Kweli Ukikua Utaacha.....

Kweli Ukikua Utaacha.....

Katikati ya nyumba na nyumba nimeweka paa..kitu na box! Huku lazima uwe mbunifu...

Kama unafanya hivyo basi ni lazima unalala kwenye gari wewe!
Watoto wa kule hawachelewi kugeuza gari lako chuma chakavu.
Kibaya zaidi wakikuona unamiliki mkoko ndiyo watakupiga kabari kabisa!
 
Kama unafanya hivyo basi ni lazima unalala kwenye gari wewe!
Watoto wa kule hawachelewi kugeuza gari lako chuma chakavu.
Kibaya zaidi wakikuona unamiliki mkoko ndiyo watakupiga kabari kabisa!
Hamna mkuu....mimi wananiita M-Sure nipo nao karibu, nachangia kwenye mechi zaowananikubali sana.
 
Teh teh!
Huahitaji wakati huko Mtogoleni ndiyo chimbo zao ???
😀😀😀
Ndio maana sihitaji wa mbali...hapa jirani wakisikia tu nimefungua mlango wanaanza kupita pita mara waombe chupa za maji ya Kilimanjaro kifupi ni kushika mkono na kuingia ndani!AAisee huku sitoki
 
Kwamtogole huwezi kukaa ndani unasali Liza mziki peke yako lazima jirani agonge mlango kukujulia hali na atakaa masa mawili akikwambia alikuwa anapita tu.
Mimi wananielewa sana huwa hawanisumbui...
 
Ndio maana sihitaji wa mbali...hapa jirani wakisikia tu nimefungua mlango wanaanza kupita pita mara waombe chupa za maji ya Kilimanjaro kifupi ni kushika mkono na kuingia ndani!AAisee huku sitoki

Teh teh teh!
Hao kuku wa kienyeji wanapenda miti shamba balaa!
Akija kwako ni lazima akamsimulie maza na anti yake!
hahahahaha uswazi bwana
 
Kwamtogole huwezi kukaa ndani unasikiliza mziki peke yako lazima jirani agonge mlango kukujulia hali na atakaa masa mawili akikwambia alikuwa anapita tu.
Jirani pitia kesho for lunch ukitoka church..
 
Mfano ww una nini ufanyiziwe??

Hela ya bundle unakula ganji hela uliyotumwa sokoni [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Umejiroga dogo[emoji23] [emoji23]

Bwahahahahaha!
Wewe linjemba nikajua wamekupiga BAN nilitaka nikucheke kichizi.
Vipi ushamfungulia shemeji yako geti au bado unamsubiri sebuleni huku unaangalia Series ya kikorea ???
😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom