii imani ya uongo na uzushi so jumatatu watu wote wa nyumbani na ukoo wangu tunaenda msikitini na kubadilisha dini na kuwa na dini ya ukweli na haki uislamu Aisee