Kweli vizuri gharama, MaDJ ni wengi kuliko Wasanii waimbaji kwenye tamasha la Simba Day 2023

vibertz

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
2,474
Reaction score
4,726
Simba day imetapakaa list ndefu ya madj kuliko wasanii, nadhani hilo linatokana na kuyumba kwa mahesabu ya kukokotoa.

Hadi sasa wasanii ambao confirmed kuwa wata perform ni Ali Kiba, Tunda man, na John Makini.

Wale ambao kinachowapeleka ni wasanii basi imekula kwao, kiingilio chako hakitoshi.
 
Thread mbona unajadilika huu hoja ni kuelewa kinachotakiwa kupunguza ma dj kuongeza wasanii
 
Simba day imetapakaa list ndefu ya madj kuliko wasanii, nadhani hilo linatokana na kuyumba kwa mahesabu ya kukokotoa.

Hadi sasa wasanii ambao confirmed kuwa wata perform ni Ali Kiba, Tunda man, na John Makini.

Wale ambao kinachowapeleka ni wasanii basi imekula kwao, kiingilio chako hakitoshi.
Tamasha la soka ukajaze waimbaji wa kazi gani? Muimbaji anapaswa kuwa mmoja au wawili tu
 
Simba day imetapakaa list ndefu ya madj kuliko wasanii, nadhani hilo linatokana na kuyumba kwa mahesabu ya kukokotoa.

Hadi sasa wasanii ambao confirmed kuwa wata perform ni Ali Kiba, Tunda man, na John Makini.

Wale ambao kinachowapeleka ni wasanii basi imekula kwao, kiingilio chako hakitoshi.
We kweli utopolo,, uliona wapi shughuli ya kimpira ikajaza wasanii. Mfano mzuri ni ufunguzi wa kombe la dunia msanii anaweza kuwa mmoja tu..
 
Hilo ndio mnalijua leo? Mnavyojazaga wasanii miaka iliyopita ilikua shughuli ya nini?
 
Back
Top Bottom