4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
ila urusi havunji uhuru wa kujitawala wa nchi iliyohuru yenye mipaka inayotambulika kimataifa ?Zelensky anakiuka misingi ya Geneva convention . Haipaswi kupiga picha miili. Mwandishi ndio maana upo Buguruni saizi na sio ikulu. Ikulu inataka upime mambo kwa ukubwa wake.
Hao Ukraine wataongea kwa kutapatapa maana hao mateka wapo kwa KGB wanabinywa watoe taarifa kadha.Pia wanachunguzwa uraia wao kwa kupimwa DNA sio jambo la huruma .Serekali haina mambo ya huruma .
Zelensky amewashitaki mateka na Russia amewashitaki hawa magaidi wa kiwandani.
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app