Kweli umalaya ni gharama

Kweli umalaya ni gharama

Mwenyewe nilihisi ipo namna, kumbe mkulungwa aligongewa na Deiwaka aliemkabidhi kitengo yeye mwenyewe. 🤣🤣🤣

Lile Toto la kibantu rangi ya ndizi kisukari! Lazma ulinzi uwe mkali chakula ya Muzee!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] lengo la thread yako ni hapo chini ulipomalizia, ila kule juu n mbwembwe tyuuuuh.
 
Hivi hizo paragraph mbili za mwisho zinaukweli wowote!!! 115,000/= ni sawa na tofali 96 hapo kwenye opportunity cost bora kujenga tu, hizo nyingine tutatafuta substitute product Sinza
 
Hatari saana aisee! Ndiyo pale unarudi getho unaiwazia laki yako ilivyokwenda kishamba, unajipiga kifuani unasema mimi ni fala sana ila nitapata nyingine!

La muhimu ikija suala la burudani ya papuchi spare no expense. Ndio starehe ya dunia. Ebu imagine unamihela alafu huwezi kugegeda sasa maisha yana raha gani hapo
 
Unazungumzia "lakionea"?? Kuna mtu imemkosti kazi yaani kamwagiwa ugali na mboga
 
Y
Hebu tuongee in minimalist ways

Unakutana na mtoto mzuri ana D tatu, Toto jeupeee, miguu ya bia Kifupi TOTO LIMEUMBIKA.

Kichwa cha chini kinakuongoza na unaona uombe namba, siku zinapita unaomba game...

Unapewa chance ya kuchakata from morning until night.
Hakuna kulala, kila mtu akalale kwake.
Na playing ground isiwe kwako au kwake.

Sasa hebu cheki hii bajeti japo ""in minimalist way"

1. Guest room = 15,000/=
2. Nauli ya kumleta na kumrudisha = 20,000/=
3. Chakula whole day = 30,000/=
4. Asante kwa game = 30,000/=
5. Other Sunk Cost..!! = 20,000/=
TOTAL = 115,000/=

Yaani mwamba umetumia laki na sababu ya mbunye tu??
Yaani unaamka asubuhi kufika usiku unarudi ghetto kulala umechoma laki na kise eti mbunyee tu hii nyama tu ambayo hata ukipewa uondoki nayo

Point sio kwamba sijui ndogo tuu.
Au sijui kula ujana ila point ni
"HIVI KWELI HIZI MBUNYE ZINA LINGANA NA HIZI PESA TUNAZOCHOMA?"
Mbona pesa nyingi na service yenyewe ni "KUTOA MATE TU MAZITO BASI?"

Mabaharia hata kama unahonga buku hebu jaribu ku SAVE hela zotee unazohonga kwa mwaka kwenye financial institution yoyote halafu mwisho wa mwaka nenda bank kacheka THE SAVED AMOUNT, yaani unaweza nunua hata BOEING...!!

kuna mwaka nilifanya hivyo nikakuta BONUS AACCOUNT (saved amount) ina nunua ofisi ya HAZINA YA serikali ya CCM..!!!

Ila tatizo sasa usipohonga na ukiwa bahiri ""NANI ATAKUPA MBUNYE MJINI HAPA?"

Hapa ndipo linapokuja swala la OPPORTUNITY COST.

Hongereni sana madada woteee ambao tunashare nao cost tukienda kufanyana.

HIVI NI KWELI...
Kwamba first figure ka Huck simu ya mchepuko akakuta mnyia wa Mbozi ambae alimteua yeye ana kula vyombo?
Jamaa kwa hasiraa KAMTUMBUA.

just image first figure anamiliki mchepuko kama ule, kweli DUNIA HAINA HAKI, kuna watu WANAFAIDI DUNIANI HAPA.

#YNWA
Yaani a man,upo hapa unajadili gharama za upigaji pussy kweli?

Sasa ulitaka upigie migombani au njiani au kwenye magari?

Maana hata kama utapigia kwako,gharama zingine zipo pale pale..

Naona watu watafute hela aisee,tuache haya malalamiko!

Kama uchumi wako haujafika popote,usijishughulishe na haya mambo,hela ikifika then ufanye!
 
Back
Top Bottom