XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Tulijaza akina nani, wapi, muda gani na lini ?Hilo ndio mnalijua leo? Mnavyojazaga wasanii miaka iliyopita ilikua shughuli ya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulijaza akina nani, wapi, muda gani na lini ?Hilo ndio mnalijua leo? Mnavyojazaga wasanii miaka iliyopita ilikua shughuli ya nini?
Kwa miaka yote minne mfululizo ya kuchukua makombe, pre season tulikua tuna kwenda wapi ?Kikubwa kuchukua makombe, haijalishi unaenda wapi kufanyia pre season. Preseason yenu ya ng'ambo imewaletea makombe gani misimu miwili hiyo?
Ni JK na Sunday Manara tu, wengine wote hamnazoWe kweli utopolo,, uliona wapi shughuli ya kimpira ikajaza wasanii. Mfano mzuri ni ufunguzi wa kombe la dunia msanii anaweza kuwa mmoja tu..
Umeona ulivyo kiazi, kwamba wote hapo ni waimbaji ??Inaelekea ndio mara yako ya kwanza kufatilia Simba day
Hakika !Ni JK na Sunday Manara tu, wengine wote hamnazo
Shida ni penati za nje ya box mnazopewa na marefaMbona unaenda huko huko na unazidiwa na anayebakia bongo shida ni nini?
Zilikuwa penati ngapi za nje ya box ili tuzitoe? Hivi Azam nae alikutoa kwa penati ya nje ya box? Ama kweli mnaonewa sijui kwavile ni mambumbumbu, yaani kila timu inapewa penati nje ya box. Sio haki kabisa, muache kuwa mambumbumbu pengine uonevu utaisha.Shida ni penati za nje ya box mnazopewa na marefa
Mkuu naona umeamua kujidhalilisha mwenyewe, sasa kama wame nunua tiketi zao kwenda kushuhudia simba day kama watu wengine wa kawaida kuna ubaya gani ?Ni wasanii,embu pitia coment ya juu. Hoja ni kujaza waimbaji au kujaza wasanii?
Vipi na wale waamuzi wanne waliofungiwa baada ya kuchezesha mechi zenu ilikua ni kwaajili ya nn ?Zilikuwa penati ngapi za nje ya box ili tuzitoe? Hivi Azam nae alikutoa kwa penati ya nje ya box? Ama kweli mnaonewa sijui kwavile ni mambumbumbu, yaani kila timu inapewa penati nje ya box. Sio haki kabisa, muache kuwa mambumbumbu pengine uonevu utaisha.
Burudani itakuwa hafifu au sio na Msaga sumu hajatajwa kabisa kwenye listSimba day imetapakaa list ndefu ya madj kuliko wasanii, nadhani hilo linatokana na kuyumba kwa mahesabu ya kukokotoa.
Hadi sasa wasanii ambao confirmed kuwa wata perform ni Ali Kiba, Tunda man, na John Makini.
Wale ambao kinachowapeleka ni wasanii basi imekula kwao, kiingilio chako hakitoshi.
Ili?Thread mbona unajadilika huu hoja ni kuelewa kinachotakiwa kupunguza ma dj kuongeza wasanii
Hapana ila walitaka kuzuia msikandwe na KIBU DEENdio unataka kusema hao ndio waliosababisha mtolewe na Azam?
Kuvaa Medali ya Kombe la luza hakuna tofauti na kuvaa shanga au hiriziLakini haikuzuia kubeba kombe la ligi kuu, kombe Azam na medali ya CAF. Nyie na Kibu wenu mkabeba Mangungu cup kama alivyowaahidi.