Kweli umalaya ni gharama



Mwanaume huwa haitwi malaya, malaya ni mwanamke anayetembea hovyo na wanaume. Ulichofanya huko Guest ni uzinifu/ uzinzi.
 
Wanaume wakisarawe mmeshindwa kumuoa?
 
ukitaka kula kubali kuliwa.
[emoji113][emoji113]
 
Point sio kulalamika....
Point sio hela ndogo au kubwa...

POINT NI ""Hivi hii nyama tu ambayo hata uondoki nayo kweli inastahili gharama zotee hizi tena ziingiwe na mmoja tu wakati utamu ni kupata wote??""

Think in opportunity cost way..!!!

#YNWA
Nisamehe mkuu sikukuelewa.
Wewe unaongelea umalaya na kununua nyapu mimi naongelea mapenzi, upendo uhusiano.


Speaking of opportunity cost ya umalaya ni kuwa na mtu mmoja utulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…