Kweli wa Tanzania tumeshindwa hata kujenga bara bara za mwendo kasi wenyewe ? Bwawa sawa ni Complex project ila hata BRT roads hatuwezi

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
Hili limeniumiza sana

Kweli karne hii bado wazawa tumeshindwa kabisa kusuka nondo na kumwaga zege kwa ajili ya kujenga barabara ili ma bus ya mwendokasi yapite.

Wageni tunaowapa tenda wanatudharau sana.
 
Nakumbuka kulikuwa na tatizo kubwa sana la foleni ubungo.

Wachina waliopewa tenda ya kujenga flyover walivyofika ubungo walitucheka sana na kutudharau kwamba hatuna akili baada ya kufika site ubungo.

Maana walijua shida iko wapi. Na hakukuwa na ulazima wa gharama za flyover, Tatizo la foleni ubungo wakalifuta kabla hata hawajaanza kujenga Flyover iliyowaleta ubungo
 
Kwani hamsikiagi kuwa huko vyuoni kuna wasanii?
Labda hutumbuiza wajapo wenzao kutoka ulaya na asia wanapochukua tenda.

Kuna Eng. mmoja naskia anaimba miziki ya kufoka foka na mwingine ni Eng. wa mipira. Sijui ndo hivyo. Ata sielewi.
 
Hili limeniumiza sana

Kweli karne hii bado wazawa tumeshindwa kabisa kusuka nondo na kumwaga zege kwa ajili ya kujenga barabara ili ma bus ya mwendokasi yapite.

Wageni tunaowapa tenda wanatudharau sana.
Bro kuwa serious kama vyoo vya public tu hakuna itakua barabara sheikh?this is dark continent achana na mikwara ya wanasiasa hatuna lolote la maana ndio maana machawa kila kona ili wapaze sauti kwa niaba
 
Nakumbuka kulikuwa na tatizo kubwa sana la foleni ubungo.

Wachina waliopewa tenda ya kujenga flyover walivyofika ubungo walitucheka sana na kutudharau kwamba hatuna akili baada ya kufika site ubungo.

Maana walijua shida iko wapi. Na hakukuwa na ulazima wa gharama za flyover, Tatizo la foleni ubungo wakalifuta kabla hata hawajaanza kujenga Flyover iliyowaleta ubungo
Nakumbuka ile round-about ilifanya mapinduzi kinoma. Flyover ikawa kwaajili ya Mwendokasi labda.
 
Back
Top Bottom