Kweli vizuri gharama, MaDJ ni wengi kuliko Wasanii waimbaji kwenye tamasha la Simba Day 2023

Nimeona na meja kunta yupo
 
Kuvaa Medali ya Kombe la luza hakuna tofauti na kuvaa shanga au hirizi
Kama ulijua hili kwanini ulipambana kuchoma moto kwenye viwanja vya watu ili utoboe katika mashindano hayo hayo ya luza?
 
Usitupangie maisha. Umeamka na hang'over ya k Vant ya offer hata hela ya supu huna unakuja kupiga miayo humu
 
We kweli utopolo,, uliona wapi shughuli ya kimpira ikajaza wasanii. Mfano mzuri ni ufunguzi wa kombe la dunia msanii anaweza kuwa mmoja tu..
Kuwa tu mkweli. Karibia Wasanii wote ambao wapo kwenye form kwa sasa, ni wananchi. Kwa upande wenu kuna Zuchu na Tundaman tu ndiyo waliobakia. Na huyo Tundaman mwenyewe siku hizi anaimba Qaswida.

Sijashangaa mlipoamua kumkodi Ali Kiba, ambaye ni Yanga damu ili awatumbuize kutokana na hali kuwa tete kwa upande wenu.
 
Mngekuwa na pesa msingefanyia preseason uani kwenu (Avic)
Kila mwaka huwa mnasema maneno ya aina hii. Halafu mwisho wa msimu waliobakia Avic Town wanabeba makombe yote! Halafu nyinyi wazee wa Uturuki na Dubai mnaambulia patupu.
 
Hivi Tundaman anaimbaga nini?🤣
 
Ma dj wapige ngoma watu wacheze,wasanii wa bongo wakishika maiki wao awaimbi wanaigeuzia maiki kwa mashabiki ndio waembe,wanasema'piga kelelee",sasa yanini kuwapa watu shida wakati watu wametoa hela kupata burudani!
 
Toa Kwanza MWIKO HUKO NYUMA uandike vizuri.

Unaandika upuuzi mtupu.
 
Wewe sijui umetokea kijiji gani aisee, sikuizi Madj ndio watumbuizaji wakubwa kuliko hao wasanii, tembea clubs zote mjini uone ratiba zao zilivyo. Wakati nipo chuo kila jumamosi nilikuwa naenda pale Samaki Spot Moro town coz of Dj Marioo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…