wasaani gani? wapi na liniKwahiyo miaka yote mnaojazaga wasanii inakuaga ni fiesta sio tamasha la soka?
Aahaaaaaacha wenge
Tamasha la soka ukajaze waimbaji wa kazi gani? Muimbaji anapaswa kuwa mmoja au wawili tuSimba day imetapakaa list ndefu ya madj kuliko wasanii, nadhani hilo linatokana na kuyumba kwa mahesabu ya kukokotoa.
Hadi sasa wasanii ambao confirmed kuwa wata perform ni Ali Kiba, Tunda man, na John Makini.
Wale ambao kinachowapeleka ni wasanii basi imekula kwao, kiingilio chako hakitoshi.
We kweli utopolo,, uliona wapi shughuli ya kimpira ikajaza wasanii. Mfano mzuri ni ufunguzi wa kombe la dunia msanii anaweza kuwa mmoja tu..Simba day imetapakaa list ndefu ya madj kuliko wasanii, nadhani hilo linatokana na kuyumba kwa mahesabu ya kukokotoa.
Hadi sasa wasanii ambao confirmed kuwa wata perform ni Ali Kiba, Tunda man, na John Makini.
Wale ambao kinachowapeleka ni wasanii basi imekula kwao, kiingilio chako hakitoshi.