MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Katikati ya nyumba na nyumba nimeweka paa..kitu na box! Huku lazima uwe mbunifu...
Kama unafanya hivyo basi ni lazima unalala kwenye gari wewe!
Watoto wa kule hawachelewi kugeuza gari lako chuma chakavu.
Kibaya zaidi wakikuona unamiliki mkoko ndiyo watakupiga kabari kabisa!