Kweli Ukikua Utaacha.....

Kweli Ukikua Utaacha.....

Hiyo huwa inatokea sana mkuu: Tatizo kubwa ni kupata hela katika umri mdogo aisee!
Kwanza ukitoka kazini unajifikiria mara mbili-mbili hivi unarudi nyumbani kufanya nini ???
Hapo unajikuta una kauvivu kakupika ndiyo kabisaaaaa! Unaweza jikuta unatumia hela nyingi sana kwa wiki kwenye ujinga!

Ila ukishaoa hii yote huisha yenyewe.
Unajikuta unarudi saa kumi na mbili kamili za jioni na unatunza sana hela.
Hongera sana my kaka.
 
Sitashangaa kabisa mkuu,
Hata house boy naye ni Staff!
😀😀😀😀😀
Kapige mswaki ulale dogo

Uliza wenzio wakuambie hapa wap

1505593599849.png
 
Ushajaribu? Ukikutana na alienda shule kidoogo hutajuta.

Ebwana kuna kipindi nilienda Pwani kikazi kama miezi mitatu,
Tukatengeneza Camp kubwa sana sasa wakawa wanakuja kuuza vyakula na vitu pale.
Wale wazungu walichofanywa hawaji kusahau kabisaa.
Wanawake wa pwani sina hamu nao ahahahaha!
 
Unategemea nini mtoto 'kawekwa ndani' halafu 'anachezwa' baada ya 'kuvunja ungo' ?
 
Back
Top Bottom