Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Dah kweli hatuna uwezo wa ku think.Nakumbuka kulikuwa na tatizo kubwa sana la foleni ubungo.
Wachina waliopewa tenda ya kujenga flyover walivyofika ubungo walitucheka sana na kutudharau kwamba hatuna akili baada ya kufika site ubungo.
Maana walijua shida iko wapi. Na hakukuwa na ulazima wa gharama za flyover, Tatizo la foleni ubungo wakalifuta kabla hata hawajaanza kujenga Flyover iliyowaleta ubungo