MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Ila watamu balaa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikikuambia mm ni staff utafanyaje dogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hongera sana my kaka.Hiyo huwa inatokea sana mkuu: Tatizo kubwa ni kupata hela katika umri mdogo aisee!
Kwanza ukitoka kazini unajifikiria mara mbili-mbili hivi unarudi nyumbani kufanya nini ???
Hapo unajikuta una kauvivu kakupika ndiyo kabisaaaaa! Unaweza jikuta unatumia hela nyingi sana kwa wiki kwenye ujinga!
Ila ukishaoa hii yote huisha yenyewe.
Unajikuta unarudi saa kumi na mbili kamili za jioni na unatunza sana hela.
Mara moja moja you have to show face....pensi ya jeans inahusika
Kapige mswaki ulale dogoSitashangaa kabisa mkuu,
Hata house boy naye ni Staff!
πππππ
hawa ndo watu wasiojulikana hawa[emoji3] [emoji3]Mkuu usiku huu kwa watu ukafanye nini ???
Ushajaribu? Ukikutana na alienda shule kidoogo hutajuta.
Hongera sana my kaka.
Unategemea nini mtoto 'kawekwa ndani' halafu 'anachezwa' baada ya 'kuvunja ungo' ?Ebwana kuna kipindi nilienda Pwani kikazi kama miezi mitatu,
Tukatengeneza Camp kubwa sana sasa wakawa wanakuja kuuza vyakula na vitu pale.
Wale wazungu walichofanywa hawaji kusahau kabisaa.
Wanawake wa pwani sina hamu nao ahahahaha!
Ndiyo maana nimewaza kumdhibiti AspirinUnategemea nini mtoto 'kawekwa ndani' halafu 'anachezwa' baada ya 'kuvunja ungo' ?
hawa ndo watu wasiojulikana hawa[emoji3] [emoji3]