Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
- Thread starter
- #141
Ni gharama zinaongezeka zaidi..!!!Guest hiyo si inakunguni mzee baba..
Hapo chumba bei ya chini ni 40,000 standard nzuri
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni gharama zinaongezeka zaidi..!!!Guest hiyo si inakunguni mzee baba..
Hapo chumba bei ya chini ni 40,000 standard nzuri
Hebu tuongee ""in minimalist ways......""
Unakutana na mtoto mzuri ana D tatu, Toto jeupeee, miguu ya bia Kifupi TOTO LIMEUMBIKA.
Kichwa cha chini kinakuongoza na unaona uombe namba.
Siku zinapita unaomba game...
Unapewa chance ya kuchakata from morning until night.
Hakuna kulala, kila mtu akalale kwake.
Na playing ground isiwe kwako au kwake.
Sasa hebu cheki hii bajeti japo ""in minimalist way"
1. Guest room = 15,000/=
2. Nauli ya kumleta na kumrudisha = 20,000/=
3. Chakula whole day = 30,000/=
4. Asante kwa game = 30,000/=
5. Other Sunk Cost..!! = 20,000/=
TOTAL = 115,000/=
Yaani mwamba umetumia laki na ushee sababu ya mbunye tu??
Yaani unaamka asubuhi kufika usiku unarudi ghetto kulala umechoma laki na ushee kise eti mbunyee tu.
Hii nyama tu ambayo hata ukipewa uondoki nayo...!!!!
Point sio kwamba sijui pesa ndogo tuu, au sijui kula ujana ila point ni
"HIVI KWELI HIZI MBUNYE ZINA LINGANA NA HIZI PESA TUNAZOCHOMA?"
Mbona pesa nyingi na service yenyewe ni "KUTOA MATE TU MAZITO BASI?"
Mabaharia hata kama unahonga buku hebu jaribu ku SAVE hela zotee unazohonga kwa mwaka kwenye financial institution yoyote halafu mwisho wa mwaka nenda bank kacheki THE SAVED AMOUNT, yaani unaweza nunua hata BOEING...!!
kuna mwaka nilifanya hivyo nikakuta BONUS AACCOUNT (saved amount) ina nunua ofisi ya HAZINA YA serikali ya CCM..!!!
Ila tatizo sasa usipohonga na ukiwa bahiri ""NANI ATAKUPA MBUNYE MJINI HAPA?"
Hapa ndipo linapokuja swala la OPPORTUNITY COST.
Hongereni sana madada woteee ambao tunashare nao cost tukienda kufanyana.
HIVI NI KWELI...
Kwamba first figure ka Huck simu ya mchepuko akakuta mnyia wa Mbozi ambae alimteua yeye ana kula vyombo?
Jamaa kwa hasiraa KAMTUMBUA.
just image first figure anamiliki mchepuko kama ule, kweli DUNIA HAINA HAKI, kuna watu WANAFAIDI DUNIANI HAPA.
#YNWA
Kuwa makini naona una sifa tajwa hapo juu.....Mi nafikiri point yako ni kuwa unavurugwa wanawake wafupi,warembo,weupe wenye miguu ya Champaigne😊😊✨✨✨
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15]
Sina hizo sifa mkuu unajichanganya😅😅Kuwa makini naona una sifa tajwa hapo juu.....
Nisamehe mkuu sikukuelewa.Point sio kulalamika....
Point sio hela ndogo au kubwa...
POINT NI ""Hivi hii nyama tu ambayo hata uondoki nayo kweli inastahili gharama zotee hizi tena ziingiwe na mmoja tu wakati utamu ni kupata wote??""
Think in opportunity cost way..!!!
#YNWA