Kweli umalaya ni gharama

Usilinganishe Papuchi na vigharama viidogo vidogo kama hako Kalaki! Laki mbele ya mbunye? What is it by the way?
 
Hiyo sunk cost umeitumia kimakosa hujaielewa naona inatumikaje, mengine yote upo sawa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sunk cost are the costs which are irrevelant to the production...
Sasa demu anakwambia ""naomba buku nijiunge na kifurushi nimpigie mama kwanza"" how is this relevant to the uchakataji wa papuchi?

#YNWA
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji3]Huko unikuli, wasiwasi mno Sita cum
Hahaha kwa hiyo tukukulie wapi...taja maenwo wagegedaji tujitutumue tusasambue papupuchi hiyo
 
Let's invest our income and stop papuchi business..!!!

#YNWA
 
Umeelewa point yangu?

#YNWA
 
Mm natumia 7000 tu kwa siku....demu namleta getho,Kama halali nanunua samaki wa 2000 +viungo vya 500,nauli ya kuja anajilipia,sema 1000 ya bodaboda mpk kwangu....then unga au mchele na mafuta vinakuwepo getho,tunapika then show....nauli ya kuondoka nikimpa kubwa n 3000....hyo zawad ya game simpi maana hatujauziana.....hajardhika asepe moja kwa zote....situnzi mwanamke ambaye sijamuoa...


Kama analala,nusu kilo ya 3000 ya nyama inatosha mchana na usiku plus 1000 ya viungo,unga na mchele vipo.......


Sipeleki demu guest mm....marufuku
 
Uzinzi siku zote ni gharama wala sio wa kuuendekeza!
 
Hiyo shs 115,000 inakaribia ile pesa aliyokuwa anatumia Laizer kulipua miamba kwa siku huko Mererani. Kasoro 85,000 tu ifike 200,000 kiwango alichikuwa akitumia.

Kupanga ni kuchagua, unaweza kuwekeza kwa starehe au maisha.
 
Hapo kuna shida, sehemu ya kulala ya buku 15, misosi yake haizidi buku 5, so Kwenye chakula uta save pamoja na hizo other costs
Mtoto mwenye mzuriii kama Financial Institution.... Utamlishaje wali maharage??
 
Hiyo shs 115,000 inakaribia ile pesa aliyokuwa anatumia Laizer kulipua miamba kwa siku huko Mererani. Kasoro 85,000 tu ifike 200,000 kiwango alichikuwa akitumia.

Kupanga ni kuchagua, unaweza kuwekeza kwa starehe au maisha.
We should start thinking in the opportunity cost way...!!!

#YNWA
 
Huna point...tumbo mbona tulilisha kila siku na linatoa uchafu tu?
Siku zote tunagharamia furaha tu mkuu.
Nikiwa vizuri hata 2m sijutii
Bro umeelewa.... "" REFER TO THE OPPORTUNITY COST....""

#YNWA
 
Hakuna tatizo lisilo na majibu, ila pia mkeo unakula bure utaanza mchoka japo mtengezee utaratibu wa kumpa zawadi ili umuone mpya kila siku, ukimchoka utarudi kwenye utaratibu wa kutoka nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Life is two way reaction...
Nanunua Mimi tu zawadi NACHOKA BANAAA...

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…